ChaiFuatilia kisa cha utafiti wa chanjo ya ukimwi ya wakinya na hao wazungu. Ipo hivi watafiti wa Kenya walitafiti maambukizo ya vvu kwa malaya. Wakawa wanawapima kila baada ya kipindi fulani. Wakaja gundua kuwa kuna malaya vvu haviingii kwenye mwili hata walale na mbaba wa vvu. Sasa wakaanza utafoti kwa nini, wakagunfie kuna aima za cell ndio zinaua vvu. Walasnza sasa kufanya itafiti wa kinga kupitia utafiti huo wa awali. UK/Wazungu wasi yoprnda lupitwa na ksmbo wakajiingiza kwenye juo irafiti lwa kuwa wao wanafacility nyingi. Wakawashawishi watafifi wa kenya wahamie Labs za UK nao wakakubali. Kilichojiri wanakijua wskenya. Walirudi na kuapa kutorudia huo ujinga.
Sasa watanzania mnataka kurudiaakosa yale yale waliofanya wakenya.
Ina maana Dakrari hunui kuwa wazungu wanamashine za kusoma molecular formula ya dawa yoyote ?
Wazungu hawahitaji kunua miti yenu bali formula ya dawa kisha wao wansizalisha nyingi. Watumieni tu hizo dawa ila hawatawaagiza mara 2.
Hii mortoni Nini mkuuHayo magonjwa ya kisukari, figo, ini, moto, blood pressure, yakikukamata ujue ndo kwaheri
Hayo mengine ni kutafuta lugha na matumaini ila kimsingi hayo maradhi hayana tiba Bali ni madawa ya kutuliza ila ugonjwa ukiibuka ujue safari imekwisha
Asante mkuu. Mimi si mbinafsi. Nimejaribu dawa nyingi sana kwa ajili ya wagonjwa kwenye familia yangu na marafiki lakini hakuna iliyofaa. Na kila tabibu niliyemwambia atoe dawa kwanza mgonjwa akipona nitamlipa mara tano ya ile bei yake alikataa. At the end of the day dawa zile hazikuponya. Ndio maana sasa nimesema aliye na uhakika wa dawa yake aipeleke sampo mgonjwa akipona atalipwa hata hiyo gharama ya sampo. Watabibu wanarukaruka tu ati materials are too expensive hatuwezi kutoa sampo bure. That is a red flag to me!!Uko Germany, usikute Dawa inauzwa $ 100 tu then unakuja kupiga kelele hapa....!
Unataka hata sample ya Dawa ya Kienyeji, sample itatibu Nini...!? Kama sio mnataka kuingiza Maabara huo mchanganyiko kujua umehusisha Nini na Nini!
Kubari pesa ikutoke usimamie hii deal, inaweza kukulipa baadaye, kama hautokua mbinafsi.
Gharama ni za huyo daktari. Imethibitishwa na mamlaka za serikali( TFDA,TBS)??Dawa ipo, gharama za kutuma hadi ujerumani ni za nani? Ipo katika hali ya kimiminika (lita 3).
Thank you mADAMHuna akili na nakupuuza
Hazijathibitishwa na mamlaka za serikali, kama ni mlolongo huo itakuwa ngumu. Ila kama unahitaji mimi nakutumiaGharama ni za huyo daktari. Imethibitishwa na mamlaka za serikali( TFDA,TBS)??
Nikuache tu mkuu... Tunaelewa sayansi kwa dunia tofauti sana. Naweza kuwa najadiliana na mtu aliyekaririshwa vitu fulani na ambaye anaamini vitu vyote duniani vinafahamika with certainity kumbe wengine tumesoma kuwa vinavyojulikana are just a dot in the oceanKisukari hakitibiki acha kukaza fuvu, hao wanapata nobel prize kwenye kisukari wataje hapa.
Nimekuambia kuna mambo hayana reverse ukiyapata jua utakufa nalo, kisukari ni kama kilema ukiwa Chiba hata uwekwe mguu wa bandia haiondoi ukwel kama ww ni chiba
Sasa dunia nzima huoni ajabu 90% ya soko la insulin inashikwa na makampuni matatu kati ya makampuni maelfu duniani ya kutengeneza madawa. Wewe unaona ni kawaida tu.Hao uliyowataja wanashika 90% ya soko.
10% wapo wengine pia wanatengeneza...
Kwahiyo kama haiponyi sio dawa tena ndicho unamaanisha. Na unamaanisha pia haina contents, ingredients, formula ambazo ndizo umedai mtu akiuziwa atazijua na atengeneze pia.Halafu hizo haziponyi, so akitokea mtu akibahatika kupata hiyo FORMULA ya kuponya anaweza akawauzia hata hao uliowataja akapata hela..
Ngumu lakini si ina ingredients, umedai mru akiuziwa dawa anajua contents sasa na wengine si wachukueHalafu kama unajua Insulin inavyotengenezwa utakuwa unajua kwanini inakuwa ngumu..
Hakuna biashara ya watu ila kuna biashara ngumu kuingia. Waholanzi wana kampuni ya kutengeneza mashine za lithography za kutengenezea microchip, almost ni wao tu wanajua dunia nzima na hakuna cha Mmarekani wala Mchina.Halafu hiyo ni biashara kubwa ya watu wakubwa kwahiyo huwezi tu kuingilia utakavyo..
Nimewasiliana na watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja Ujerumani tuwasiliane. Nilikuwa na daktari mmoja wiki iliyopita ana interest na tiba zetu za asili lakini tatizo utapeli mwingi. Kama tiba itaonekana ina mafanikio utafanya biashara nzuri lakini kwanza upeleke dawa yako ili waone kama kweli inatibu. Hata hiyo sampo kama itatibu kweli utarudishiwa gharama za kuituma.
Wasalaam.
Kupata dawa ya kuponyesha kisukari kama waganga kienyeji wanavyo dai,ni Sawa na kuamini kuwa mguu au mkono uliolemaa unatibiwa na ulemavu kutoka,Jambo ambalo haliwezekani.kongosho likilemaa,kazi ya kuzalisha insulin inapungua ama inaisha,huwezi kuponyesha.Lakini matapeli wanaendelea kusumbua watuNimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja Ujerumani tuwasiliane.
Nilikuwa na daktari mmoja wiki iliyopita ana interest na tiba zetu za asili lakini tatizo utapeli mwingi. Kama tiba itaonekana ina mafanikio utafanya biashara nzuri lakini kwanza upeleke dawa yako ili waone kama kweli inatibu. Hata hiyo sampo kama itatibu kweli utarudishiwa gharama za kuituma.
Wasalaam.
Inapatikana kwa bei gani?, ninahitaji hiyoDawa ipo, gharama za kutuma hadi ujerumani ni za nani? Ipo katika hali ya kimiminika (lita 3).