Huwa anawaita; na ukitafutwa usipoonekana pia ni sheeeda!DED anafuata nini kwenye mkutano wa chama(siasa)? Wafanyakazi wote wa serikali wanatakiwa kwenye desk zao siyo kwenye mikutano ya kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa anawaita; na ukitafutwa usipoonekana pia ni sheeeda!DED anafuata nini kwenye mkutano wa chama(siasa)? Wafanyakazi wote wa serikali wanatakiwa kwenye desk zao siyo kwenye mikutano ya kisiasa.
Mjinga Mmoja wee, jambazi ni jambazi.Nimesoma hiyo clip ikihusu somo hilo hapo juu. Kwa kweli nimesikitika sana na kuhuzunika. Nchi hii inaendeshwa kisheria na kwa utawala bora kwa nini vitendo kama hivyo vinafanyika na Mamlaka imekaa kimya. Makonda ana mamlaka gani kumtimua Mkurugenzi kwenye kikao na kama alikuwa na kosa kwa nini uchunguzi usifanyike kwanza ndo hatua zikachukuliwa. Wananchi kulalamika ndicho cha kufukuzwa HAPANA. Hivi Mkurugenzi ni nswereable kwa Makonda?. Mhe. Waziri wa TAMISEMI lawama zote zitaelekezwa kwako. Nchi haiendeshwi hivyo.
Hujui kitu inaitwa mihemko, nimezungumza kwa tafadhari tu kama ilivuowahi kutokea huko zamani.Acha ujinga, Raia Huwa Hadai kisicho haki yake.
Hivi Darasani, mliingia Kusoma ujinga??.
Kwamba bavicha ndio wametimuliwa au?Bavicha mnapata shida sana na Makonda.
Acha upuuzi Wewe Hiyo ndiyo Nzuri hasa Hapa TzNimesoma hiyo clip ikihusu somo hilo hapo juu. Kwa kweli nimesikitika sana na kuhuzunika. Nchi hii inaendeshwa kisheria na kwa utawala bora kwa nini vitendo kama hivyo vinafanyika na Mamlaka imekaa kimya. Makonda ana mamlaka gani kumtimua Mkurugenzi kwenye kikao na kama alikuwa na kosa kwa nini uchunguzi usifanyike kwanza ndo hatua zikachukuliwa. Wananchi kulalamika ndicho cha kufukuzwa HAPANA. Hivi Mkurugenzi ni nswereable kwa Makonda?. Mhe. Waziri wa TAMISEMI lawama zote zitaelekezwa kwako. Nchi haiendeshwi hivyo.
Unamfahamu madhara ya hii kitu anachokifanya Makonda?Wao watatoa ripoti Kwa mamlaka husika na mapendekezo hivyo Kuna watu wataondoka alisema hata yeye juzi kule Mpanda.
Mwisho DED amesema madai anayajua ila Sasa Kwa nini hajalipa? Wao Wana Mapato ya Ndani Kwa nini wasitenge pesa za kuwalipa awamu kwa.awamu kuliko kuwapiga chini mazima?
Na kumbuka pesa za Vituo vya Afya,Elimu nk zilikuja fixed,Kwa nini majengo Yao yaishe ila pesa ya fundi isiwepo? Nina ushahidi wa watu wanayodai.
Ingekuwa ni madai ya Wakandarasi tungesema Serikali kuu inahusika ila Hawa local fundi ni Halmashauri.
Bwana bwana! Ni aibuNimesoma hiyo clip ikihusu somo hilo hapo juu. Kwa kweli nimesikitika sana na kuhuzunika. Nchi hii inaendeshwa kisheria na kwa utawala bora kwa nini vitendo kama hivyo vinafanyika na Mamlaka imekaa kimya. Makonda ana mamlaka gani kumtimua Mkurugenzi kwenye kikao na kama alikuwa na kosa kwa nini uchunguzi usifanyike kwanza ndo hatua zikachukuliwa. Wananchi kulalamika ndicho cha kufukuzwa HAPANA. Hivi Mkurugenzi ni nswereable kwa Makonda?. Mhe. Waziri wa TAMISEMI lawama zote zitaelekezwa kwako. Nchi haiendeshwi hivyo.
Mnapoambiwa CCM ndo inaunda serikali huwa hamuelewi. Acha Makonda awaelewesheNimesoma hiyo clip ikihusu somo hilo hapo juu. Kwa kweli nimesikitika sana na kuhuzunika. Nchi hii inaendeshwa kisheria na kwa utawala bora kwa nini vitendo kama hivyo vinafanyika na Mamlaka imekaa kimya. Makonda ana mamlaka gani kumtimua Mkurugenzi kwenye kikao na kama alikuwa na kosa kwa nini uchunguzi usifanyike kwanza ndo hatua zikachukuliwa. Wananchi kulalamika ndicho cha kufukuzwa HAPANA. Hivi Mkurugenzi ni nswereable kwa Makonda?. Mhe. Waziri wa TAMISEMI lawama zote zitaelekezwa kwako. Nchi haiendeshwi hivyo.
Tatizo la serikali za Mitaa sio huru,na watendaji wake hasa wale wa juu Wana maboss lukuki,hebu fikiria Mkurugenzi anawajibika kwa Chama tawala ngazi zote Hadi taifa,anawajika kwa Baraza la madiwani,R.C,RAs,D.C,DAs,TAMISEMna kwa Mawaziri wa kisekta and others na Hawa wote wanaagiza na wanataka taarifa,Jambo lingine linawasumbua Wakurugenzi ni utofauti mkubwa wa mapato ya ndani kati ya Hamashauri Moja na nyingine ,Tentative/mfano ,unaweza kukuta Hamashauri ya Nkasi mapato yake ya ndani hayafikii 1.1bilionTshs. huyu fedha yake haitoshi hata kulipa operational cost.hapo hapo utakuta Hamashauri nyingine kama(mfano)Mufindi mapato yake ya ndani ni zaidi 50.0 bilioni TSH,huyu atalipa mishahara,other charges na development bila tabu,na zibaki. Tuwaonee huruma top executives wanaofanya KAZI kwenye Hamashauri zisizokuwa na mapato ya kutosha,ni shidaaa....Wao watatoa ripoti Kwa mamlaka husika na mapendekezo hivyo Kuna watu wataondoka alisema hata yeye juzi kule Mpanda.
Mwisho DED amesema madai anayajua ila Sasa Kwa nini hajalipa? Wao Wana Mapato ya Ndani Kwa nini wasitenge pesa za kuwalipa awamu kwa.awamu kuliko kuwapiga chini mazima?
Na kumbuka pesa za Vituo vya Afya,Elimu nk zilikuja fixed,Kwa nini majengo Yao yaishe ila pesa ya fundi isiwepo? Nina ushahidi wa watu wanayodai.
Ingekuwa ni madai ya Wakandarasi tungesema Serikali kuu inahusika ila Hawa local fundi ni Halmashauri.
Paul Mkaonda aendeleza moto wa kuwashughulikia Watendaji wababaishaji.
Zamu hii amemtimua kwenye Mkutano Mkurugenzi Mtendaji wa Nkasi Baada ya Wananchi wengi Kumlalamikia Kwa madai mbalimbali.
Makonda: Mwaka huu mtaota nywele 😆😆.
Kazi iendelee 👇👇
View: https://youtu.be/9xYY1I5CxU8?si=nQs8d_rgnMpEideN
Mfumo mzuri ni kuwa na Third party.Eti Afisa usalama anamwambia mwananchi unataka tumfangaje,hivi mwananchi ajibuje hapo?
Hili nalo linatakiwa kufanyiwa kazi.Binafsi naona aondolewe mmjawapo kati ya DC au DED Kwa sababu kwanza Wana coalition mda wote.Tatizo la serikali za Mitaa sio huru,na watendaji wake hasa wale wa juu Wana maboss lukuki,hebu fikiria Mkurugenzi anawajibika kwa Chama tawala ngazi zote Hadi taifa,anawajika kwa Baraza la madiwani,R.C,RAs,D.C,DAs,TAMISEMna kwa Mawaziri wa kisekta and others na Hawa wote wanaagiza na wanataka taarifa,Jambo lingine linawasumbua Wakurugenzi ni utofauti mkubwa wa mapato ya ndani kati ya Hamashauri Moja na nyingine ,Tentative/mfano ,unaweza kukuta Hamashauri ya Nkasi mapato yake ya ndani hayafikii 1.1bilionTshs. huyu fedha yake haitoshi hata kulipa operational cost.hapo hapo utakuta Hamashauri nyingine kama(mfano)Mufindi mapato yake ya ndani ni zaidi 50.0 bilioni TSH,huyu atalipa mishahara,other charges na development bila tabu,na zibaki. Tuwaonee huruma top executives wanaofanya KAZI kwenye Hamashauri zisizokuwa na mapato ya kutosha,ni shidaaa....
Kwa kuhudhuria mkutano wa fala naye kawa fala 😂Kwa nini awe fala?
Hi unadhani Makonda anakurupuka lazima kuna unressolved key issues wengi wanazijua sasa yeye kwa level yake ndio asiwe na clues
Ilitakiwa kila quarter, na hii ni aibu kwa RC/DC/RAS/DAS kuwa hakuna wanachofanya zaidi ya kulipana posho na safariPoliccm nimeona wanavyohenyeshwa na Mwenezi Taifa.
Uozo ni mwingi,na hii ilitakiwa uwe Kila mwaka na sio kipindi Cha kujiandaa na kampeni.Wananchi wananaonewa Sana,ila acha iwe ivo.
Maana mbuzi wa John kala matembele ya mzee John,na mzee John ndo mwenyekiti wa kitongoji Cha Kijoni
Hii inaonyesha serikali haitimizi wajibu wake imeozaMakonda endelea kuwapelekea moto wazembe wote ili wananchi wa hali ya chini tupate unafuu kidogo. Maana hali kwa sasa ni changamoto sana na kwa sehemu kubwa inachagizwa na uzembe wa watendaji wa serikali