Mwenendo wa utalii nchini: Waziri Kigwangalla aonyesha kukata tamaa

Mtoto mkaidi unamuacha tu wala huna haja ya kufurahia matokeo ya ukaidi wake.
hapana, nadhani mnafurahia kichinichini na ndio nchi ambayo mmezaliwa humu ba bado mwaendelea kuishi humu.

Maana kutuma picha ya mheshimiwa waziri kwamba amekata tamaa hio ni kejeli na matokeo ya kejeli ni furaha kwa anayekejeliwa, yani mlikua mnaomba usiku na mchana wizara ya utalii ishindwe kwa sababu zenu kwamba serikali imekataa kutoa takwimu za covid 19.
 
Hilo si tatizo. Tatizo ni mmaficha ukweli
 
Actually utalii ni leisure na siyo hitaji la muhimu sana kwa watalii kwa wakati huu ambao shidaa hii haijaisha. Tafiti za makampuni ya utalii wanasema hii secta itakuwa kimya lau kwa miezi kama 18 hivi hadi hali itakaPo tulia au ipatikane chanjo au dawa soo ni janga kubwa sana kwa sasa duniani kote.

Sisi tuko kwa utalii na almost 90% ya staff wameachishwa kazi. Na camps zote kuanzia ruaha, selous hadi serengeti na ngorongoro zimefungwa manake hatuna bookings. So in short hii kitu itachukua muda sana kurejea na ikumbukwe siyo kila ndege inayo kuja tanzania imeleta watu anakuja kwa ajili ya utalii
 
Mteuzi wao ndiyo tatizo, mteuzi anayetambua nafasi yake hawezi kuwa na watu kama kina kigwangala na Mwigulu tu kwenye Baraza lake la mawaziri.
 
We inaonekana una chuki binafsi na Kigwangala

Huyu haina haja ya chuki nakubali maoni yako, ifike mwisho viongozi kuziaibisha nyazifa zao. Kiongozi unakata tamaa kwenye vita ambavyo asilimia kubwa wanapigana wasaidizi wako huu ni usaliti wa kiutendaji.
 
Mteuzi wao ndiyo tatizo, mteuzi anayetambua nafasi yake hawezi kuwa na watu kama kina kigwangala na Mwigulu tu kwenye Baraza lake la mawaziri.

Mwigulu anamzidi huyo na sio level yake, mwigulu does his own politics isn't real hasa kwenye mnayoyaona mapungufu yake
 
Huyu haina haja ya chuki nakubali maoni yako, ifike mwisho viongozi kuziaibisha nyazifa zao. Kiongozi unakata tamaa kwenye vita ambavyo asilimia kubwa wanapigana wasaidizi wako huu ni usaliti wa kiutendaji.
Waache propaganda mfu za kudanganya watu kwenye tv eti kuna watalii wamekuja kwa ndege wakati flight karibu zote duniani zimefungwa.

Dunia iko kwenye janga kubwa namna hii lakini wao wako busy kudanganya wananchi as if wakidanganya mapato yataongezeka.

Serikali zinazoishi kwa propaganda mfu namna hii huwa zimejaa mbumbumbu na wasiyo na maarifa yoyote yakuikwambua nchi kutoka kwenye matatizo.
 
Na wewe uwe unajiongeza kidogo, kwani kuna nchi Duniani muda huu inaweza kusema kuwa inafanya vizuri kwenye kupokea watalii wa nje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…