famasiala nini.....😅Nimewasiliana na watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja Ujerumani tuwasiliane. Nilikuwa na daktari mmoja wiki iliyopita ana interest na tiba zetu za asili lakini tatizo utapeli mwingi. Kama tiba itaonekana ina mafanikio utafanya biashara nzuri lakini kwanza upeleke dawa yako ili waone kama kweli inatibu. Hata hiyo sampo kama itatibu kweli utarudishiwa gharama za kuituma.
Wasalaam.
Siumwi mimi ila daktari mjerumani specialist wa kisukari alinipa hili swali ili kuhakiki kama kweli Africa tuna tiba ya kisukari.Ukipona utamtafuta kweli?
Nilikuwa na daktari mmoja wiki iliyopita ana interest na tiba zetu za asili lakini tatizo utapeli mwingi. Kama tiba itaonekana ina mafanikio utafanya biashara nzuri lakini kwanza upeleke dawa yako ili waone kama kweli inatibu. Hata hiyo sampo kama itatibu kweli utarudishiwa gharama za kuituma.
Wasalaam.
Wake up man it's a trapSiumwi mimi ila daktari mjerumani specialist wa kisukari alinipa hili swali ili kuhakiki kama kweli Africa tuna tiba ya kisukari.
Ok. AsanteMwambie huyo daktari wako awasiliane na NIMR...
Can you elaborate? A trap to trap who?Wake up man it's a trap
Hapa ndio akili zetu waafrika zilipofikia. Sababu wazungu wamesema hawawezi unafikiri Kila mtu haweziHakuna dawa ya kutibu sukari labda unataka tapeliwa
Kisukari ni ugonjwa wa kutumia dawa maisha yote kupunguza makali sio kutibu
Mfano mtu yupo Mwanza ww upo Dar hujui pesa ya nauli inahitajika hapoNimewasiliana na watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja Ujerumani tuwasiliane. Nilikuwa na daktari mmoja wiki iliyopita ana interest na tiba zetu za asili lakini tatizo utapeli mwingi. Kama tiba itaonekana ina mafanikio utafanya biashara nzuri lakini kwanza upeleke dawa yako ili waone kama kweli inatibu. Hata hiyo sampo kama itatibu kweli utarudishiwa gharama za kuituma.
Wasalaam.
Ujuaji wa kitoto..Hakuna dawa ya kutibu sukari labda unataka tapeliwa
Kisukari ni ugonjwa wa kutumia dawa maisha yote kupunguza makali sio kutibu
Kidada kipumbavu kweli hicho..kilivyojisomea darasani ndivyo kinaamini kua iko hivyoHapa ndio akili zetu waafrika zilipofikia. Sababu wazungu wamesema hawawezi unafikiri Kila mtu hawezi
Hayo magonjwa hayana reverse ukipata umepata labda kama ulikimbia umandeUjuaji wa kitoto..