Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Ndo maana majuzi tu hapa JW wakapokea kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa M23 pale GomaTanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi
IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo
Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !
Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !
Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !
Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****
Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?
Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,
Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA
Soma pia
Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika uspy wao
Kumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana, Katika kazi zangu nimepata bahati ya kukutana na dada mmoja jina ntamuita code name MNBQX Huyu dada Tumekuwa naye katika kazi mbali mbali Kwa miaka minne iliyopita, na bahati nzuri huwa tunakutana mara...www.jamiiforums.com
Ntaendelea
Britanicca
sina uhakika kama chura kiziwi naye alimsikia vizuri CDF.Kuoa Rwanda wala sio tatizo , au wao kuja kufanya kazi hapa wala sio tatizo. Maana kuna watanzania wengi wameolewa na mafaifa powerful na weak na wapo walio oa hivyo hivyo.
Hapa ni kuangalia kama taifa namna gani ( ya kuweka watu katika nafasi gani ) , na kwa namna gani tunalinda taifa ( taatifa zake, na maslahi yake pasipo kuathiriwa ). Huenda vetting 🥴🥴🥴
Sie hata walio wazawa wanaiuza Tanzania, na wote tunaona na sie tulio wazawa ndio tunamalizana.. Refer Tundu Lissu
Tatizo la kwanza la Tanzania ni watanzania wenyewe
Uzuri hili jambo lipo mezani kwa Muheshimiwa Rais, na CDF alimpa taarifa na ilikuwa Public na wote tulisikia.
Michakato ya uchaguzi Tanzania imetawaliwa na pesa kuliko akili na uzalendo, kuinunua hii nchi ukiwa na pesa rahisi sana, na majilani wamejua hiloUnadhani watanzania hawana akili sio kweli waafrica wote akili zetu zinalingana akili zetu zinakuwa monitors na watawala full stop.
Hata hapo rwanda unadhani mwenye akili ni kagame peke yake tu wananchi wake hawakeleki na kinachoendelea sema ndio watafanya nini wenye nguvu wameshatuteka na tupo chini ya ulinzi mkali..
PM kama sio Kurwa basi ni msomali mkulima.Utashangaa Dotto anakuwa pm
Kikwete kweli anaangalia maslahi yake na familia yake tu kwa Sasa
Kikwete ilikuwaje Wanyarwanda kuwapa uraia kipindi kile?Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi
IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo
Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !
Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !
Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !
Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****
Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?
Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,
Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA
Soma pia
Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika uspy wao
Kumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana, Katika kazi zangu nimepata bahati ya kukutana na dada mmoja jina ntamuita code name MNBQX Huyu dada Tumekuwa naye katika kazi mbali mbali Kwa miaka minne iliyopita, na bahati nzuri huwa tunakutana mara...www.jamiiforums.com
Ntaendelea
Britanicca
Samia kalifanyia kazi?Kuoa Rwanda wala sio tatizo , au wao kuja kufanya kazi hapa wala sio tatizo. Maana kuna watanzania wengi wameolewa na mafaifa powerful na weak na wapo walio oa hivyo hivyo.
Hapa ni kuangalia kama taifa namna gani ( ya kuweka watu katika nafasi gani ) , na kwa namna gani tunalinda taifa ( taatifa zake, na maslahi yake pasipo kuathiriwa ). Huenda vetting 🥴🥴🥴
Sie hata walio wazawa wanaiuza Tanzania, na wote tunaona na sie tulio wazawa ndio tunamalizana.. Refer Tundu Lissu
Tatizo la kwanza la Tanzania ni watanzania wenyewe
Uzuri hili jambo lipo mezani kwa Muheshimiwa Rais, na CDF alimpa taarifa na ilikuwa Public na wote tulisikia.
Angekuwa kamwelewa wasingeruhu aendelee kuwa mbungesina uhakika kama chura kiziwi naye alimsikia vizuri CDF.
tutaliona hili baada ya uchaguzi, endapo utafanyika.
ukiona tu naibu waziri mkuu kawa boss, basi ujue chura kiziwi, hakusikia wala kumwelewa CDF
Sawa wote TulisikiaKuoa Rwanda wala sio tatizo , au wao kuja kufanya kazi hapa wala sio tatizo. Maana kuna watanzania wengi wameolewa na mafaifa powerful na weak na wapo walio oa hivyo hivyo.
Hapa ni kuangalia kama taifa namna gani ( ya kuweka watu katika nafasi gani ) , na kwa namna gani tunalinda taifa ( taatifa zake, na maslahi yake pasipo kuathiriwa ). Huenda vetting 🥴🥴🥴
Sie hata walio wazawa wanaiuza Tanzania, na wote tunaona na sie tulio wazawa ndio tunamalizana.. Refer Tundu Lissu
Tatizo la kwanza la Tanzania ni watanzania wenyewe
Uzuri hili jambo lipo mezani kwa Muheshimiwa Rais, na CDF alimpa taarifa na ilikuwa Public na wote tulisikia.
Kwa nini unawaza kuwa wanawake walioolewa TZ wanatupeleleza na isiwe kinyume chake kuwa sisi ndio tunawapeleleza?Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi
IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo
Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ! Tumepata Mpaka Waziri kabisa wa Wizara nyeti na amesambaza taarifa nyeti za nchi yetu kwa NKOITANYI mnayesema hana madhara Lakin anayomakubwa sana ! Waafrika tuna Tatizo la kuona karibu sana ! Miaka 10 mbele tutakuwa na mambo ya ajabu !
Tuna viongozi 12 wameona kwa kina izigiyimaana! We knew it and we kept quiet !
Taarifa nyeti zinatufikia kuwa tumekosea sana kuruhusu hili suala Lakin hatuna jinsi ! Mipaka yetu imeingiliwa sana ! Wengi si wazawa wakiwa na kigezo cha kwamba tusibaguliwe kisa wa Mpakani! Yule waziri aliyeoa mwanamke mwenye jina la mama jimbo la Marekani kwao ni Rwanda kabisa na kila mwezi wanaenda !
Kuna kijana ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Magereza ni Mshauri mkuu ni Mnyarwanda ana jina la Yesu kwa biblia ****
Kuna Yule mwenye michezo ya 900 itapendeza na minada yake Mpaka sasa data zote za nchi imenunua silaha zipi mpaka oda ya silaha tulizonazo pending Yule NGOTO YA EKISO taarifa anazipeleka Kama zilivyo kwa NKOITANYI!
Kabisa Taifa limefika hatua hii?
Uzi ule wa awali niligusia JOSEPH NIMI na taarifa za NIDA Ambavyo zinatumika kiteknolojia ku estimate kura na matokeo na pili na walivyokamatwa Mwanamboka. NTAELEZA ANOTHER DAY TOPIC YA NIDA NA CCM ,
Cha kushangaza Wahamiaji haramu zaidi ya 2M Mpaka sasa wanavitambulisho vya NIDA
Soma pia
Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika uspy wao
Kumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana, Katika kazi zangu nimepata bahati ya kukutana na dada mmoja jina ntamuita code name MNBQX Huyu dada Tumekuwa naye katika kazi mbali mbali Kwa miaka minne iliyopita, na bahati nzuri huwa tunakutana mara...www.jamiiforums.com
Ntaendelea
Britanicca
Yeah akili mnazo mkuu, maana EA nzima nchi mnayoongoza ndo kinara wa uchumi.Ambacho nimejifunza Kwenye nyuzi kuhusu Rwanda na Burundi ni kwamba kwa Afrika Mashariki, kati, na kusini, Sisi Watusi ndiyo watu wenye akili, na Jamie zote za ukanda huu zinajua hivyo, ndiyo.
That's is why pamoja na kuzngukwa na manchi makubwa kibao na ambayo tuna muingiliano nao mkubwa. Lakini always tunakaogopa ka Rwanda.
The big issue si Akili, bali ni hujuma za mataifa ya nje kuwatumia hawa puppets wao(mnaotesa jamii zingine kwa tamaa zenu), ambao mnaishi na sisi lakini mnamaslahi ya hawa Mamaster wenu.Ambacho nimejifunza Kwenye nyuzi kuhusu Rwanda na Burundi ni kwamba kwa Afrika Mashariki, kati, na kusini, Sisi Watusi ndiyo watu wenye akili, na Jamie zote za ukanda huu zinajua hivyo, ndiyo.
That's is why pamoja na kuzngukwa na manchi makubwa kibao na ambayo tuna muingiliano nao mkubwa. Lakini always tunakaogopa ka Rwanda.
Swala la kusikia moja, na swala la kutenda ni lingineSawa wote Tulisikia
sasa aliyepewa taarifa amechukua hatua gani kurekebisha?
Ndio maana wananchi wanasema hatoshi aondoke ; lakini yeye anang’ang’ania tu hicho cheo!
Mie na wewe hatujui mkuu. Alafu Muheshimiwa Rais ni Mnyarwanda kwani ?Samia kalifanyia kazi?
Ni Muoman yule hana uchungu na nchi.Mie na wewe hatujui mkuu. Alafu Muheshimiwa Rais ni Mnyarwanda kwani ?
hapo unamsingizia Mkuu, hajawahi kuwapa uraia wanyarwanda.Kikwete ilikuwaje Wanyarwanda kuwapa uraia kipindi kile?
Sawa, nani aliyetakiwa kutenda?Swala la kusikia moja, na swala la kutenda ni lingine
Sawa, nendeni mkamuondoe, maana nyuma ya keyboard haiwezekani kuondokaSawa, nani aliyetakiwa kutenda?
Ndio maana wananchi wanasema hatoshi aondoke!!