Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Ww ni mwendawazimu kupitiliza kama hujuma hii ya kipumbafu namna hii unaweza ihusianisha na watz waliokuwa wakimkubali na wanaoendelea kumkubali Magu! Ni wazi ww una mtindio wa ubongo hata kufikiria kuwa wanaoendelea kuikubali falsafa aliyosimamia Mh. DR. JPM, ni wasukuma!Wanabodi nawasalimu.
Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea.
Serikali imechukua hatua na uchunguzi unaendelea maana zipo kila aina ya harufu kuwa ilikuwa ni hujuma ya Sukuma Gang. Jaribio hilo limeshindwa.
Habari zilizonifikia ni kwamba sasa wanaenda kutoboa bwawa la Mtera ili hatimaye likauke nchi iingie gizani watu wamlaumu Mama na kumkumbuka Mwendazake. Vyanzo vya umeme ni vingi lakini umeme unaotokana na maji (Mtera) bado ni la msingi.
Nashauri Usalama wa Taifa litupe macho huko Mtera kuzuia hujuma hiyo isitokee. Hatujui Plan C yao ni nini.
#FreedomIsBack
Wote wanaoendelea kuikumbatia falsafa ya magulification hawawezi hata kuwaza kuihujumu nchi yao bila kujali nani ni rais! Hao wapumbafu wenzio waliozuiwa kuihujumu na kuiibia nchi yetu kipindi Mh. Dr. JPM akiwa madarakani ndio wanaofanya hujuma hizo kwa kumpima huyu mama yetu na kama ataendelea kuwalegezea macho yake, watz wataishi maisha ya kumlilia jembe na shujaa wao Mh. Dr. JPM daima! Akisimama kidete kama mwanafunzi mwerevu na mwaminifu kwa mwalimu wake, hao wezi, mafisadi na madalali wa mali za nchi yetu hawatapata lolote na watarudi mafichoni walikokuwa wamejificha kipindi chote mzalendo namba moja Mh. Dr. JPM alipokuwa hai na amirijeshi mkuu na rais wa nchi yetu ya Tz! Mungu umrehemu mpendwa wetu Mh. Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, SHUJAA WETU WAAFRIKA TUNAOJITAMBUA WOTE, MTETEZI WA WAMACHINGA, MAMA NTILIE NA WANYONGE WOTE NCHI NZIMA, UMPUMZISHE KWA AMANI YA MILELE RAHANI PAKO MUNGU WETU MUUMBAJI WA MBINGU NA DUNIA, AMEN!