Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 1,343
- 1,679
Mbona marekani tunaona wanapata mpka viongoz wa juu kabsaa ambao Wana asili ya kiafrika ?? Hiv ingekua Obama angezaliwa hapa bongo Kwa situation yake ilivyo Babake kabsa akiwa raia wa Kenya angeweza gombea uraisi?Mkuu sio watanzania tu, hakuna nchi inayojielewa ikafanya hivi. Popote duniani
Wewe ndo umesema watutsi wa Rwanda mna akili, nami nakuuliza Je Wahutu na Watutsi ni akina nani wenye akili zaidi?Waulize ambao kila siku wanawananga
SubscribedTanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi
IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo
Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !
Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !
Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !
Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****
Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?
Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,
Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA
Soma pia
Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika uspy wao
Kumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana, Katika kazi zangu nimepata bahati ya kukutana na dada mmoja jina ntamuita code name MNBQX Huyu dada Tumekuwa naye katika kazi mbali mbali Kwa miaka minne iliyopita, na bahati nzuri huwa tunakutana mara...www.jamiiforums.com
Ntaendelea
Britanicca
Watutsi ni wajinga sana. Rwanda ni nchi ndogo ambayo inahitaji kufanya uhalifu ili ipate rasilimali na eneo la kusogeza wananchi wake. Kosa linalofanywa na nchi majirani ni kupuuzia tu suala hili. Siku wakipatikana viongozi wa kulivalia njuga, wahamiaji wote hadi kutoka India na nchi za kiarabu itabidi waondoke.Ambacho nimejifunza Kwenye nyuzi kuhusu Rwanda na Burundi ni kwamba kwa Afrika Mashariki, kati, na kusini, Sisi Watusi ndiyo watu wenye akili, na Jamie zote za ukanda huu zinajua hivyo, ndiyo.
That's is why pamoja na kuzngukwa na manchi makubwa kibao na ambayo tuna muingiliano nao mkubwa. Lakini always tunakaogopa ka Rwanda.
Yeye tumempa dhamana ya kutulinda, achukue hatua sio kulalamikaGen. Mkunda alitoa onyo ila akapuuzwa
Anaogopa kuonekana mhainiYeye tumempa dhamana ya kutulinda, achukue hatua sio kulalamika
Mkuu nadhani hujaielewa mada au kitu anachokisema mtoa mada. Unalinganisha vitu viwili tofauti na namna vinafanyika pia ni tofauti.Mbona marekani tunaona wanapata mpka viongoz wa juu kabsaa ambao Wana asili ya kiafrika ?? Hiv ingekua Obama angezaliwa hapa bongo Kwa situation yake ilivyo Babake kabsa akiwa raia wa Kenya angeweza gombea uraisi?
"Ikifika July 19 she will totally lose control ya kampuni."Utashangaa Dotto anakuwa pm
Kikwete kweli anaangalia maslahi yake na familia yake tu kwa Sasa
Inferior complex? Unawajua vizuri hao watu wewe???Hivi ni kwanini Watanzania Wana wahofia sana Watu kutoka kwa Paka ? N inferior complex au kuzidiwa na akili .
Huyajui malengo ya hawa watu kwa nchi yetu wewe? Unamkumbuka Mchungaji Mtikila? Unajua nini kilimpata baada ya kuwagusa waliomo humu?Tutengeneze mifumo imara tu mkuu britanicca,hata mjaluo wa kenya kama Obama akishika asiharibu!!
Ukipima nasaba yangu unaweza Kuta nasaba za mataifa zaidi ya moja!lakini uzalendo bila sheria kali za kulinda taifa letu ni Bure!!!
Soma vizuri! Kama hujamwelewa, je ulimwelewa CDF alipozungumza jambo linalofanana na hili? Hawa watu ni very strategic na wako smart kuliko unavyofikiria.Motive ya mleta mada ni questionable!!!
====
Kuna a lot of issues to be addressed, which are rising these dalili zinazooneka ndiyo Chanzo cha tatizo.
Twist ya mleta mada, bado sijapata kwa maneno mengine hii si dhima ya ujumbe wake.
Mke wa Inno ni mtu wa wapi?Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi