Kama alivyoingia ndivyo atakavyotoka! Tsunami ikija haitangazwi!Sawa, nendeni mkamuondoe, maana nyuma ya keyboard haiwezekani kuondoka
Kama alivyoingia ndivyo atakavyotoka! Tsunami ikija haitangazwi!Sawa, nendeni mkamuondoe, maana nyuma ya keyboard haiwezekani kuondoka
Mbona tetesi zinasema hata mshauri wa Mama Abdul - Steve Nyerere ni Mtwa (Mnyarwanda mbilikimo)?Utashangaa Dotto anakuwa pm
Kikwete kweli anaangalia maslahi yake na familia yake tu kwa Sasa
Sawa mkuu! Kila la kheri na ni dua ya wote wapenda haki iwe ivyoKama alivyoingia ndivyo atakavyotoka! Tsunami ikija haitangazwi!