Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Eti jaribio hilo limeshndwa,..........halkushndwa bali walifanikiwa kabsa maana watu walipata hasara
 
Samia anajihujumu mwenyewe,nani ana shida ya kumhujumu?
Let me be clear,Samia anatoka Zanzibar jamii ndogo sana ya watanzania na mbaya zaidi ameshika nchi kutoka kwa mtangulizi wake Dkt Magufuli ambaye wananchi wa kawaida ameendelea kuonekana alikuwa mkombozi wao. Ordinary Tanzanian hajui sijui kubinywa uhuru wa habari,anataka huduma za kijamii Elimu,Afya,Umeme, Barabara,n.k vitu ambavyo wananchi walivipata kipindi cha JPM. Leo Samia ameshika nchi hajamaliza miezi 3 shida zimeanza kama awamu ya 4. Samia ajiandae kisaikolojia.
Wapinzani na wanaharakati anaowafurahisha hawatampigia kura na hawatakiunga mkono chama chake cha CCM. Tuombe uzima ili tushuhudie hiyo 2025 laana ya kumuondoa JIWE
Mkuu elemu bure imefutwa? Huduma za afya zimefutwa? Wewe ndio miongoni mnaomuhujumu mama Samia kwa kuzalisha matatizo bandia ambayo hata hayapo.
 
Madhara ya kuendeleza aina mpya hii ya ubaguzi, side effect yake mtakuja kuiona 2025 na mtakua mmechelewa

Wale mnaowasafisha sasa hivi watakaa pembeni yenu ili washinde uchaguzi, na watashinda

Then nyinyi ndio mtaamuka kuanza kudai tume huru(maanina zenu), then watawapa ajira tena ya kuwatukana maadui zao, na maisha yataendelea.
 
Haya mambo madogo madogo ndo yatakuja kuleta madhara makubwa sana hapo baadaye!!

Sasa hii Hasara sijui nani atailipa na ukitazama video ya kuzama hiyo Crane ni mzaha mzaha mwisho wa siku ajali ikatokea.
20210524_175932.jpg
 
Samia anajihujumu mwenyewe,nani ana shida ya kumhujumu?
Let me be clear,Samia anatoka Zanzibar jamii ndogo sana ya watanzania na mbaya zaidi ameshika nchi kutoka kwa mtangulizi wake Dkt Magufuli ambaye wananchi wa kawaida ameendelea kuonekana alikuwa mkombozi wao. Ordinary Tanzanian hajui sijui kubinywa uhuru wa habari,anataka huduma za kijamii Elimu,Afya,Umeme, Barabara,n.k vitu ambavyo wananchi walivipata kipindi cha JPM. Leo Samia ameshika nchi hajamaliza miezi 3 shida zimeanza kama awamu ya 4. Samia ajiandae kisaikolojia.
Wapinzani na wanaharakati anaowafurahisha hawatampigia kura na hawatakiunga mkono chama chake cha CCM. Tuombe uzima ili tushuhudie hiyo 2025 laana ya kumuondoa JIWE

Naunga hoja mkono
 
Haya mambo madogo madogo ndo yatakuja kuleta madhara makubwa sana hapo baadaye!!

Sasa hii Hasara sijui nani atailipa na ukitazama video ya kuzama hiyo Crane ni mzaha mzaha mwisho wa siku ajali ikatokea.View attachment 1796444
Kama ina uzito mkubwa hivyo maana yake imeenda mbali sana huko chini ya bahari, sasa kuna winch ya kuivuta kutoka huko chini au wataiokoaje?
 
Kama ina uzito mkubwa hivyo maana yake imeenda mbali sana huko chini ya bahari, sasa kuna winch ya kuivuta kutoka huko chini au wataiokoaje?
Ina Tani 70 almost!! Kifupi sidhani kama wataweza kuitoa kirahisi..

Mbaya zaidi operation nzima ya kuiteremsha katika meli ilikuwa ina kama mzaha mzaha fulani sidhani kama kuna usimamizi mzuri ulikuwepo.

Kingine inawezekana mamlaka hazikuwapa vitendea kazi vya kutosha wahusika ili kufanikisha zoezi.

Mwisho wa siku ni hasara kwa nchi ambayo ilikuwa inaweza kuepukika kabisa.
 
Back
Top Bottom