N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,833 Aug 26, 2025 #81 ApolloShadow said: Sawa, nendeni mkamuondoe, maana nyuma ya keyboard haiwezekani kuondoka Click to expand... Kama alivyoingia ndivyo atakavyotoka! Tsunami ikija haitangazwi!
ApolloShadow said: Sawa, nendeni mkamuondoe, maana nyuma ya keyboard haiwezekani kuondoka Click to expand... Kama alivyoingia ndivyo atakavyotoka! Tsunami ikija haitangazwi!
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,181 Reaction score 7,382 Aug 26, 2025 #82 Griss said: Utashangaa Dotto anakuwa pm Kikwete kweli anaangalia maslahi yake na familia yake tu kwa Sasa Click to expand... Mbona tetesi zinasema hata mshauri wa Mama Abdul - Steve Nyerere ni Mtwa (Mnyarwanda mbilikimo)?
Griss said: Utashangaa Dotto anakuwa pm Kikwete kweli anaangalia maslahi yake na familia yake tu kwa Sasa Click to expand... Mbona tetesi zinasema hata mshauri wa Mama Abdul - Steve Nyerere ni Mtwa (Mnyarwanda mbilikimo)?
ApolloShadow JF-Expert Member Joined Jul 19, 2025 Posts 925 Reaction score 1,962 Aug 26, 2025 #83 Ndinani said: Kama alivyoingia ndivyo atakavyotoka! Tsunami ikija haitangazwi! Click to expand... Sawa mkuu! Kila la kheri na ni dua ya wote wapenda haki iwe ivyo
Ndinani said: Kama alivyoingia ndivyo atakavyotoka! Tsunami ikija haitangazwi! Click to expand... Sawa mkuu! Kila la kheri na ni dua ya wote wapenda haki iwe ivyo