Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?
Taarifa inayotembea kwa Kasi Lumumba ndio hiyo kwamba David Kafulila ndiye atakayependekezwa Kuwa Mwenezi mpya wa CCM

Ngoja tuone

aka Tumbiri [emoji23][emoji23][emoji91]
Huyu si alikua Cuf, atakua je muenezi wa chama kikongwe vccm maanake imeshindwa kazi ya kulea na kukuza viongozi wake kutoka chama.
 
Taarifa inayotembea kwa Kasi Lumumba ndio hiyo kwamba David Kafulila ndiye atakayependekezwa Kuwa Mwenezi mpya wa CCM

Ngoja tuone

aka Tumbiri 😂😂🔥
CCM, ina chipukizi wake waliolelewa kichama wakafunzwa taratibu za chama, wakakulia humo, tusiokote okote!
 
I predict, Balozi Polepole naona atarudi kwenye nafasi yake ya Katibu Mwenezi
Kisiasa haiwezekani. Ana itikadi ya kisiasa na kiuchumi tofauti kabisa na SSH na inner circle ya SSH. HP ni mjamaa mchanganyiko. SSH ni pure capitalist.
 
Ni Mwamvita Naniliu 🐼
20240402_142617.jpg


Inaweza ikawa kweli...

Hii ziara ya nyumbani kwa Makamba siyo ya bure hii...
 
"CCM, ni chama chenye itikadi zake kamilifu, vazi la itikadi halibadilishwi kama Shati. "
CCM, Hatuwezi kuazima wanachama waliokuwa wanachama wa vyama vingine!
CCM, Tuna miiko yetu, taratibu zetu, tuna chipukizi wetu, ambao ndio viongozi wetu wa kesho, tunayo hazina kubwa kabisa katika ledger yetu ya wanachama.
############
 
Back
Top Bottom