ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Alimkwaza Mwenezi kwenye jibu lake la kwanza kuhusu yule mama mstaafu ndio hapo akamuona Jamaa ni chengaHuyu DED ana kigugumizi balaaa inaweza kuwa Ulemavu wake wa kutamka maneno umemponza. Lkn all in all ni kimeo sana huyu Mwalimu arudishwe akafundishe vidudu.
Huwa najiuliza Kada ya Ualimu ni Zoa Zoa hata kama huwezi kuongea una Kithembe au Kigugumizi wanazoa tuu mfano mzuri ni huyu.
πππππππππππππππ€ͺπ€ͺβ’ Watumbuliwe tu, CCM imeoza hiyo hakuna kiongozi wa maana,
β’ Ikiwezekana viongozi wa CCM wote wachomwe moto.
Ni Mkutano wa Makonda lakini,kama haumubusu huyu DED alikuja kufanya nini?Nimesoma hiyo clip ikihusu somo hilo hapo juu. Kwa kweli nimesikitika sana na kuhuzunika. Nchi hii inaendeshwa kisheria na kwa utawala bora kwa nini vitendo kama hivyo vinafanyika na Mamlaka imekaa kimya. Makonda ana mamlaka gani kumtimua Mkurugenzi kwenye kikao na kama alikuwa na kosa kwa nini uchunguzi usifanyike kwanza ndo hatua zikachukuliwa. Wananchi kulalamika ndicho cha kufukuzwa HAPANA. Hivi Mkurugenzi ni nswereable kwa Makonda?. Mhe. Waziri wa TAMISEMI lawama zote zitaelekezwa kwako. Nchi haiendeshwi hivyo.
Intelijensia ya chama na serikali huwa inatangulia. Lkn pia wananchi wanamtumia taarifa za tuhuma na ushahidi zaidi. Kwa hiyo hakurupuki. Comrade Makonda chapa kaziMakonda amethibitisha tuhuma husika?, ok, amemfukuza mkutanoni na si kazi. Baada ya Makonda kupita ilistahili kuwe na kikosi kazi kinachothibitisha tuhuma na kupima mizania ili asionewe mtu, ccm tusishabikie tu alimradi tukaja kuonea baadhi ya watu.
KIDUMU CHAMA MAKINI CHAMA CHA MAPINDUZI.
Why?Wakurugenzi ni mafara sana, wapelekewe moto mpaka wakome. Bashite hajali
Hujui utaratibu wa utendaji kazi wa Chama Dola.DED anafuata nini kwenye mkutano wa chama(siasa)? Wafanyakazi wote wa serikali wanatakiwa kwenye desk zao siyo kwenye mikutano ya kisiasa.
Nimesoma hiyo clip ikihusu somo hilo hapo juu. Kwa kweli nimesikitika sana na kuhuzunika. Nchi hii inaendeshwa kisheria na kwa utawala bora kwa nini vitendo kama hivyo vinafanyika na Mamlaka imekaa kimya. Makonda ana mamlaka gani kumtimua Mkurugenzi kwenye kikao na kama alikuwa na kosa kwa nini uchunguzi usifanyike kwanza ndo hatua zikachukuliwa. Wananchi kulalamika ndicho cha kufukuzwa HAPANA. Hivi Mkurugenzi ni nswereable kwa Makonda?. Mhe. Waziri wa TAMISEMI lawama zote zitaelekezwa kwako. Nchi haiendeshwi hivyo.
Toa mifanoUkitaka kujua hayo ni maigizo, wananchi wanawalalamikia mawaziri Kila siku ila hawafukuzwi.
Kishindo cha DaudiPaul Mkaonda aendeleza moto wa kuwashughulikia Watendaji wababaishaji.
Zamu hii amemtimua kwenye Mkutano Mkurugenzi Mtendaji wa Nkasi Baada ya Wananchi wengi Kumlalamikia Kwa madai mbalimbali.
Makonda: Mwaka huu mtaota nywele ππ.
Kazi iendelee ππ
View: https://youtu.be/9xYY1I5CxU8?si=nQs8d_rgnMpEideN
Deni lina miaka 6, mkurugenzi ana miaka 2 toka aingie pale, kila siku tunaambiwa vituo kadhaa na madarasa kadhaa yamekamilika kumbe ni zurumatiSio kumfukuza tu hata kumchapa fimbo pia.
Kabisa mkuu, Mda mwingine najiuliza viongozi hawa ni watanzania Kweli au ni wale aliosema CDF ππ.πππππππππππππππ€ͺπ€ͺ
Nani kawaambie wakajibebishe kwenye ziara ya muhalifu?Why?
Waziri wa nishatiToa mifano
Acha ujinga, Raia Huwa Hadai kisicho haki yake.Makonda amethibitisha tuhuma husika?, ok, amemfukuza mkutanoni na si kazi. Baada ya Makonda kupita ilistahili kuwe na kikosi kazi kinachothibitisha tuhuma na kupima mizania ili asionewe mtu, ccm tusishabikie tu alimradi tukaja kuonea baadhi ya watu.
KIDUMU CHAMA MAKINI CHAMA CHA MAPINDUZI.