Dah,inafikirisha.
Na ndo maana,Katiba mpya hawataki.
Ila wananchi nao wanachangia.
Hawajiulizi,mbona watndaji wa Serikali ndo wanaowaumiza wao!.na chanzo nn?.
Wanashindwa kung'amua huo ujinga.wanaowatendea mabaya,zao lao ni ccm.
Majinga ni mengi.miwkw nenda Rudi malalamiko.
Ccm wanatengeneza tatizo,afu wanarudi kujifanya kutatua.
Na ndo maana,lasimu ya Katiba ilitaka RC,DC RAS,DAS wote hao ili apatikani lazima iombwe,hivyo kuweza kuwaniwa na watu wenye sifa wengi.
Ila Kwa Sasa,cheo hicho kuonekana kukipata ni Kwa mapenzi ya mwenyekiti wa chama.
Wananchi ukiwwelezw haya,wanakwambia Katiba haiwasaidii,ila wanaona kwenda kulalamika na kutakq kutatuliwa matatizo Yao ni Mwenezi wa chama Cha siasa,ambacho ndo chenye kuiunda hiyo hiyo Serikali.hapo unaona kabisa Wajinga ni wengi kuliko waelewa.
Acha yaendelee kuburuzwa hakuna namna.