Mwendelezo wa 2018: Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika ujasusi wao

Mwendelezo wa 2018: Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika ujasusi wao

Mkuu sio watanzania tu, hakuna nchi inayojielewa ikafanya hivi. Popote duniani
Mbona marekani tunaona wanapata mpka viongoz wa juu kabsaa ambao Wana asili ya kiafrika ?? Hiv ingekua Obama angezaliwa hapa bongo Kwa situation yake ilivyo Babake kabsa akiwa raia wa Kenya angeweza gombea uraisi?
 
Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi

IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo

Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !

Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !

Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !

Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****

Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?

Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,


Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA

Soma pia


Ntaendelea

Britanicca
Subscribed
 
Ni wazi hakuna vetting ya kutosha Kwa Viongozi wetu

Kawaida kabla hujapewa madaraka, basi kuanzia ukoo wa Mume hadi ukoo wa mke ulipooa huwa unachimbuliwa


Kwasasa watu wanateuliwa Kwa Vimemo bila kuangalia vetting kufanywa
 
Ni ngumu sana kuingilia mapenzi ya mtu eti asimuoe Fulani Dunia hii? Mke wa musseveni ukimuangalia tu huulizi ni mnani mbona Uganda ipo mkuu? Kumbe hata sisi tunaweza watumia hao mademu kuwaspy taifa lile labda kama sisi tumeridhia vichwani mwetu ni maduduke


Fullstop, kwishaaa
 
Ukishakuwa unanunua silaha hakuna chochote unachoweza kuficha, silaha unaweza kuficha tu kama unazitengeneza mwenyewe.

Mrusi alipewa shaheed drones kutoka Iran, kwasababu zina known specs Mrusi akaingia karakana kuzimodify ziwe na specs tofauti

Safarini Khartoum Sudan.
 
Ambacho nimejifunza Kwenye nyuzi kuhusu Rwanda na Burundi ni kwamba kwa Afrika Mashariki, kati, na kusini, Sisi Watusi ndiyo watu wenye akili, na Jamie zote za ukanda huu zinajua hivyo, ndiyo.
That's is why pamoja na kuzngukwa na manchi makubwa kibao na ambayo tuna muingiliano nao mkubwa. Lakini always tunakaogopa ka Rwanda.
Watutsi ni wajinga sana. Rwanda ni nchi ndogo ambayo inahitaji kufanya uhalifu ili ipate rasilimali na eneo la kusogeza wananchi wake. Kosa linalofanywa na nchi majirani ni kupuuzia tu suala hili. Siku wakipatikana viongozi wa kulivalia njuga, wahamiaji wote hadi kutoka India na nchi za kiarabu itabidi waondoke.
 
Umemsahau yule alietaka kupitia mlango wa "Michezo".?..Yule Pacha ni Jasusi hata kwa kumtazama tu...Juzi nimeota Kuna hotel mmoja ndogo Jambiani ni safe house ya watu wa Paka😶😶😶😶😶
 
Mbona marekani tunaona wanapata mpka viongoz wa juu kabsaa ambao Wana asili ya kiafrika ?? Hiv ingekua Obama angezaliwa hapa bongo Kwa situation yake ilivyo Babake kabsa akiwa raia wa Kenya angeweza gombea uraisi?
Mkuu nadhani hujaielewa mada au kitu anachokisema mtoa mada. Unalinganisha vitu viwili tofauti na namna vinafanyika pia ni tofauti.

Tulia soma mada vizuri au anzia ule uzi wa kwanza ndio uje huu nadhani utaelewa vizuri zaidi mkuu
 
Motive ya mleta mada ni questionable!!!
====
Kuna a lot of issues to be addressed, which are rising these dalili zinazooneka ndiyo Chanzo cha tatizo.

Twist ya mleta mada, bado sijapata kwa maneno mengine hii si dhima ya ujumbe wake.
 
Tutengeneze mifumo imara tu mkuu britanicca,hata mjaluo wa kenya kama Obama akishika asiharibu!!

Ukipima nasaba yangu unaweza Kuta nasaba za mataifa zaidi ya moja!lakini uzalendo bila sheria kali za kulinda taifa letu ni Bure!!!
Huyajui malengo ya hawa watu kwa nchi yetu wewe? Unamkumbuka Mchungaji Mtikila? Unajua nini kilimpata baada ya kuwagusa waliomo humu?
 
Motive ya mleta mada ni questionable!!!
====
Kuna a lot of issues to be addressed, which are rising these dalili zinazooneka ndiyo Chanzo cha tatizo.

Twist ya mleta mada, bado sijapata kwa maneno mengine hii si dhima ya ujumbe wake.
Soma vizuri! Kama hujamwelewa, je ulimwelewa CDF alipozungumza jambo linalofanana na hili? Hawa watu ni very strategic na wako smart kuliko unavyofikiria.
 
Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi

IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo

Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !

Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !

Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !

Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****

Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?

Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,


Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA

Soma pia


Ntaendelea

Britanicca
Mke wa Inno ni mtu wa wapi?
 
Back
Top Bottom