Jenchede
JF-Expert Member
- Jul 22, 2014
- 237
- 503
Nilichozungumzia sio kutosha kwa mshahara. Nilichokisema ni nidhamu ya watumishi watu wamekula viapo vya kufanya kazi na kama unaona mshahara mdogo unawaachia wengine.Hata hujui kitu chochote we we, Tanzania hakuna mtumishi wa umma anayelipwa mshahara kwa Kazi zao, wanalipwa posho tu isiyowawezesha kufika hata tarehe 10 ya mwezi uleule wa mshahara, hata Rais analifahamu hilo ila hata wao wanashangaa wafanyakazi wanafikaje kazini mwezi mzima. Wanafahamu wazi kuwa lazima kuna sehemu wafanyakazi wanachomoa beterii. Askari polisi huwezi kumtaka afanyekazi mwezi mzima kwa laki 4 take home, lazima atachomoa beteri ya MTU Fulani. Hata Jiwe angeshindwa tu, ndio maana alikuwa akitumbua kila siku lakini wanaotumbuliwa hawaishi.
Kaka huwezi kumlazimisha mtumishi a smile kwa mteja wakati hujui analala wapi, anakujaje kazini, anakula nini Kazini, anasomeshaje mtoto wake, anatunzaje wazee wake.
Sasa ushindwe kutoa customer care kwa wale wanaohitaji msaada kwa kigezo Cha mshahara mdogo usitosheleza. Na si kwamba posho hazikuwepo kipindi Cha Magu bali zile zilizovuka mipaka. Unakuta mtu amefanya Kazi siku tano lakin posho anajiandikia siku kumi.
Hata kama sijui chochote bali nami lkn nayaona nami ni mwananchi kama wewe.
Wanaomchukia Magu ni wale waliokuwa wananyang' anyway matonge mdomoni waliyokuwa wanapata kwa njia ya haramu.