makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mnajaribu kutetea lakini mwanamke ndio anaweza kumshawish mwanaume amtolee mahali wala sio kisirani kisichokuwa na msingi.... Na hadi nafikia hatua niliyo nayo sasa alichangia na nimekuwa nikigombana na wazee wangu linapokuja suala la mahari maana nawaza kuwa nikitoa mahali ndio itakuwa permanent union katika mateso haya! Ninayopitia na huyu mwanamke, kusema kweli ni changamoto kubwa sana nataman hata Mimi nihesabike kama ninamke wa ndoa ila kwa maisha haya nimekuwa mtumwa, kama maisha ya kawaida ninayo so sishindwi kutoa mahari
Ndio nilivyokutana nae, nimezaa nae watoto but after nikaja kugundua ana mtoto mwingine mkubwa tu kiufupi napitia mengi sijataka kuyaweka hapa ila linapokuja suala la Mimi kulaumiwa kumzalisha inabidi niweke sawa kuwa huyu mwanamke kwanza alinidanganya umri wake kipindi tunakutana imagine Mimi Nina 33 years ila yy ana 38 years na mtoto wake wa kwanza yupo chuo sasa na baada ya Mimi kugundua hayo ilibidi akubali japo mwanzo alikuwa hataki kabisa kusema ila nilishtukia baada ya kuona mshono wa operation akadai alipata ajali ila baada ya kukazia na baadhi ya ndugu zake kuniambia ndio akakubali na baada ya kutambua hilo pia huwa ananiomba hela amtumie mwanae na ninampa imagine how kindly iam!
Wewe si uhame hapoSio kwel nadhan ndio maisha yake yaani she is too childish ikitokea akakwazika anampigia mama yake wanaanza kulia kweny sim yaani wananikera hadi nataman nimwambie akalilie nje ila huwa nahofia jamii itanichukulia kama Mimi ndio mkorofi but ukifuatilia chanzo unagundua kuwa alikuwa amekosea yy ila ukimwelekeza tayari anaamini ameonewa
Ndio nilivyokutana nae, nimezaa nae watoto but after nikaja kugundua ana mtoto mwingine mkubwa tu kiufupi napitia mengi sijataka kuyaweka hapa ila linapokuja suala la Mimi kulaumiwa kumzalisha inabidi niweke sawa kuwa huyu mwanamke kwanza alinidanganya umri wake kipindi tunakutana imagine Mimi Nina 33 years ila yy ana 38 years na mtoto wake wa kwanza yupo chuo sasa na huwa ananiomba hela amtumie mwanae na ninamla imagine how kindly iam!
Mkuu, mahari sio tabia.Yote tisa kumi tatizo ni wewe....unamzalishaje mtoto wa watu watoto wawili wote hujamtolea mahari....hakika kilio chake ni majuto ayapatayo ... Anatamani nae aonekane mwanamke...ni sahihi unavyombeza.wanawake na sisi bhana
Leo nakupinga mkuu, tatizo wanawake wa skuizi wanapenda kushindana na waume zao, na wengi wanapo amka wanaanza kuwasha sim badala ya kuwasha moto ili wamuandalie mume chochote kabla ya kwenda kazini.Hata ukimuoa mchepuko nae atakuwa hivyo hivyo tu mapenzi matam unayoona ni kwa vile ni mapya na ni ya wizi, pole lakini
Ndio ndoa hio sio?Wanaume ndio maana tunakufa mapema sana.
Yaani mtu anakununia na wewe unakuwa unawaza!!
Akinuna unaachana naye.
Unatoka asubuhi unarudi saa 6 usiku unalala kwa furaha tele.
Hakuna kumuuliza au kumbembeleza
Mkuu kaza tu Bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemfahamu,kuwa na mtoto nje sio ishu ila kaza tu na huyo wa ndani.HABARI wakuu, kwanza kabla ya yote niwatakieni mfungo mwema,
Umri wangu ni Miaka 33, Nipo katika ndoa pia nina Watoto Wawili na huyu mwanamke, naona nisiandike Mengi kuhusu maisha yangu na huyu Mwanamke ila kimsingi tu ni MTU ambae ninapitia changamoto nyingi sana katika mahusiano haya, yaani kiufupi tu hata sielewi mwelekeo wa ndoa hii, Tulikutana nae tukachukuana nae Tukaamua kuishi pamoja hadi Sasa Tuna watoto wawili, lakini sijamtolea mahali, lakini sio kwamba sina uwezo wa kutoa mahali ila kinachonichelewesha ni aina ya maisha ambayo tunaishi nae, Yaani siku za furaha ni za kuhesebakika kuliko siku za kununiana, ana vijisababu visivyokuwa na mashiko anajinunisha, Mara utastuka usiku unamkuta MTU amekaa kitandani analia bila sababu, Mara atoke akae jikoni usiku, Mara ajidai amepandisha presha nianze kumpepea usiku yaani ni mateso bila ya kifo, Kimaisha siko vibaya ninamtimizia kila hitaji pia ninakaa kwangu sijapanga na Mimi ni MTU wa kutoka asububi narudi jioni kutokana na aina ya harakati zangu zinazoniweka mjini, Sasa kulitokea kasumba Kikitokea kimgogoro kidogo ananinyima unyumba, hadi inafkia mda unazuka ugomvi ndo napewa huwa nawaza namna ya kuachana nae, ila nawaonea huruma sana wanangu, pia hata yy namuonea huruma, maana nishamzalisha watoto Wawili wote alafu nimuache huwa kimsingi naishi nae kwa sababu ya huruma, pia kwa sababu ya kuwaonea huruma wanangu nilitamani wanangu walelewe na wazazi wao ila mwelekeo wa Maisha haya sijajua hatima,
Tangu mwezi wa Pili kuna shida ilitokea nikawa nanyimwa unyumba hadi ikafikia hatua nikakosa namna ikabidi nianzishe uhusiano na mtu mwingine ila kibaya nilianzisha kama njia ya kumaliza haja zangu nikirudi nyumbani najilalia zangu maana sikutaka ugomvi wa kutaka mbususu kwa wife ila kibaya naona nimezama mazima yani huyu mtoto anajua kucare, anajali kiufupi ninapata kila kitu ambacho nilikuwa nakosa awali, lakini kibaya zaidi na bahati mbaya kwa sasa huyu Mtoto ana ujauzito wangu, hapa nipo njia panda, Kusema kweli ingekuwa uwezo wngu ningemuoa huyu mtoto maana kimsingi mke ninaekaa nae ameshindwa kutambua thaman yangu, lakini kila likija swala la wanangu huwa naishiwa nguvu maana siwezi kuruhusu wanangu kukaa mbali na Mimi pia sina imani kama mwanamke huyu ataishi na wanangu vizuri mda ambao Mimi sipo, kusema kweli najikuta naishi katika majuto niliingiaje 18 za huyu mwanamke! Na ni namna gani nitaepuka hili!
Pia kuhusu suala ya yeye Pengine ana mahusiano mengine siwezi jua na huwa sina asili ya kifuatilia maisha yake maana nipo bize sana na pia huwa sitaki kabisa kufanya kumfuatilia maana matokeo ya kumfuatilia MTU siku zote hayawi mazuri,
Kibaya zaidi ni kuwa jamii tunayoishi nayo inatuona tuko vzuri maana mchana tunaigiziana ila ikifika usiku hakuna MTU anamsogelea mwenzie.
USHAURI WENU MHIMU.
Ukimuuliza shida ni nini anasemaje?Sio kwel nadhan ndio maisha yake yaani she is too childish ikitokea akakwazika anampigia mama yake wanaanza kulia kweny sim yaani wananikera hadi nataman nimwambie akalilie nje ila huwa nahofia jamii itanichukulia kama Mimi ndio mkorofi but ukifuatilia chanzo unagundua kuwa alikuwa amekosea yy ila ukimwelekeza tayari anaamini ameonewa
Acha makasiriko usikute unakaa kwa shangazi yako nothing you know about this ukiona MTU hawez kuongea basi ujue hata huko kuongea hana uhitaji wake piaNdio ndoa hio sio?
Unapungukiwa nini mkiongea?
Mtu mzima ovyooo
Basi we ni mwanaume na nusu mkuu[emoji119][emoji119]Ndio nilivyokutana nae, nimezaa nae watoto but after nikaja kugundua ana mtoto mwingine mkubwa tu kiufupi napitia mengi sijataka kuyaweka hapa ila linapokuja suala la Mimi kulaumiwa kumzalisha inabidi niweke sawa kuwa huyu mwanamke kwanza alinidanganya umri wake kipindi tunakutana imagine Mimi Nina 33 years ila yy ana 38 years na mtoto wake wa kwanza yupo chuo sasa na huwa ananiomba hela amtumie mwanae na ninamla imagine how kindly iam!
Tatizo mnalea ujinga. Mwanamke akishindwa kuwa mtii kwako, wepiga chini tuWanaume ndio maana tunakufa mapema sana.
Yaani mtu anakununia na wewe unakuwa unawaza!!
Akinuna unaachana naye.
Unatoka asubuhi unarudi saa 6 usiku unalala kwa furaha tele.
Hakuna kumuuliza au kumbembeleza
Narudi kutoa ushauri.HABARI wakuu, kwanza kabla ya yote niwatakieni mfungo mwema,
Umri wangu ni Miaka 33, Nipo katika ndoa pia nina Watoto Wawili na huyu mwanamke, naona nisiandike Mengi kuhusu maisha yangu na huyu Mwanamke ila kimsingi tu ni MTU ambae ninapitia changamoto nyingi sana katika mahusiano haya, yaani kiufupi tu hata sielewi mwelekeo wa ndoa hii, Tulikutana nae tukachukuana nae Tukaamua kuishi pamoja hadi Sasa Tuna watoto wawili, lakini sijamtolea mahali, lakini sio kwamba sina uwezo wa kutoa mahali ila kinachonichelewesha ni aina ya maisha ambayo tunaishi nae, Yaani siku za furaha ni za kuhesebakika kuliko siku za kununiana, ana vijisababu visivyokuwa na mashiko anajinunisha, Mara utastuka usiku unamkuta MTU amekaa kitandani analia bila sababu, Mara atoke akae jikoni usiku, Mara ajidai amepandisha presha nianze kumpepea usiku yaani ni mateso bila ya kifo, Kimaisha siko vibaya ninamtimizia kila hitaji pia ninakaa kwangu sijapanga na Mimi ni MTU wa kutoka asububi narudi jioni kutokana na aina ya harakati zangu zinazoniweka mjini, Sasa kulitokea kasumba Kikitokea kimgogoro kidogo ananinyima unyumba, hadi inafkia mda unazuka ugomvi ndo napewa huwa nawaza namna ya kuachana nae, ila nawaonea huruma sana wanangu, pia hata yy namuonea huruma, maana nishamzalisha watoto Wawili wote alafu nimuache huwa kimsingi naishi nae kwa sababu ya huruma, pia kwa sababu ya kuwaonea huruma wanangu nilitamani wanangu walelewe na wazazi wao ila mwelekeo wa Maisha haya sijajua hatima,
Tangu mwezi wa Pili kuna shida ilitokea nikawa nanyimwa unyumba hadi ikafikia hatua nikakosa namna ikabidi nianzishe uhusiano na mtu mwingine ila kibaya nilianzisha kama njia ya kumaliza haja zangu nikirudi nyumbani najilalia zangu maana sikutaka ugomvi wa kutaka mbususu kwa wife ila kibaya naona nimezama mazima yani huyu mtoto anajua kucare, anajali kiufupi ninapata kila kitu ambacho nilikuwa nakosa awali, lakini kibaya zaidi na bahati mbaya kwa sasa huyu Mtoto ana ujauzito wangu, hapa nipo njia panda, Kusema kweli ingekuwa uwezo wngu ningemuoa huyu mtoto maana kimsingi mke ninaekaa nae ameshindwa kutambua thaman yangu, lakini kila likija swala la wanangu huwa naishiwa nguvu maana siwezi kuruhusu wanangu kukaa mbali na Mimi pia sina imani kama mwanamke huyu ataishi na wanangu vizuri mda ambao Mimi sipo, kusema kweli najikuta naishi katika majuto niliingiaje 18 za huyu mwanamke! Na ni namna gani nitaepuka hili!
Pia kuhusu suala ya yeye Pengine ana mahusiano mengine siwezi jua na huwa sina asili ya kifuatilia maisha yake maana nipo bize sana na pia huwa sitaki kabisa kufanya kumfuatilia maana matokeo ya kumfuatilia MTU siku zote hayawi mazuri,
Kibaya zaidi ni kuwa jamii tunayoishi nayo inatuona tuko vzuri maana mchana tunaigiziana ila ikifika usiku hakuna MTU anamsogelea mwenzie.
USHAURI WENU MHIMU.
Changamoto sana mkuu!Leo nakupinga mkuu, tatizo wanawake wa skuizi wanapenda kushindana na waume zao, na wengi wanapo amka wanaanza kuwasha sim badala ya kuwasha moto ili wamuandalie mume chochote kabla ya kwenda kazini.