Mwenendo wa utalii nchini: Waziri Kigwangalla aonyesha kukata tamaa

Mkuu, achana na NYUMBU za mikumi, haziwezi kujielewa na haitatokea kujielewa,

Ww ndio wale malimbukeni ukisikia neno hapa mjini na ww unalirudiarudia ili uonekane wa mjini. Hilo neno nyumbu umelisikia na ww unalirudiarudia ili uonekane unaenda na fashion! Lakini ukiangalia pointi zako unaona kabisa ni bendera fuata upepo, na huna lolote ujualo?
 

Watalii wanaokwenda Serengeti na Ngorongoro hawako broke mkuu, hizo ni hadithi za paka na panya. Kama una ushahidi tuwekee hapa.
 
Ngoja Kwanza nimalizie kuicheki hiyo screen ya Ofisini
 
Chadema mikoa ya Kilimanjaro , Arusha na manyara mjiandae kupigwa chini hiyo mikoa inategemea utalii kuishi Sasa Kama mnadharau juhudi za waziri kufufua utalii hayo maeneo wapiga kura wenu biashara ziamuke siyo kesi uchaguzi ukifika CCM tutav.alia bango kuwa Sababu ya utalii kudorora Ni chadema

serikali ya CCM tuna promote Sana mpate pesa lakini chadema wanatoa negative reports msipige pesa
 
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja "Biashara ya Utalii sio kitu kinacholeta Faida kwa Nchi husika tuu,la hasha!"
Kwa Wakuu mnaofahamu sector hii mtakua mnajua Travel Agent,Ikiwa 90% ya watalii wote wanakuja kupitia Travel Agent basi ina maana mtalii anaanza kuacha hela kwao kwanza kabla ya kufika nchi husika...hapo hapo kuna Ajira,nk.
Secta ya anga inategemea utalii kwa kiasi kikubwa,leo hii mashirika makubwa ya ndege yako chini,Bei ya mafuta imepungua na uzalishwaji umepunguzwa..ili mashirika haya yainuke ni lazima Utalii Uamshwe....
Tusije tukajidanganya kwamba ni sisi tuu ndo wenye Kiu ya hyo pesa ya utalii ,Hata wao Wataimiza Wananchi wao Wafanye Spending ili kodi ipatikane,Na utalii ni spending inayoaminika kuwapa faraja watu wa Magharibi pindi watokapo kwenye matatizo.
Km unajua majira ya mwaka ya ulaya Utagundua ni Summer ndio iko mbioni kuingia na hapo huwa na joto kali sana,na msimu wa joto ni kitu cha kitamaduni kusafiri,na pia kutafuta ahueni ya ubaridi.
Wakuu it is matter of time Kigwangalla atakula mavuno yake...ulaya wanafungua mipaka yake 16/6...
 
Kwani na wewe ni nyumbu?
Na unadhani pia kuishi mjini ndio fashion?
Mkuu, lakini ni kama unaheshima zako Sana hapa, ningependa nikuheshimu kama unavyojiheshimu wewe mkuu
 
Tatizo sio watalii kuja hapa tatizo unarudije nchini mwako ? Hayo makarantini sio ya mchezo
 
Daaah Mzee wa Tallest Mountain ana asili ya uchafu kama Mange Kimambi alivyokuwa anasema ,ona nyumba yake ilivyo hovyo hovyo midevu mvi kibao!!!
 
Inashangaza kidogo hawa watu wapo dunia ya wapi!

Mtu msomi kiasi hiki, tena katika fani hiyo hiyo ya magonjwa hata asiweze kutambua dunia inakwenda vipi?

Mtalii gani anayeweza kuja hapa kwa anasa tu tena akijua nchi yenyewe haipo wazi katika mambo haya ya magonjwa?

Yeye anadhani 'propaganda' za kijinga zinazofanywa hapa zitawalaghai watu wenye uelewa mpana?

Watalii hawalazimishwi kuja hapa. Wanakuja kwa matakwa yao wenyewe. Hawataki kuja kuweka rehani maisha yao kama ya waTanzania yalivyowekwa rehani kwa lazima eti ili kulinda uchumi usiporomoke!

Uchumi utaachaje kuporomoka kama dunia nzima imetikiswa na huu ugonjwa? Tanzania itajenga uchumi wake bila kuyategemea mataifa mengine? Mbona sasa tunalilia watalii! Wao nchi zao uchumi ukiharibika, wao wataendelea tu kutaka kuja Tanzania?
 
Hawataki kutumia akili.
Wana assume kuwa corona ilikuja tz tu
 
Sifa moja ya hospitlaity industry wachilia mbali ya kuwa ni intangible bali pia ni FRAGILE. Yes ni FRAGILE ikiwa na maana ya kuwa mteja anabadilika kama kinyonga ukimzinguwa kwa huduma mbovu. Mteja ana control ya maamuzi na sio wewe service provider.
 
Huyu Kigwa ana hirizi.. Hata sijui kwanini hajatumbuliwa!?
 
Acha kurukaruka, tulia dawa ikuingie. Wia oni ze raiti traki
 
Mkuu kunywa maji then usome tena ulicho andika, narudia tena, kuwa matanga siyo tiketi ya kuwa kichaa
 
Watanzania na Viongozi wetu once wakitambua tourism is not a basic need, watajua ni jinsi gani ya kuendeleza utalii wetu.
 
Point
 



Haiwezekani tuishi ubepari na inafahamika ni zama za ubepari halafu ubabe na maamuzi ya kijamaa ndio ue utamaduni zama hizi, lazima serikali ijitune sambamba na taswira ya ubepari, ujamaa ulishakufa tumebaki na ule wa humanity na dini na undugu au ujirani, ukibadirika muundo badilika na akili. Tuongeze akili ya kusema ukweli unaokubalika kuliko akili ya kunena uongo huku unadharaurika na kupuuzwa, siku hizi kusifu tunatumia nguvu zaidi kuliko wakosoaji, na sura zinazosifu sauti hazitoki tumboni na huzuni imetawala hizo sura, unafiki wa kusifia huwezi kudanganya Mungu alituweza sana huwezi kufake ukiwa na njaa au hasira at least 50% wataelewa unajipendekeza. Popularity is always gained through wise and smart methods.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…