maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Biology yako uliyofundishwa haikui? Kwa hiyo hakuna uvumbuzi? Hao wanaopewa Nobel Prize in Medicines huwa ni kwa kukariri panzi? Nategemea kuwa Ile biology unayosema ulisoma form two kuna areas unatakiwa uwe umejua zimebadilika. Jiongeze mkuu siyo kila ulichoambiwa kiko sawa. Hata kama walikufundisha vya ukweli hawakukupa ukweli wote.Kama ulisoma biology angalau form 2 tu usingeandika hii comment Yako.
Nicheki pm kama uko seriousOya nipo tayar
Umemjibu vema. Mara nyingi mtu anayeuza dawa magumashi ndio anataka hata sampo ulipie!Mfanyabiashara anayetoa bidhaa China kuleta soko la bongo aanzi kuuliza nani atalipa gharama za meli na ushuru.
Kampuni ya kilimo ikipeleka sample za mbegu, madawa na mbolea kwenye maonyesho ya Nane Nane haiiti wakulima kuwauliza nani atalipia gharama. Vilevile kwa Saba Saba huwezi beba friji ukaonyeshe alafu uulixe wateja gharama za wao kuona analipa nani.
Kama huwezi invest kwenye unachouza, kwanini mteja afanye investment kwenye kununua? Unajua dawa inatibu toa sample bure wajaribu wateja watakuja upige hela. Unazidiwaje akili na wauza popcorn wa Makumbusho wanaoonjesha kwanza.
Mean a trap for a local doctor who will send a sample,sample= formula.!!!!Can you elaborate? A trap to trap who?
Insulin ni biashara ya dola bilioni 20 kwa mwaka na inahodhiwa na makampuni matatu tu Eli Lilly, Sanofi na Novo Nordisk.Insulin ni dawa yenye soko ila siyo biashara ya kutisha dunia ya sasa ndo maana huyo anatafuta dawa ya kuponya ugonjwa siyo ya kupunguza sukari mwilini..
Fuatilia kisa cha utafiti wa chanjo ya ukimwi ya wakinya na hao wazungu. Ipo hivi watafiti wa Kenya walitafiti maambukizo ya vvu kwa malaya. Wakawa wanawapima kila baada ya kipindi fulani. Wakaja gundua kuwa kuna malaya vvu haviingii kwenye mwili hata walale na mbaba wa vvu. Sasa wakaanza utafoti kwa nini, wakagunfie kuna aima za cell ndio zinaua vvu. Walasnza sasa kufanya itafiti wa kinga kupitia utafiti huo wa awali. UK/Wazungu wasi yoprnda lupitwa na ksmbo wakajiingiza kwenye juo irafiti lwa kuwa wao wanafacility nyingi. Wakawashawishi watafifi wa kenya wahamie Labs za UK nao wakakubali. Kilichojiri wanakijua wskenya. Walirudi na kuapa kutorudia huo ujinga.Siumwi mimi ila daktari mjerumani specialist wa kisukari alinipa hili swali ili kuhakiki kama kweli Africa tuna tiba ya kisukari.
Ndo maana wazee wengi wanakufa na maarifa maana hawana uhakika wa usalama wa Formula na Maslahi yao wakipeleka dawa zao pale Kitengo cha Dawa Asili..Mean a trap for a local doctor who will send a sample,sample= formula.!!!!
Kweli nadhani kwenye zile information huwa hawaweki ukweli wote.Insulin ni biashara ya dola bilioni 20 kwa mwaka na inahodhiwa na makampuni matatu tu Eli Lilly, Sanofi na Novo Nordisk.
Kama ukimtumia mtu dawa hapohapo anajua ingredients kwa mujibu wa madai yako, kwanini kampuni nyinginezo zisichukue insulin zisome ingredients zitengeze?
Sasa wewe ukinidharau napungukiwa nini..?? Na uelewa wako wa kisukari cha kukariri darasaniUna uelewa wowote juu ya hasa kisukari ni nini? Au uko tu hapa kubwabwaja na kutufanya tukudjarau tu
Trap kivipiWake up man it's a trap
Haya mkuu. Thanks for your insights. Tupo hapa kupeana mawazo na kupanua fikra.Fuatilia kisa cha utafiti wa chanjo ya ukimwi ya wakinya na hao wazungu. Ipo hivi watafiti wa Kenya walitafiti maambukizo ya vvu kwa malaya. Wakawa wanawapima kila baada ya kipindi fulani. Wakaja gundua kuwa kuna malaya vvu haviingii kwenye mwili hata walale na mbaba wa vvu. Sasa wakaanza utafoti kwa nini, wakagunfie kuna aima za cell ndio zinaua vvu. Walasnza sasa kufanya itafiti wa kinga kupitia utafiti huo wa awali. UK/Wazungu wasi yoprnda lupitwa na ksmbo wakajiingiza kwenye juo irafiti lwa kuwa wao wanafacility nyingi. Wakawashawishi watafifi wa kenya wahamie Labs za UK nao wakakubali. Kilichojiri wanakijua wskenya. Walirudi na kuapa kutorudia huo ujinga.
Sasa watanzania mnataka kurudiaakosa yale yale waliofanya wakenya.
Ina maana Dakrari hunui kuwa wazungu wanamashine za kusoma molecular formula ya dawa yoyote ?
Wazungu hawahitaji kunua miti yenu bali formula ya dawa kisha wao wansizalisha nyingi. Watumieni tu hizo dawa ila hawatawaagiza mara 2.
Nimejibu hilo swaliTrap kivipi
Wanasema hata coca cola,hawajawahi toa formula yao!!!,, Hivyo na wao waona kwanini wasifiche.?Ndo maana wazee wengi wanakufa na maarifa maana hawana uhakika wa usalama wa Formula na Maslahi yao wakipeleka dawa zao pale Kitengo cha Dawa Asili..
Mtu alisema ana kisukari wewe unapata picha Gani?Sasa wewe ukinidharau napungukiwa nini..?? Na uelewa wako wa kisukari cha kukariri darasani
Mtu wa utopolo unafikiri ulichosoma kwenye sayansi ndio kikomo cha kila kituMtu alisema ana kisukari wewe unapata picha Gani?
Au wewe ukitibu kisukari unatibu nini?
Nimekwambia hakuna dawa ya kisukari, kisukari ni kama ulemavu ukikupa ujue ndo ivo, ni sawa na kumwambia mtu zeruzeru kuwa unaweza kuondosha uzeruzeru kwenye ngozi yake
Huna akili na nakupuuzaMtu wa utopolo unafikiri ulichosoma kwenye sayansi ndio kikomo cha kila kitu
Hao uliyowataja wanashika 90% ya soko.Insulin ni biashara ya dola bilioni 20 kwa mwaka na inahodhiwa na makampuni matatu tu Eli Lilly, Sanofi na Novo Nordisk.
Kama ukimtumia mtu dawa hapohapo anajua ingredients kwa mujibu wa madai yako, kwanini kampuni nyinginezo zisichukue insulin zisome ingredients zitengeze?
We utakua taahira kuamini kisukari kina tibaJanja utakua muha wewe
Kisukari hakitibiki acha kukaza fuvu, hao wanapata nobel prize kwenye kisukari wataje hapa.Biology yako uliyofundishwa haikui? Kwa hiyo hakuna uvumbuzi? Hao wanaopewa Nobel Prize in Medicines huwa ni kwa kukariri panzi? Nategemea kuwa Ile biology unayosema ulisoma form two kuna areas unatakiwa uwe umejua zimebadilika. Jiongeze mkuu siyo kila ulichoambiwa kiko sawa. Hata kama walikufundisha vya ukweli hawakukupa ukweli wote.