Kama kigezo pekee ni mvuto basi Diamond Platinum atawafaa. Lakini ukipanua wigo wa vigezo vya kiutumishi basi Ally Happy atakuwa ni chaguo bora.Ili kukivuta Kizazi kipya Chamani ni lazima Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi awe na Mvuto wa Asili siyo wa Mchongo
Mlale Unono [emoji3][emoji3]
Ili kukivuta Kizazi kipya Chamani ni lazima Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi awe na Mvuto wa Asili siyo wa Mchongo
Mlale Unono ππ
Kama Makonda aliyekuwa na mvuto hajakubalika, unadhani nani atakubalika wakati unajua "Bosi wa sasa hataki kuzidiwa umaarufu"!Ili kukivuta Kizazi kipya Chamani ni lazima Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi awe na Mvuto wa Asili siyo wa Mchongo
Mlale Unono ππ
Mkuu. Wewe mpaka Sasa unaiombea ccm badala ya kuimbea itoke madarakani?Ili kukivuta Kizazi kipya Chamani ni lazima Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi awe na Mvuto wa Asili siyo wa Mchongo
Mlale Unono ππ
Yaani tumuombee shetani azidi kutamba wewe utakuwa Kuni za kuwachomea wenye dhambi mbinguni hukoIli kukivuta Kizazi kipya Chamani ni lazima Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi awe na Mvuto wa Asili siyo wa Mchongo
Mlale Unono ππ
Nawaunga mkono wanaohoji.Hii ndio habari inayotrend kwa sasa, makada kadhaa wa CCM wanasema kwa namna siasa za sasa zinavyokwenda bila kupata chawa mwenye wafuasi wengi mitandaoni na mwenye uwezo wa kujitoa ufahamu kumsifia mama Samia huku akiwananga watu wengine wote wenye mwelekeo tofauti na Mama Samia basi hali itaendelea kuwa mbaya na kila mara atatafutwa mtu wa kushika nafasi ya katibu mwenezi wa CCM taifa. Bila kupepesa macho, jina la Mwijaku ndio likapewa nafasi kubwa zaidi.
Hii ni zamu ya chawa kutafuna fursa za taifa kwa kilemba cha CCM.
Akili ndogo Chadema wanahusikaje na mwenezi wa ccm ujinga ni kuishirikisha chadema kwenye teuzi za ccmCHADEMA tumbo joto