britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi
IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo
Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !
Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !
Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !
Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****
Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?
Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,
Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA
Soma pia
www.jamiiforums.com
Ntaendelea
Britanicca

Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika uspy wao
Kumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana, Katika kazi zangu nimepata bahati ya kukutana na dada mmoja jina ntamuita code name MNBQX Huyu dada Tumekuwa naye katika kazi mbali mbali Kwa miaka minne iliyopita, na bahati nzuri huwa tunakutana mara...
Ntaendelea
Britanicca