ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wao watatoa ripoti Kwa mamlaka husika na mapendekezo hivyo Kuna watu wataondoka alisema hata yeye juzi kule Mpanda.Makonda amethibitisha tuhuma husika?, ok, amemfukuza mkutanoni na si kazi. Baada ya Makonda kupita ilistahili kuwe na kikosi kazi kinachothibitisha tuhuma na kupima mizania ili asionewe mtu, ccm tusishabikie tu alimradi tukaja kuonea baadhi ya watu.
KIDUMU CHAMA MAKINI CHAMA CHA MAPINDUZI.
Mfumo mzuri ni kuwa na Third party. Eti Afisa usalama anamwambia mwananchi unataka tumfangaje, hivi mwananchi ajibuje hapo?Tafsiri ya yoote hayo ni mifumo umekufa watu hawatimizi majukumu yao.
Jindanye,usiwe na akili ndogo wewe, Makonda level nyingineUkimpa panya siagi ataanza kujaribu kunywa maziwa yako.
Kijana kaanza kutesti mitambo na wakikaa kimya basi watatumbuliwa wengi sana kwa style ya jiwe
Huyo Mkurugenzi naye ni fala tu πZamu hii amemtimua kwenye Mkutano Mkurugenzi Mtendaji wa Nkasi
Kwa nini awe fala?Huyo Mkurugenzi naye ni fala tu π