Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

Nyumba mnayoishi na mali ulizo nazo alivikuta?Kama mlichuma wote ujiandae kwa mgao
Mkuu kiufupi tulikutana chuoni, hapo kuna habar nying nying sijazisema ila kikibwa ni hicho kuwa tulikutana chuoni na alibeba mimba tukiwa chuoni ya mtoto wngu wetu wa kwanza tulianzia ziro, kabisa geto la godoro nchi mbili na shuka hadi sasa Nina nyumba yangu mwenyewe nimeweza kujenga na usafiri pia.
 
Mkuu sidhan na siamin kama kila aliepo katika ndoa anapitia haya ninayopitia
Mtafutie cha kufanya, inaonekana na uelewa wake juu ya mahusiano na jamii uko chini,hajiamini pia, mkeo ana tatizo kidogo na tiba Ni wewe ila ndo hivyo ushatia mimba mchepuko
 
Hizi story za upande mmoja sio za kukazia Sana, halafu mbona wanaolia lia wengi ni wanaume?
Wavulana wengi wa skuizi ni yogoyogo, na nilisha washauri wasioe tu maana hizo chipsi wanzokula huko Daslam zinawaletea majanga wakati mafriji yao hayagandishi...🤣🤣
 
Wavulana wengi wa skuizi ni yogoyogo, na nilisha washauri wasioe tu maana hizo chipsi wanzokula huko Daslam zinawaletea majanga wakati mafriji yao hayagandishi...🤣🤣
Ungekuwa wewe ungehimili vipi huu mgogoro, jifanye wewe Ni mume una mke kisirani km wa huyu jamaa
 
Haya hua ni matatizo ya kuokotana huko KFC na kufunga ndoa bila kujua background zenu!

Anyway now it's too late na uamuzi unao wewe mwenyewe mkuu,hapa utapata kila ushauri but at the end muamuzi ni wewe mwenyewe.
 
Kwa namna ulivyoishi naye hata kama hujamtolea mahari au kufunga naye ndoa,ukiamua kumuacha atapata haki kama mwanamke wa ndoa.Tayari mna DHANIO LA NDOA
Mkuu kiufupi tulikutana chuoni, hapo kuna habar nying nying sijazisema ila kikibwa ni hicho kuwa tulikutana chuoni na alibeba mimba tukiwa chuoni ya mtoto wngu wetu wa kwanza tulianzia ziro, kabisa geto la godoro nchi mbili na shuka hadi sasa Nina nyumba yangu mwenyewe nimeweza kujenga na usafiri pia.
 
Ila kwa maelezo yako haya nahisi tatizo lipo kwako ndgu, huenda we ni selfish sana. Unajali zaidi hisia zako na bahati mbaya huo uselfish wako umetokeza mpaka nje unaonekana sasa.

Kwenye maelezo yako hujasema kwenye hiyo migogoro baadhi uliisolve/aliomba/uliomba msamaha, au ndo ile kibubububu mpaka ishu inaisha juu juu bila kua solved!??

Sababu ya kunyimwa unyumba ni nini?? Miezi 2 ni muda mrefu huo, hatoi sababu anakataa tuu??
Au ndo maelezo ya pande moja we unaonekana msafii kwa kuedit we usionekane una makosa ila yeye ndo mwenye makosa daily.
 
😂😂😂, Uzi unachekesha huu hadi raha Yani, huko nyuma ni wanawake ndo tulikuwa tunalia changamoto za ndoa ila saiv ni wanaume aibu hii,
Na kuanzia leo nataka niwablock wanaume wote wanao jiliza hapa ndani, na leo naanza na huyu jamaa
 
Broo acha kupoteza mda na huyo mwanamke mjinga asiye funzwa kwao, ndoa inatakiwa ikupe furaha, faraja, tumaini na baraka maishani, ila hiyo yako ni jangwa, tena unako elekea ni jangwa lenye jua kali mpaka umauti, mrudishe kwao huyo vuta huyo mpya.

Akishindwa watoto chukua wapeleke kwa mama yako, huyo wako akizaa unaweza kuangalia utaratib wa kuwachukua sasa wanao ili muishi.

Usije ukategemea huyo kubadilika, ndiyo tabia yake hiyo mpaka nazeeka, mahaba utayaskia tu kwenye movie, mkuu umetenda dhambi gani hadi uone wewe ndo unastahili kulibeba hilo furushi lisilo funzwa kwao, fanya maamuz magumu jomba.
 
Ila kwa maelezo yako haya nahisi tatizo lipo kwako ndgu, huenda we ni selfish sana. Unajali zaidi hisia zako na bahati mbaya huo uselfish wako umetokeza mpaka nje unaonekana sasa.

Kwenye maelezo yako hujasema kwenye hiyo migogoro baadhi uliisolve/aliomba/uliomba msamaha, au ndo ile kibubububu mpaka ishu inaisha juu juu bila kua solved!??

Sababu ya kunyimwa unyumba ni nini?? Miezi 2 ni muda mrefu huo, hatoi sababu anakataa tuu??
Au ndo maelezo ya pande moja we unaonekana msafii kwa kuedit we usionekane una makosa ila yeye ndo mwenye makosa daily.
Hata hivo siku zote mshtaki ndio kaonewa mkuu kwa hiyo Mimi nimeleta shtaka langu huku ingefaa ushaur kama lilivyo hadi atakapokuja yy nae aseme kwa upande wake
 
Back
Top Bottom