Mwenezi Makonda Amtimua Mkurugenzi wa Nkasi Kwenye Mkutano Baada ya Wananchi Kumlalamikia

Huyu DED ana kigugumizi balaaa inaweza kuwa Ulemavu wake wa kutamka maneno umemponza. Lkn all in all ni kimeo sana huyu Mwalimu arudishwe akafundishe vidudu.
Huwa najiuliza Kada ya Ualimu ni Zoa Zoa hata kama huwezi kuongea una Kithembe au Kigugumizi wanazoa tuu mfano mzuri ni huyu.
Alimkwaza Mwenezi kwenye jibu lake la kwanza kuhusu yule mama mstaafu ndio hapo akamuona Jamaa ni chenga
 
Nimesoma hiyo clip ikihusu somo hilo hapo juu. Kwa kweli nimesikitika sana na kuhuzunika. Nchi hii inaendeshwa kisheria na kwa utawala bora kwa nini vitendo kama hivyo vinafanyika na Mamlaka imekaa kimya. Makonda ana mamlaka gani kumtimua Mkurugenzi kwenye kikao na kama alikuwa na kosa kwa nini uchunguzi usifanyike kwanza ndo hatua zikachukuliwa. Wananchi kulalamika ndicho cha kufukuzwa HAPANA. Hivi Mkurugenzi ni nswereable kwa Makonda?. Mhe. Waziri wa TAMISEMI lawama zote zitaelekezwa kwako. Nchi haiendeshwi hivyo.
Ni Mkutano wa Makonda lakini,kama haumubusu huyu DED alikuja kufanya nini?

Chama kimeshika Dola na ndio Dola yenyewe
 
Makonda amethibitisha tuhuma husika?, ok, amemfukuza mkutanoni na si kazi. Baada ya Makonda kupita ilistahili kuwe na kikosi kazi kinachothibitisha tuhuma na kupima mizania ili asionewe mtu, ccm tusishabikie tu alimradi tukaja kuonea baadhi ya watu.
KIDUMU CHAMA MAKINI CHAMA CHA MAPINDUZI.
Intelijensia ya chama na serikali huwa inatangulia. Lkn pia wananchi wanamtumia taarifa za tuhuma na ushahidi zaidi. Kwa hiyo hakurupuki. Comrade Makonda chapa kazi
 
DED anafuata nini kwenye mkutano wa chama(siasa)? Wafanyakazi wote wa serikali wanatakiwa kwenye desk zao siyo kwenye mikutano ya kisiasa.
 
Hujui utaratibu wa utendaji kazi wa Chama Dola.

Ccm sio sawa na Vyama vyenu Vya msimu,uchaguzi au matukio
 
Nimesoma hiyo clip ikihusu somo hilo hapo juu. Kwa kweli nimesikitika sana na kuhuzunika. Nchi hii inaendeshwa kisheria na kwa utawala bora kwa nini vitendo kama hivyo vinafanyika na Mamlaka imekaa kimya. Makonda ana mamlaka gani kumtimua Mkurugenzi kwenye kikao na kama alikuwa na kosa kwa nini uchunguzi usifanyike kwanza ndo hatua zikachukuliwa. Wananchi kulalamika ndicho cha kufukuzwa HAPANA. Hivi Mkurugenzi ni nswereable kwa Makonda?. Mhe. Waziri wa TAMISEMI lawama zote zitaelekezwa kwako. Nchi haiendeshwi hivyo.

Ukitaka kujua hayo ni maigizo, wananchi wanawalalamikia mawaziri Kila siku ila hawafukuzwi.
 
Sio kumfukuza tu hata kumchapa fimbo pia.
Deni lina miaka 6, mkurugenzi ana miaka 2 toka aingie pale, kila siku tunaambiwa vituo kadhaa na madarasa kadhaa yamekamilika kumbe ni zurumati
 
Wananchi kutoa malalamiko ya kero zao Kwa Makonda ni ushahidi tosha Kwamba ,wateule wa Rais wameshindwa kumsaidia Rais. Wateule wa Rais wanakuka Bata baadala ya kutatua kero za wananchi.
 
Makonda amethibitisha tuhuma husika?, ok, amemfukuza mkutanoni na si kazi. Baada ya Makonda kupita ilistahili kuwe na kikosi kazi kinachothibitisha tuhuma na kupima mizania ili asionewe mtu, ccm tusishabikie tu alimradi tukaja kuonea baadhi ya watu.
KIDUMU CHAMA MAKINI CHAMA CHA MAPINDUZI.
Acha ujinga, Raia Huwa Hadai kisicho haki yake.

Hivi Darasani, mliingia Kusoma ujinga??.
 
Back
Top Bottom