Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 2,519
- 5,504
Mkuu sio watanzania tu, hakuna nchi inayojielewa ikafanya hivi. Popote dunianiHivi ni kwanini Watanzania Wana wahofia sana Watu kutoka kwa Paka ? N inferior complex au kuzidiwa na akili .
Mkuu sio watanzania tu, hakuna nchi inayojielewa ikafanya hivi. Popote dunianiHivi ni kwanini Watanzania Wana wahofia sana Watu kutoka kwa Paka ? N inferior complex au kuzidiwa na akili .
Kitendo cha paka kuwa na watu wake ndani ya serikali ya JMT ni kosa letu Watanzania wenyewe,kwa kuwa na mifumo mibovu.Watanzania wangapi wamepewa uwaziri au uongozi wa juu kwa paka ?
Dunia ya leo huwezi zuia tusioleana. Hapa kama taifa lijiangalie, mchawi wa Tanzania ni watanzania wenyewe. Angalia mambo yanayo endelea nchini, utasema kwasababu ya kuoa wanyarwanda ?
Utashangaa Dotto anakuwa pm
Kikwete kweli anaangalia maslahi yake na familia yake tu kwa Sasa
Ina taarifa nyingi sana na zaidi ya Rwanda kupenyeza vipepeo ( ndio maana uliona CDF aliongea kwa ujasiri kwasababu wana kila kitu mezani ) na nje ya hizo wana taarifa nyingi zaidi lakini unaona kuna action yoyote ? ( katika utendaji wao, kuna mahala huenda wakawa wanazuiliwa kwasababu ya maslahi binafsi na wanao zuia ni watanzania wazawa ) .. Tatizo la Tanzania ni watanzania wenyeweIssue sio kuoa wanyarwanda, Tissue lazima wana taarifa watu gani wameolewa hapa kwa kazi maalumu ya kukusanya taarifa.
Sasa nashangaa wanalalamika badala ya ku Eliminate.
Unadhani watanzania hawana akili sio kweli waafrica wote akili zetu zinalingana akili zetu zinakuwa monitors na watawala full stop.Kama Wanyarwanda wana akili kutuzidi wacha watutawale tu. Mjinga hawezi kujiinua mbele ya mwenye akili!.
Kama CDF aliweza kulisema jambo nyeti kama lile hadharani maana yake ndani kuna tatizo kubwa la kutopokea ushauri. Naamini alifanya vile ili wenye akili walioko nje waweze kui-push serikali kuchukua hatua madhubuti na kuwa makini na wasio asilia. Swali la kujiuliza ni je serikali yenyewe iko wapi ya kuwa serious??Kuoa Rwanda wala sio tatizo , au wao kuja kufanya kazi hapa wala sio tatizo. Maana kuna watanzania wengi wameolewa na mafaifa powerful na weak na wapo walio oa hivyo hivyo.
Hapa ni kuangalia kama taifa namna gani ( ya kuweka watu katika nafasi gani ) , na kwa namna gani tunalinda taifa ( taatifa zake, na maslahi yake pasipo kuathiriwa ). Huenda vetting [emoji3061][emoji3061][emoji3061]
Sie hata walio wazawa wanaiuza Tanzania, na wote tunaona na sie tulio wazawa ndio tunamalizana.. Refer Tundu Lissu
Tatizo la kwanza la Tanzania ni watanzania wenyewe
Uzuri hili jambo lipo mezani kwa Muheshimiwa Rais, na CDF alimpa taarifa na ilikuwa Public na wote tulisikia.
Kama CDF aliweza kulisema jambo nyeti kama lile hadharani maana yake ndani kuna tatizo kubwa la kutopokea ushauri. Naamini alifanya vile ili wenye akili walioko nje waweze kui-push serikali kuchukua hatua madhubuti na kuwa makini na wasio asilia. Swali la kujiuliza ni je serikali yenyewe iko wapi ya kuwa serious??Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi
IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo
Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !
Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !
Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !
Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****
Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?
Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,
Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA
Soma pia
![]()
Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika uspy wao
Kumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana, Katika kazi zangu nimepata bahati ya kukutana na dada mmoja jina ntamuita code name MNBQX Huyu dada Tumekuwa naye katika kazi mbali mbali Kwa miaka minne iliyopita, na bahati nzuri huwa tunakutana mara...www.jamiiforums.com
Ntaendelea
Britanicca
Nimemsikia Dr Slaa anasema anajua changamoto anazopitia CDF katika kutekeleza majukumu yake....labda ndiyo mambo kama hayaKama CDF aliweza kulisema jambo nyeti kama lile hadharani maana yake ndani kuna tatizo kubwa la kutopokea ushauri. Naamini alifanya vile ili wenye akili walioko nje waweze kui-push serikali kuchukua hatua madhubuti na kuwa makini na wasio asilia. Swali la kujiuliza ni je serikali yenyewe iko wapi ya kuwa serious??
Tumeshuhudia mikataba ya "kuuza" rasilimali za nchi hivi karibuni kama vile bandari, mwendokasi ya udart, Loliondo huko kwa wamasai tunaambiwa sio Tanzania tena. Karibu madini yetu yote yako mikononi mwa wageni kutoka magharibi ikiwa ni pamoja na makaa ya mawe.
Je, waliofanya hayo yote si wazawa? Wanatoka Rwanda?
Nchi hii inauzwa na itaangamizwa na hao hao mnaowaita wazawa hao wanawake wanaoolewa waacheni wajilie raha kama mwenye nyumba ameshindwa kuilinda nyumba yake mgeni atafanya nini sasa
Naungana na wewe kabisa kuhusu kuwatilia mashaka wanyarwanda wakati viongozi wenye uzawa hawana machungu na nchi yetu
Professor Shivj kimuonekano ni muhindi lkn kimoyo, kiakili na kimatendo ni mzalendo kuliko mzee wa Msoga upo hpo....Tutengeneze mifumo imara tu mkuu britanicca,hata mjaluo wa kenya kama Obama akishika asiharibu!!
Ukipima nasaba yangu unaweza Kuta nasaba za mataifa zaidi ya moja!lakini uzalendo bila sheria kali za kulinda taifa letu ni Bure!!!
Unaona kinachotokea Kongo na hapa Tz tuna wilaya nzima na waziri Wanyarwanda.Hivi ni kwanini Watanzania Wana wahofia sana Watu kutoka kwa Paka ? N inferior complex au kuzidiwa na akili .
Hatuwaogopi, ila watu ambao wana sera ya expansionism kama taifa lazima uishi nao kwa tahadhari. Mbona hatuna shida ni Wacongo, Wamalawi au Warundi?Hivi ni kwanini Watanzania Wana wahofia sana Watu kutoka kwa Paka ? N inferior complex au kuzidiwa na akili .
Paka ana malengo yake aliyojiwekea kwa siku za mbele,cha ajabu tunachukulia poa,kanda ya ziwa wenyeviti wa serikali za mitaa na madiwani wengi ni watu wa paka hasa wanawake na wanajulikana wazi waziHivi ni kwanini Watanzania Wana wahofia sana Watu kutoka kwa Paka ? N inferior complex au kuzidiwa na akili .
Alisha achika, jasusi la kike liligundua masta hana info za maanaPicha za wadada wa kinywarwanda ziko wapi.
Msalimie master ameolewa huko USA
Tutengeneze mifumo imara tu mkuu britanicca,hata mjaluo wa kenya kama Obama akishika asiharibu!!
Ukipima nasaba yangu unaweza Kuta nasaba za mataifa zaidi ya moja!lakini uzalendo bila sheria kali za kulinda taifa letu ni Bure!!!
Issue sio kuoa wanyarwanda, Tissue lazima wana taarifa watu gani wameolewa hapa kwa kazi maalumu ya kukusanya taarifa.
Sasa nashangaa wanalalamika badala ya ku Eliminate.
Ambacho nimejifunza Kwenye nyuzi kuhusu Rwanda na Burundi ni kwamba kwa Afrika Mashariki, kati, na kusini, Sisi Watusi ndiyo watu wenye akili, na Jamie zote za ukanda huu zinajua hivyo, ndiyo.
That's is why pamoja na kuzngukwa na manchi makubwa kibao na ambayo tuna muingiliano nao mkubwa. Lakini always tunakaogopa ka Rwanda.
Waulize ambao kila siku wanawanangaVipi Wahutu wa Rwanda nao wana akili kama Watutsi au mmewazidi?