Mwenendo wa utalii nchini: Waziri Kigwangalla aonyesha kukata tamaa

Huyu waziri ndo walimdanganya kuna ndege inakuja na watalii 200 akajipanga hadi kuwapokea matokeo yake akakutana na watalii wawili tu
 
Kwahio mnafurahia na kushangilia kwamba sekta ya utalii inaangamia
Hakuna anae furahia. Ia ni kwamba watalii hawawezi kuweka maisha yao rehani. Ina julikana dunia nzima kwamba tuki fanya siri kwenye janga la corona. Hakuna mtu mwenye pesa na akili azilete mahali ambapo hana uhakika na maisha yake.

Kwa session hii Tanzania ita pitwa na mataifa yate yaliyo kuwa wazi kwenye kudeal na hili janga..
 
Utalii Kwa sasa,hakuna Taifa lenye unafuu katika secta hiyo, kidooogo angalau hata kwetu kuna videge vinakuwa vinashuka KIA, la sivyo no kumwonea tu Kigwa

Kaa kimya huna ujualo. Utalii tunaujua ndani nje, hizo propaganda mfu ziishie kwenye Siasa ya kuwa ccm inakubalika, maana wanaweza kutumia vyombo vya dola kutangaza matokeo wayatakayo. Kwenye utalii ni facts tu ndio zinarindima. Hakuna utalii wowote wa maana mpaka ifike December, tena nayo itategemea.
 
Mkuu, au Kwa kuwa ni weekend watu Asubuhi Asubuhi mshafanya yenu, au umekosea kuni quote?

Sina hakika Kwa nilichoandika kama kinaendana na ulichosema hapa
 
Kwahio mnafurahia na kushangilia kwamba sekta ya utalii inaangamia
Mkuu kwa mtu mwenye maono hawezi kushangilia,sana sana wapo watu wenye upeo wa mambo kuwa juhudi za kuleta watalii kipindi hiki siyo sahihi.

Kwani nchi watokapo watalii bado wako kwenye tahadhari kubwa. Hawawezi kuja kwetu,mazingira siyo rafiki.Hadi watakapo tengeneza taratibu rafiki na salama kusafiri nje ya nchi zao.
 
Tatizo Ni kujiamini bila effort ya maana. Tunasubiri kuona wale wageni
 
Yani hapo 'unadhani' tu kwamba wanafurahia chini chini umeshuka essay yote hiyo! Je ukiwa na uhakika?
 
Mkuu, au Kwa kuwa ni weekend watu Asubuhi Asubuhi mshafanya yenu, au umekosea kuni quote?

Sina hakika Kwa nilichoandika kama kinaendana na ulichosema hapa

Umesema kwetu utalii kidogo una nafuu maana vindege vinashuka Kia. Nimekuambia hakuna mtalii yoyote wa maana, na kama ni utalii huo wangalau wa kuridhisha basi ni December. Haya unayosikia hivi sasa ni propaganda mfu tu
 
Ninyi mna chuki zenu tu,niko hapa Karatu tokea jana ijumaa nkitokea Masai Mara-Kenya niliko kaa siku 6,kwa suala la wageni naona sura nyeupe zmeanza kuonekana tofauti na kwa majirani,hakika ikiendelea hivi Kuna tumaini kubwa,Leo tokea asubuhi magari ya watarii Kama 31 yaweza kuwa yamepita kuelekea mbugani,sijui kwingine
 
Mkuu, achana na NYUMBU za mikumi, haziwezi kujielewa na haitatokea kujielewa,
 
Kwahiyo unabishana na waziri wako ambaye ana data zote au?
 
Hakuna mwenye hiyo akili kwenye utawala huu
 
Naona ile sehemu ya kuweka cable HDMI wamewwka VGA na ile sehemu ya AV wameweka flash
 
Mpuuzi wewe, unaendelea kushabikia ujinga NYUMBU wewe, kwenu kunawaliokufa ama wapo walio na Corona?, Unataka namba iwe kubwa kutoka wapi ikiwa wewe Huna maambukizi,

Ukimwi umeua watu wengi, kwa kwakuwa yeye hajafa hivyo namba ya waliokufa au kupata ukimwi sio kubwa? Acha utoto dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…