Mwendelezo wa 2018: Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika ujasusi wao

Dunia ya leo huwezi zuia tusioleana. Hapa kama taifa lijiangalie, mchawi wa Tanzania ni watanzania wenyewe. Angalia mambo yanayo endelea nchini, utasema kwasababu ya kuoa wanyarwanda ?

Issue sio kuoa wanyarwanda, Tissue lazima wana taarifa watu gani wameolewa hapa kwa kazi maalumu ya kukusanya taarifa.

Sasa nashangaa wanalalamika badala ya ku Eliminate.
 
Issue sio kuoa wanyarwanda, Tissue lazima wana taarifa watu gani wameolewa hapa kwa kazi maalumu ya kukusanya taarifa.

Sasa nashangaa wanalalamika badala ya ku Eliminate.
Ina taarifa nyingi sana na zaidi ya Rwanda kupenyeza vipepeo ( ndio maana uliona CDF aliongea kwa ujasiri kwasababu wana kila kitu mezani ) na nje ya hizo wana taarifa nyingi zaidi lakini unaona kuna action yoyote ? ( katika utendaji wao, kuna mahala huenda wakawa wanazuiliwa kwasababu ya maslahi binafsi na wanao zuia ni watanzania wazawa ) .. Tatizo la Tanzania ni watanzania wenyewe
 
Kama Wanyarwanda wana akili kutuzidi wacha watutawale tu. Mjinga hawezi kujiinua mbele ya mwenye akili!.
Unadhani watanzania hawana akili sio kweli waafrica wote akili zetu zinalingana akili zetu zinakuwa monitors na watawala full stop.

Hata hapo rwanda unadhani mwenye akili ni kagame peke yake tu wananchi wake hawakeleki na kinachoendelea sema ndio watafanya nini wenye nguvu wameshatuteka na tupo chini ya ulinzi mkali..
 
Kama CDF aliweza kulisema jambo nyeti kama lile hadharani maana yake ndani kuna tatizo kubwa la kutopokea ushauri. Naamini alifanya vile ili wenye akili walioko nje waweze kui-push serikali kuchukua hatua madhubuti na kuwa makini na wasio asilia. Swali la kujiuliza ni je serikali yenyewe iko wapi ya kuwa serious??

Tumeshuhudia mikataba ya "kuuza" rasilimali za nchi hivi karibuni kama vile bandari, mwendokasi ya udart, Loliondo huko kwa wamasai tunaambiwa sio Tanzania tena. Karibu madini yetu yote yako mikononi mwa wageni kutoka magharibi ikiwa ni pamoja na makaa ya mawe.

Je, waliofanya hayo yote si wazawa? Wanatoka Rwanda?

Nchi hii inauzwa na itaangamizwa na hao hao mnaowaita wazawa hao wanawake wanaoolewa waacheni wajilie raha kama mwenye nyumba ameshindwa kuilinda nyumba yake mgeni atafanya nini sasa

Naungana na wewe kabisa kuhusu kuwatilia mashaka wanyarwanda wakati viongozi wenye uzawa hawana machungu na nchi yetu
 
Kama CDF aliweza kulisema jambo nyeti kama lile hadharani maana yake ndani kuna tatizo kubwa la kutopokea ushauri. Naamini alifanya vile ili wenye akili walioko nje waweze kui-push serikali kuchukua hatua madhubuti na kuwa makini na wasio asilia. Swali la kujiuliza ni je serikali yenyewe iko wapi ya kuwa serious??

Tumeshuhudia mikataba ya "kuuza" rasilimali za nchi hivi karibuni kama vile bandari, mwendokasi ya udart, Loliondo huko kwa wamasai tunaambiwa sio Tanzania tena. Karibu madini yetu yote yako mikononi mwa wageni kutoka magharibi ikiwa ni pamoja na makaa ya mawe.

Je, waliofanya hayo yote si wazawa? Wanatoka Rwanda?

Nchi hii inauzwa na itaangamizwa na hao hao mnaowaita wazawa hao wanawake wanaoolewa waacheni wajilie raha kama mwenye nyumba ameshindwa kuilinda nyumba yake mgeni atafanya nini sasa

Kama hao ma spy wa Rwanda ndio walishauri tuuze bandari, tuuze Udart, tuuze Loliondo nakadhalika basi hatuna budi kuwalaumu

Lakini kama sio wao basi wazawa ndo wenye shida zaidi acha tuwekwe mateka tu
 
Nimemsikia Dr Slaa anasema anajua changamoto anazopitia CDF katika kutekeleza majukumu yake....labda ndiyo mambo kama haya
 
Ambacho nimejifunza Kwenye nyuzi kuhusu Rwanda na Burundi ni kwamba kwa Afrika Mashariki, kati, na kusini, Sisi Watusi ndiyo watu wenye akili, na Jamie zote za ukanda huu zinajua hivyo, ndiyo.
That's is why pamoja na kuzngukwa na manchi makubwa kibao na ambayo tuna muingiliano nao mkubwa. Lakini always tunakaogopa ka Rwanda.
 
Tutengeneze mifumo imara tu mkuu britanicca,hata mjaluo wa kenya kama Obama akishika asiharibu!!

Ukipima nasaba yangu unaweza Kuta nasaba za mataifa zaidi ya moja!lakini uzalendo bila sheria kali za kulinda taifa letu ni Bure!!!
Professor Shivj kimuonekano ni muhindi lkn kimoyo, kiakili na kimatendo ni mzalendo kuliko mzee wa Msoga upo hpo....
 
Hivi ni kwanini Watanzania Wana wahofia sana Watu kutoka kwa Paka ? N inferior complex au kuzidiwa na akili .
Paka ana malengo yake aliyojiwekea kwa siku za mbele,cha ajabu tunachukulia poa,kanda ya ziwa wenyeviti wa serikali za mitaa na madiwani wengi ni watu wa paka hasa wanawake na wanajulikana wazi wazi
 
Tutengeneze mifumo imara tu mkuu britanicca,hata mjaluo wa kenya kama Obama akishika asiharibu!!

Ukipima nasaba yangu unaweza Kuta nasaba za mataifa zaidi ya moja!lakini uzalendo bila sheria kali za kulinda taifa letu ni Bure!!!

Issue sio kuoa wanyarwanda, Tissue lazima wana taarifa watu gani wameolewa hapa kwa kazi maalumu ya kukusanya taarifa.

Sasa nashangaa wanalalamika badala ya ku Eliminate.


naam,
 

Vipi Wahutu wa Rwanda nao wana akili kama Watutsi au mmewazidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…