Mfanyabiashara anayetoa bidhaa China kuleta soko la bongo aanzi kuuliza nani atalipa gharama za meli na ushuru.
Kampuni ya kilimo ikipeleka sample za mbegu, madawa na mbolea kwenye maonyesho ya Nane Nane haiiti wakulima kuwauliza nani atalipia gharama. Vilevile kwa Saba Saba huwezi beba friji ukaonyeshe alafu uulixe wateja gharama za wao kuona analipa nani.
Kama huwezi invest kwenye unachouza, kwanini mteja afanye investment kwenye kununua? Unajua dawa inatibu toa sample bure wajaribu wateja watakuja upige hela. Unazidiwaje akili na wauza popcorn wa Makumbusho wanaoonjesha kwanza.