Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

Someni historia Mwenge ulipandishwa juu kabisa Mlima Kilimanjaro umulike ndani na nje ya mipaka yetu palipojaa chuki, husda na uzandiki
 
Leo ndio siku ya kuzimwa Mwenge, tuendelee kuelimishana umuhimu wa Mwenge wa uhuru ila hoja za bandiko hili bado ziko valid, jee ni lazima Mwenge uendelee kutumia mafuta mazito yenye moshi mzito, mnene wa Carbon wenye sumu?.

Jee kumewahi kufanyika utafiti wa afya za wakimbiza Mwenge baada ya kukimbiza na kama baadhi yao walipatwa na maradhi jee ni maradhi gani na yalisababishwa na nini?.

Nauliza hivi kwa sababu nakijua kilichomkuta mmoja wa viongozi wakimbiza mwenge wa siku za nyuma ambaye kwa sasa ni RIP.
P
 
Mwenge ni ishara kuu ya chama cha TANU kutawala kwa kutumia giza!

Ingawa TANU ilifanikiwa sana kumpumbaza na kumdumaza mtanzania kifikra kupitia Mwenge lakini imesababisha umasikini na ufukara mkubwa sana juu ya ardhi yenye madini, rutuba na rasilimali zisizomithilika!!

Kwa ufupi mwenge ni madhabahu kama zilivyo madhabahu nyingine.

Tutaimba na kulia sana kama taifa hatutofanikiwa chochote ktk jitihada za kumfuta adui maskini, ujinga na maradhi.
 
Duh.. !. Ina maana nguvu za giza zinahusika?.

P
 
Yeah, na tatizo kubwa la Africa na waafrika ni kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Kutumikia giza na mwanga ndio maana tumeachwa nyuma.

Ni somo refu na zito sana ila ndicho kinatugharimu.

Huku tunaabudu mwenge kule Allah au Mungu.....

Mimi ni muumini mzuri wa Mungu ila pia some traditional beliefs, sio imani zote za asili ni nguvu za giza, nyingine kiukweli zinasaidia saidia, mfano kule kwetu Bariadi wale wazee wa Gambosh, wamesaidia sana tuu ila basi tuu watu hawajui!. Unadhani zile alimasi, zile dhahabu kule zimetokea kwa bahati mbaya?.
Ona sasa kunavyo ng'ara tuna hadi uwanja wa ndege kijijini, mbuga ya wanyama na hadi Tawi la CRDB la ghorofa, nyumba za NHC wakati kuna mikoa hakuna!.
We acha tuu, tuendelee kuleta maendeleo kwa msaada wa imani hizi.
P
 
Mwenye akili angekuja na Idadi na thamani ya miradi iliyofunguliwa na Mwenge toka tupate uhuru VS Gharama zilizotumiwa na Mwenge.

Hii ndio njia ya kisayansi ya kuujadili mwenge !!

Tulioenda kwa wazee wa AFRICAN INSURANCE TECHNOLOGY tunajua maana yake...Paskali mzee wa GAMBUSH CITY anajua
Kwani bila mwenge hiyo miradi haingefunguliwa kwa njia zingine... mfano juzi magu amenda huko katavi w kufungua miradi mingapi,PM naye amefungua mingapi RC, DC, MAWAzipi
 
Wanahofu ya kutisha watu, huenda wakaogopa kubeba hilo jukumu, ila infact kuna muda shetani huwa anajua ni kwa muda gani binadamu anaweza tunza siri zake, ukifika ule muda lazima akuondoe tu, ili mbeleni usije ukamsumbua.
Swali hili bado ni valid.
P.
 
Tuliwahi kuijadili hii mada au inayofanana na hii...

Mwenge (moto) ni ibada ya kishetani ambayo mpaka leo hii baadhi ya makanisa yanaifanya.
 
Ukamilishwaji wa Miradi mingi ya maendeleo kwa ngazi ya mikoa na halmashauri husukumwa na ujio wa Mwenge.
 
Inasikitisha sana
 
Mungu yupi unayemwabudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…