Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja Ujerumani tuwasiliane.
Nilikuwa na daktari mmoja wiki iliyopita ana interest na tiba zetu za asili lakini tatizo utapeli mwingi. Kama tiba itaonekana ina mafanikio utafanya biashara nzuri lakini kwanza upeleke dawa yako ili waone kama kweli inatibu. Hata hiyo sampo kama itatibu kweli utarudishiwa gharama za kuituma.
Wasalaam.