Mwendelezo wa 2018: Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika ujasusi wao

Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi

IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo

Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !

Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !

Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !

Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****

Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?

Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,

Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA

Soma pia

Ntaendelea

Britanicca
Ndo maana majuzi tu hapa JW wakapokea kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa M23 pale Goma
 
Kuoa Rwanda wala sio tatizo , au wao kuja kufanya kazi hapa wala sio tatizo. Maana kuna watanzania wengi wameolewa na mafaifa powerful na weak na wapo walio oa hivyo hivyo.

Hapa ni kuangalia kama taifa namna gani ( ya kuweka watu katika nafasi gani ) , na kwa namna gani tunalinda taifa ( taatifa zake, na maslahi yake pasipo kuathiriwa ). Huenda vetting 🥴🥴🥴

Sie hata walio wazawa wanaiuza Tanzania, na wote tunaona na sie tulio wazawa ndio tunamalizana.. Refer Tundu Lissu

Tatizo la kwanza la Tanzania ni watanzania wenyewe

Uzuri hili jambo lipo mezani kwa Muheshimiwa Rais, na CDF alimpa taarifa na ilikuwa Public na wote tulisikia.
sina uhakika kama chura kiziwi naye alimsikia vizuri CDF.
tutaliona hili baada ya uchaguzi, endapo utafanyika.
ukiona tu naibu waziri mkuu kawa boss, basi ujue chura kiziwi, hakusikia wala kumwelewa CDF
 
Unadhani watanzania hawana akili sio kweli waafrica wote akili zetu zinalingana akili zetu zinakuwa monitors na watawala full stop.

Hata hapo rwanda unadhani mwenye akili ni kagame peke yake tu wananchi wake hawakeleki na kinachoendelea sema ndio watafanya nini wenye nguvu wameshatuteka na tupo chini ya ulinzi mkali..
Michakato ya uchaguzi Tanzania imetawaliwa na pesa kuliko akili na uzalendo, kuinunua hii nchi ukiwa na pesa rahisi sana, na majilani wamejua hilo
 
Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi

IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo

Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !

Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !

Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !

Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****

Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?

Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,

Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA

Soma pia

Ntaendelea

Britanicca
Kikwete ilikuwaje Wanyarwanda kuwapa uraia kipindi kile?
 
Kuoa Rwanda wala sio tatizo , au wao kuja kufanya kazi hapa wala sio tatizo. Maana kuna watanzania wengi wameolewa na mafaifa powerful na weak na wapo walio oa hivyo hivyo.

Hapa ni kuangalia kama taifa namna gani ( ya kuweka watu katika nafasi gani ) , na kwa namna gani tunalinda taifa ( taatifa zake, na maslahi yake pasipo kuathiriwa ). Huenda vetting 🥴🥴🥴

Sie hata walio wazawa wanaiuza Tanzania, na wote tunaona na sie tulio wazawa ndio tunamalizana.. Refer Tundu Lissu

Tatizo la kwanza la Tanzania ni watanzania wenyewe

Uzuri hili jambo lipo mezani kwa Muheshimiwa Rais, na CDF alimpa taarifa na ilikuwa Public na wote tulisikia.
Samia kalifanyia kazi?
 
sina uhakika kama chura kiziwi naye alimsikia vizuri CDF.
tutaliona hili baada ya uchaguzi, endapo utafanyika.
ukiona tu naibu waziri mkuu kawa boss, basi ujue chura kiziwi, hakusikia wala kumwelewa CDF
Angekuwa kamwelewa wasingeruhu aendelee kuwa mbunge
 
Kuoa Rwanda wala sio tatizo , au wao kuja kufanya kazi hapa wala sio tatizo. Maana kuna watanzania wengi wameolewa na mafaifa powerful na weak na wapo walio oa hivyo hivyo.

Hapa ni kuangalia kama taifa namna gani ( ya kuweka watu katika nafasi gani ) , na kwa namna gani tunalinda taifa ( taatifa zake, na maslahi yake pasipo kuathiriwa ). Huenda vetting 🥴🥴🥴

Sie hata walio wazawa wanaiuza Tanzania, na wote tunaona na sie tulio wazawa ndio tunamalizana.. Refer Tundu Lissu

Tatizo la kwanza la Tanzania ni watanzania wenyewe

Uzuri hili jambo lipo mezani kwa Muheshimiwa Rais, na CDF alimpa taarifa na ilikuwa Public na wote tulisikia.
Sawa wote Tulisikia
sasa aliyepewa taarifa amechukua hatua gani kurekebisha?
Ndio maana wananchi wanasema hatoshi aondoke ; lakini yeye anang’ang’ania tu hicho cheo!
 
Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi

IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo

Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !

Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !

Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !

Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****

Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?

Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,

Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA

Soma pia

Ntaendelea

Britanicca
Kwa nini unawaza kuwa wanawake walioolewa TZ wanatupeleleza na isiwe kinyume chake kuwa sisi ndio tunawapeleleza?

Kitu gani kinakufanya useme hivyo mbona watz wapo kibao kwenye jeshi la Uganda na hakuna uhasama wowote? Mpaka Mkuu wa Kikosi cha Mizinga alikuwa Mtz baada ya kustaafu hapa TZ Mseveni akamwajiri tena huko kwao.

Pia tambua kuwa wanyarwanda na warundi wapo wengi sana Kanda ya Ziwa kwa muda mrefu hivyo huwezi kuwatenga kwa sababu za kitoto kitoto tu pia usisahau Rwanda na Burundi ilikuwa ndani ya Tanganyika hivyo ni ndugu hata ukoo wa Baba wa Taifa JK Nyerere una asili ya Rwanda na Burundi.
 
Ambacho nimejifunza Kwenye nyuzi kuhusu Rwanda na Burundi ni kwamba kwa Afrika Mashariki, kati, na kusini, Sisi Watusi ndiyo watu wenye akili, na Jamie zote za ukanda huu zinajua hivyo, ndiyo.
That's is why pamoja na kuzngukwa na manchi makubwa kibao na ambayo tuna muingiliano nao mkubwa. Lakini always tunakaogopa ka Rwanda.
Yeah akili mnazo mkuu, maana EA nzima nchi mnayoongoza ndo kinara wa uchumi.
But all in all mnasakamwa sana kwakuwa hamko soluble kwa jamii zingine thats a big problem.
Iko waz kwamba nyie sio threat kuliko wenyeji wa nchi husika.
 
Ambacho nimejifunza Kwenye nyuzi kuhusu Rwanda na Burundi ni kwamba kwa Afrika Mashariki, kati, na kusini, Sisi Watusi ndiyo watu wenye akili, na Jamie zote za ukanda huu zinajua hivyo, ndiyo.
That's is why pamoja na kuzngukwa na manchi makubwa kibao na ambayo tuna muingiliano nao mkubwa. Lakini always tunakaogopa ka Rwanda.
The big issue si Akili, bali ni hujuma za mataifa ya nje kuwatumia hawa puppets wao(mnaotesa jamii zingine kwa tamaa zenu), ambao mnaishi na sisi lakini mnamaslahi ya hawa Mamaster wenu.

Rwanda haiogopwi wala kuhofiwa bila sababu, bali upuuzi wanaoufanya kwa taifa la Congo ndio unaifanya ihofiwe na mataifa mengine, what if wakapitisha watu wao then baada ya muda waanze uhuni wanaoufanya huko kwingine?

Ni kama polisi ambao kiuhalisia wana nguvu kuliko Vibaka lakini polisi hawa hawa wenye nguvu wanakesha kuwasaka na kujaa presha sababu ya hao vibaka njaa.

Inawezekana, kilichoikuta gaza/Palestine kikaja kuikuta nchi mojawapo hapa East Afrika, either Congo ambayo tayari ishakumbwa na tatizo bado tu kugawanywa kwa makundi ya kiharamia then baadae itafanywa kua nchi moja very powerful In Afrika pia ni puppet wa Watu wa magharibi+USA.

Inawezekana pia kuna mipango ya kuja kuinyakua nchi hapa hapa East Africa ambayo itagawanywa then ardhi hiyo watapewa kabila fulani ambalo ni mtiifu kwa Master wake, pia hili kabila ama hii jamii inaogopwa si kwa ujasiri na nguvu zao, bali hizo hujuma zake, maana mtu mwema hawezi kuutenda wema muda wote, lakini muarifu hachoki kuutenda uharifu wake, muda wote yuko active, the same kwa hili.

Kuna siku tukizubaa tutakuja kulaumiwa na vizazi vyetu, ardhi yetu itatajwa kwa majina ya nchi za mbali, huku jamii zetu zikiitwa wahamiaji haramu.

MARK THIS👉 hili lazima litatokea iwe leo ama miaka ijayo either litafanikiwa ama kufeli kama tutaamka, dalili mnaziona wenyewe si lazima kuambiwa kila kitu.

NARUDIA TENA👉 kilichoikuta palestina, kitazikuta nchi fulani hapa hapa East Afrika hasa Congo+Tanzania, tusipoamka kuna siku baadhi ya sehemu ktk ardhi zetu zitakuwa miliki ya wageni either kupitia puppets wao ama direct wao wenyewe.

Kama taifa tuna safari ndefu sana, ikiwa tutaendekeza huu upuuzi wa tamaa za kujinufanisha sisi na kusahau maslahi ya nchi, basi mipango ya waovu lazima itimie, maaana hawa jamaa wako ACTIVE zaidi ya tujuavyo.
 
Sawa wote Tulisikia
sasa aliyepewa taarifa amechukua hatua gani kurekebisha?
Ndio maana wananchi wanasema hatoshi aondoke ; lakini yeye anang’ang’ania tu hicho cheo!
Swala la kusikia moja, na swala la kutenda ni lingine
 
Mie na wewe hatujui mkuu. Alafu Muheshimiwa Rais ni Mnyarwanda kwani ?
Ni Muoman yule hana uchungu na nchi.

Angekuwa na uchungu hatua tungeona zikichukuliwa dhidi ya wenye kulalamikiwa,

Kwa nini mawaziri wenye kulalamikiwa wamewaruhusu kuendelea kuwa watia nia kwenye chama chao?
 
Back
Top Bottom