Wewe mjanja kweli 🐰.Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja Ujerumani tuwasiliane.
Nilikuwa na daktari mmoja wiki iliyopita ana interest na tiba zetu za asili lakini tatizo utapeli mwingi. Kama tiba itaonekana ina mafanikio utafanya biashara nzuri lakini kwanza upeleke dawa yako ili waone kama kweli inatibu. Hata hiyo sampo kama itatibu kweli utarudishiwa gharama za kuituma.
Wasalaam.
Nimeumwa Sukari.Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja Ujerumani tuwasiliane.
Nilikuwa na daktari mmoja wiki iliyopita ana interest na tiba zetu za asili lakini tatizo utapeli mwingi. Kama tiba itaonekana ina mafanikio utafanya biashara nzuri lakini kwanza upeleke dawa yako ili waone kama kweli inatibu. Hata hiyo sampo kama itatibu kweli utarudishiwa gharama za kuituma.
Wasalaam.
Wewe hujaelewa, huyu mtoa sample hajataka kupeleka hiyo sample huko Ujerumani ila wao ndiyo wametaka sample. Ndiyo maana kauliza gharama atalipa nani kwani yeye hakuwa na mpango wa kupeleka hiyo dawa huko. Swala la wachina na mengine ni tofauti na hili maana wao lazima wajipange na wajue wanaenda/peleka wapiMfanyabiashara anayetoa bidhaa China kuleta soko la bongo aanzi kuuliza nani atalipa gharama za meli na ushuru.
Kampuni ya kilimo ikipeleka sample za mbegu, madawa na mbolea kwenye maonyesho ya Nane Nane haiiti wakulima kuwauliza nani atalipia gharama. Vilevile kwa Saba Saba huwezi beba friji ukaonyeshe alafu uulixe wateja gharama za wao kuona analipa nani.
Kama huwezi invest kwenye unachouza, kwanini mteja afanye investment kwenye kununua? Unajua dawa inatibu toa sample bure wajaribu wateja watakuja upige hela. Unazidiwaje akili na wauza popcorn wa Makumbusho wanaoonjesha kwanza.
Ulimi wa mama mkwe(snake plant) ndiyo kitu gani tena?Nimeumwa Sukari.
Nimepata tiba inanitibu vizuri
Nimesaidia watu na nitaanza kushare hapa remedies za tiba ili watu wapate msaada.
Huyo mzungu akafie kwao. Hana msaada wowote kwa sababu anajua ukweli asili ya diabet na anaunga mkono kuweka maisha ya watu kwenye bìashara huku akijua chanzo cha gonjwa hili.
Bamia
Msharifu
Mpapai
Ulimi wa Mama Mkwe (snake plant)
Nilivyoviorodhesha hapo ni sehemu ya tiba.
Basi asitume sample maana hana mpango wa kuuza nje.Wewe hujaelewa, huyu mtoa sample hajataka kupeleka hiyo sample huko Ujerumani ila wao ndiyo wametaka sample. Ndiyo maana kauliza gharama atalipa nani kwani yeye hakuwa na mpango wa kupeleka hiyo dawa huko. Swala la wachina na mengine ni tofauti na hili maana wao lazima wajipange na wajue wanaenda/peleka wapi