Paskali huyu jamaa huwa anakurupuka kwenye maamuzi anayofanya sabb hapakuwa na ulazima wa kufuta sherehe ya uhuru wakati huo anahudhuria sherehe inayotuletea hasara WaTz. Mwenge kwa sasa hauna faida zaidi ya kutumia rasilimali fedha pasipo na ulazima na wakati huo ukichochea maambukizo ya ukimwi katika baadhi ya maeneo ambayo kunakuwa na mkesha. Vilevile una sura ya kichama hasa CCM na nakumbuka mwaka 1994 wakati nipo Shule moja ya sekondari huko Dar wanafunzi waligoma kuchangia mafuta kwa maelezo kuwa mwenge ni wa CCM ndipo ikatoka amri ya RC ambaye alikuwa kati ya Mary chipungahero almaaruuf Mama Chips au Hayati Mtoto wa hapa hapa Ukiwaona Ramadhani Mwinshehe Athmani Ditopile Mzuzuri ya walimu kutembeza viboko kwa wale wasiochangia wakidaiwa ni wapinzani. Kwa muktadha huu hakuna namna lazima Magu afikiri tena peke yake maana yeye ana akili kuliko watz wote kama kuna haja ya kuendelea na sherehe hizi za kuwapumbaza WatzWanabodi,
Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).
Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta maadhimisho ya sherehe muhimu kama ya Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe tuu huku hospitali zetu zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha kwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Hivyo hili ni swali kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani. Kinachozungushwa ni Mwenge lakini the essence ni ule mwanga tuu wa kumulikia au ni ule moshi unaofukizwa kama vile umetiwa mavumba fulani kuwapumbaza Watanzania?!.
.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .
When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimishane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
update.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
Dhamira ilikuwa ni Njema ya kuzimulika sehemu zote za Tanzania Kimaendeleo nadhani kwasasa wamesha Imulika Tanzania nzima huu Mwenge Hautakiwi ikimbizwe kila mwaka ni Matumizi mabaya ya Peza za Walipa KodiWanabodi,
Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).
Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta maadhimisho ya sherehe muhimu kama ya Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe tuu huku hospitali zetu zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha kwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Hivyo hili ni swali kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani. Kinachozungushwa ni Mwenge lakini the essence ni ule mwanga tuu wa kumulikia au ni ule moshi unaofukizwa kama vile umetiwa mavumba fulani kuwapumbaza Watanzania?!.
.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .
When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimishane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
update.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
Kwani mwenge ndio unaotoa fedhaMwenye akili angekuja na Idadi na thamani ya miradi iliyofunguliwa na Mwenge toka tupate uhuru VS Gharama zilizotumiwa na Mwenge.
Hii ndio njia ya kisayansi ya kuujadili mwenge !!
Kuna...ukweli kuwa ipo siri inawezekana ..hata wapinzani siku wakishika dola wataendelea .baada ya kujua hayo maaganoMkuu Pascal,
Mwenge wa Uhuru ni ALAMA RASMI YA TAIFA ya UHURU kama ilivyo bendera.
Kiufundi ni sawa na uvumba wa kanisani maana ni lazima ufukizwe kuleta baraka kanisani na waumini na waso waumini.
Au pia ni sawa na UDI ufukapo mahala kuashiria faragha kubwa.
Lakini Mwenge wa UHURU ni alama rasmi na maalum kwa taifa kama ulivyo mwenge wa OLYPMPIC ambao ulianzia huko Ugiriki.
Hivyo kila mahala upitapo hufukiza na kukumbusha kwamba Tanzania ni nchi huru na itaendelea kuwa huru mpaka mwendawazimu mmoja atakapoamua kubadilisha hii desturi.
Na akifanya hivyo atakuwa amekiuka maadili na desturi yetu watanzania ya kuukimbiza MWENGE wa UHURU.
Tofauti haipo kwani sisi twtaumia mafuta kila mara na ule wa OLYMPIC watumia mafuta na kuwaka kwa muda wa dakika 10.
HahahahaSikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.
Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
Mwenge ni shida mnoHivi bila huo mwenge kuzungushwa miradi iliyojengwa haiwezi kufunguliwa??
Alikuwa ni kiongozi wa mbio za mwenge miaka ya nyuma.View attachment 636895
TAARIFA YA AWALI:
Wadau nimepata taarifa muda huu zinasema mbunge wa Songea mjini Mh. Leonidas Gama hatunaye tena....
UPDATE:
JamiiForums imepata uthibitisho wa taarifa za kifo cha Mhe. Gama ambacho kinadaiwa kutokea muda wa Saa 6 kuelekea Saa 7 usiku wa kuamkia leo.
Amefariki akiwa mbunge wa Songea Mjini na amefariki dunia usiku wa kuamkia leo hii Songea katika Hospitali ya Peramiho.
Gama amewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Muheza, Nachingwea, Newala, Mbeya na Ilala. Vilevile amewahi kuwa mkuu wa mkoa Kilimanjaro.
Inadaiwa marehemu Gama alianguka nyumbani kwake saa saba usiku juzi huko Likuyu; akapooza upande wa kushoto akawa hajitambui kabisa na akapelekwa Hospitali ya Peramiho ambako aliwekewa mashine za kumsaidia kupumua.
Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali pema peponi.
Wenzako wanajitosheleza wao kwanza kwa mambo muhimu halafu mwenge ndo unafuata kama kujifurahisha tu.Wakati tunatafakari hilo, tujiulize pia ile Fimbo ya Malkia na Mwenge wa Olympic ambavyo vyote hutembezwa sehemu mbalimbali Duniani na hapa kwetu vimeshafika mara kibao, je vina uvumba? Au malengo yake ni nini?
Nipe Elim Kuhusu Hili Ili Nielimike Na MimMwenge ni uchawi, FULL STOP
Huyu Forojo Ganze,alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru kule bagamoyo, walipewa kazi ya kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote(Mwl.Nyerere), zindiko hilo lilifanyika bagamoyo ktk moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo,zoezi hilo lilienda sambamba na kumuuliza shetani na malaika zake ni jambo gani lifanyike ili Tanzania iendelee.Nipe Elim Kuhusu Hili Ili Nielimike Na Mim
Swali hili bado ni valid.Nasisitiza CCM ifanye utafiti, wakimbiza mwenge wa uhuru ni wangapi wako hai mpaka hii leo na hali za afya zao zikoje, kama waliugua, waliugua nini, na walianza kuugua muda gani tangu wamalize mbio za mwenge?.
Bila utafiti wa kina, people may think this is joke, tulifundishwa kuhusu kuvuta hewa ya carbon, au kuvuta moshi wowote tuu, ndio maana kuvuta sigara kwenye public, kumepigwa marufuku maeneo mengi duniani ili wasiovuta sigara, wasiathiriwe na ule moshi wa wanaovuta sigara, sasa just imagine, kama moshi tuu wa sigara, unamdhuru yule wa jirani asiyevuta, vipi kuhusu huu moshi mnene, mzito wa mwenge, hao wanaovuta kila siku hali zao zikoje?.
Kwenye somo la baiyolojia tuliwahi kufundishwa kuvuta moshi wowote, una hewa ya carbon iliyochanganyika na carbon monoxide ambayo ina sumu inayoua taratibu.
Nimeukumbuka uzi huu, baada ya kupokea taarifa za kifo cha kiongozi huyu
Alikuwa ni kiongozi wa mbio za mwenge miaka ya nyuma.
RIP Leonidas Gama.
Paskali
Jinsi ya kuuchua uchawi iwe elim ya kwanzaNipe Elim Kuhusu Hili Ili Nielimike Na Mim