Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

Je gharama za Ndege ni juu ya nani weka Email yako hapo dawa zipo ambazo zina ufanisi na mgonjwa anapata relief .

Ila it is better we could understand gharama za kuisafirisha nani Ana Cover ?.

Thank you.
 
Dawa zipo nyingi sana

Kama upo interested njoo PM

Ila unatakiwa ujue kisukari sio kama malaria unaitibu inaisha kabisa

Dawa za asili zinatibu lakini atatakiwa awe ana monitor sukari kwa kutumia glucometer na BP machine maana kila penye kisukari pana presha na matadhi ya moyo

Nazungumza kulingana na experience ya huku field

Nipo bariadi nadomea uchawi wenye tija
IMG_20250819_192400_693.jpg

Usio rasmi mkuu
Njoo PM wewe na huyo mzungu tuyajenge
 
Huku wakulungwa wanatibu:
Kisukari, siko seli, presha kwa uhakika. Sampo zimetumwa sana India kwa mtindo huu na wahuni wanaishia kuagiza ndoo nzima za sampuli mara baada ya kuwatumia ile ya awali. Baada ya hapo wanakata mawasiliano.
Hakuna dawa ya kisukari, sickle cell huo ni ulemavu wala sio ugonjwa hautibiki
 
Nimewasiliana na watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja Ujerumani tuwasiliane. Nilikuwa na daktari mmoja wiki iliyopita ana interest na tiba zetu za asili lakini tatizo utapeli mwingi. Kama tiba itaonekana ina mafanikio utafanya biashara nzuri lakini kwanza upeleke dawa yako ili waone kama kweli inatibu. Hata hiyo sampo kama itatibu kweli utarudishiwa gharama za kuituma.
Wasalaam.
Oya nipo tayar
 
Je gharama za Ndege ni juu ya nani weka Email yako hapo dawa zipo ambazo zina ufanisi na mgonjwa anapata relief .

Ila it is better we could understand gharama za kuisafirisha nani Ana Cover ?.

Thank you.
Mfanyabiashara anayetoa bidhaa China kuleta soko la bongo haanzi kuuliza nani atalipa gharama za meli na ushuru.

Kampuni ya kilimo ikipeleka sample za mbegu, madawa na mbolea kwenye maonyesho ya Nane Nane haiiti wakulima kuwauliza nani atalipia gharama. Vilevile kwa Saba Saba huwezi beba friji ukaonyeshe alafu uulize wateja gharama za wao kuona analipa nani.

Kama huwezi invest kwenye unachouza, kwanini mteja afanye investment kwenye kununua? Unajua dawa inatibu toa sample bure wajaribu wateja watakuja upige hela. Unazidiwaje akili na wauza popcorn wa Makumbusho wanaoonjesha kwanza.
 
Ukinunua dawa na hapohapo unajua ingredients na extracts zake?

Kama ni hivyo si kila nchi ingekuwa inatengeneza insulin yenyewe.
Insulin na Metformin ni dawa zenye soko ila siyo biashara ya kutisha dunia ya sasa ndo maana huyo anatafuta dawa ya kuponya ugonjwa siyo ya kupunguza sukari mwilini..
 
Back
Top Bottom