mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Hapa unadanganya.Kila ibaada lazima aungamanishe watu, haombei watu bila ya kumpokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa unadanganya.Kila ibaada lazima aungamanishe watu, haombei watu bila ya kumpokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao.
Hahaha...hatari sana, nani hajawahi kumuona? kwa nini usimuone wakati anapanda hadharani? Mwamposa hubaki na watu anaowawekea mikono na kuwaombea na humzonga mpaka mlangoni anapoingia garini.Basi yule jamaa ni mshirikina kwa taarifa yako. Anapopanda gari baada ya ibada huwa anavua nguo zote na kubaki na boksa tu huku wapambe na walinzi wake wakiwa wamemzunguka.
Ndiyo maana ninyi waumini wake hamjawahi kumuona akipanda gari lake baada ya ibada. Uliza kila mmoja atakuambia hajawahi kumuona
Na wakati wa kushuka anapoingia ibadani huwa mikonoo yakoe inakuwa mfukoni alikoweka hirizi.
Sio kufafanua anatafuta justification kupitia mistari ya biblia najua atakimbilia ule mstari unaosema waweke mafuta juu ya wagonjwa n.kLakini akiwa Mwanza alifafanua vyote hivyo kwa mistari ya biblia
Hili swali zuri sanaAnaishije bila mke?!
Mkuu huduma ya uimbaji inaingia wapi ?Naomba nijibu kidogo ulichosema.
1. Kwanza kuhusu Luka 9:49-50, Yule mtu walimkuta anatoa pepo kwa jina la Yesu Kristo. Hilo ndilo la muhimu, alitumia Jina la Yesu Kristo kutoa mapepo na sio maji Wala mafuta. Kama wanafunzi wa Yesu wangemdaka huyo jamaa anatumia maji kuponya watu basi jibu la Yesu Kristo lingeweza kuwa tofauti.
Lazima ujue kwamba kuendelea kutumia zana za upako ni dalili za kuonesha kwamba Jina la Yesu Kristo alijitoshelezi hivyo tunalisaidia kwa kutumia chumvi au maji au mafuta.
Kuna maeneo wanatumia Hadi pipi au keki za upako. Shida ipo wapi kutumia jina la Yesu Kristo?. Kwanini usitumie jina la Yesu pekee mpaka uanze kuwambia watu wakanyage mafuta na kunyunyiza mafata kwenye majumba yao?.
Kazi ya shetani ni kulishusha jina la Yesu Kristo na kulifanya halina nguvu.
2. Pili, kuhusu Waefeso 4:11-13. Lazima uelewe zile ni huduma tano.
Mitume
Manabii
Waalimu
Wachungaji
Wainjilisti
Hizo huduma tano unapewa na Mungu sio unajipa mwenyewe. Baada ya kuokoka na ukajazwa Roho Mtakatifu Kuna huduma Mungu anakupa na wewe utaifahamu maana itakuwa ina imba ndani yako. Sasa hizi ni huduma sio vyeo au ngazi za madaraka.
Naomba nitoe mifano;
A. Kwanza mitume, mitume kazi yao kubwa ni kutembea ulimwenguni kote na kufungua kazi ya Mungu. Tena hutakiwa kwenda maeneo yaliyoshindikana au yasiyomjua Kristo Yesu. Ndio maana Paulo Kama mtume alitembea karibia dunia nzima akifungua kazi ya Bwana Hadi uarabuni. Sasa Leo tuna mitume wa vyeo sio huduma, ndio maana utakuta mtu anajiita mtume ila anasimamia kanisa. No mtume kwa huduma Hana kanisa bali anazunguka sehemu mbali mabli kufungua makanisa. Mitume wanatakiwa kwenda Somalia au Sudan au Iraq ambako injili haijafika, lakini leo ili utambulike kama mtume lazima ufanye miujiza au uponyaji basi.
B. Pili, manabii, manabii kihuduma Ni Jicho na mdomo wa Mungu. Kihuduma nabii hawezi kuchunga kanisa , Bali anaweza kuwa mshirika wa kawaida kanisani lakini mwenye uwezo wa kuona mambo ya mbele au mambo ambayo wengine hatuyaoni. Pia nabii husema Yale ambayo Mungu anataka kuonya kanisa au nchi au kundi fulani etc. Hivyo nabii kihuduma sio wa kuchunga kanisa bali kutoa mafunuo ambayo yanatoka kwa Mungu, kunifahamisha taifa yatakayokukuta mbele, kulionya taifa kuhusu dhambi na etc. Hivyo ni muhimu kuwa na huduma ya kinabii kanisani ili kanisa likomae.
Tatizo ni kwamba unabii wa Leo umekuwa ni cheo. Unabii Kama hudumu ni mchache Sana, ndio maana manabii wengi Leo hawaoni ya mbele au kkusema ya kutoka kwa Mungu ili kunenga ufalme wake. Utasikia Nabii anakuuliza unanifahamu au tunafahamian, anaanza ninakuona upo Mwanza, Mara naona jina Grace halafu watu wanachanganyikiwa. Kuna uganguzi na unabii. Uganguzi unabase kwa mwanadamu basi ila unabii ni kutoka mbinguni ili kuujenga ufalme wa Mungu duniani na kuonya kuhusu dhambi.
Niishie hapo kwa leo, ila ni muhimu kutofautisha utume na unabii wa kihuduma na utume na unabii wa kicheo.
Huo ni mfano tu basic wa kimwili ila kiroho zaidi mtumishi wa Mungu ana focus kuokoa Roho za watu kwenda mbinguni sio kupata magari na majumba huku Yuko gizani.Nimetafakari kwa kina juu ya jibu lako, ila ni kipimo hicho tu pekee ndiyo kumpima na kuja na hoja ya kuwa si mtumishi wa Mungu?
Shuhuda nyingine za Mwamposa kweli zinatatiza. Nyingi ni physical na si spiritual.Kuna shuhuda nyingi ukifatilia vizuri niza uongo tena uongo mkubwa. Na wanao zitoa wako trained kabisa kwa ajili ya hiyo kazi.
Ukiwa na akili kama za bata huwezi elewa ila ukifatilia vizuri mtiririko wa shuhuda na matukio yaliyomo utaelewa.
Umewahi ona anajombea watu wajazwe Roho Mtakatifu? Ni lini amefundisha watu kuacha dhambi waende mbinguni? Umewahi ona anaenda kubatiza maelfu wanaokuja kwenye mikutano yake??Nilichogundua kinachokusumbua ni wivu..pia unasikiliza sana story za vijiweni..mimi pia nilikua na mentality kama yako..ila niliamua kufuatiria mahubiri yake..kiukweli jamaa anahubiri watu waache dhambi.
#MaendeleoHayanaChama
Mie sio mkatoliki so siwezi zungumzia mambo Yao ila nachozungumzia Mimi ni kwamba lile tukio la kusababisha mauti kwa maksudi kabisa lilitosha watu kumuona hafai.Ila ingekuwa katoliki wangetangazwa kuwa watakatifu ili mradi wamefia kanisani. Hakuna kanisa lenye usanii Kama katoliki na mapadre wao walawiti
Jamaa hajakuelewa anapenda ubishi bila tafakuli maana yako nimeielewa kama sijakosea kwamba Sawa Yesu na mitume walitenda miujiza ila ilikuwa haijirudii maana funuo huwa zinabadilika leo yaweza kuwa ya maji kesho majivu au chumvi ila sio mazoea na miujiza haifanyiki kila siku maana ni ukuu wa Mungu usio zoeleka...Duuh nakoaea kubishana na wewe.
Mimi ninaongelea kutotumia vitu wewe unasema neno.
Baki na Mwamposa wako mkuu tafadhali
Ndugu upo vizuri sana, asieelewa ni mkaidi tuNakubaliana na wewe mtumishi kwa Hilo. Kanisa limekosa watu wenye nguvu ya kutoa pepo. Nadhani hili tatizo linatokana na malezi ya kiroho au Nani aliwapa msingi wa kiroho walipookoka. Wengi hawajajua principles za Mungu za kupata nguvu ya kutoa pepo wachafu.
Ukisoma Marko 9:19 Hata wanafunzi wa Yesu walishindwa kutoa pepo Yesu akawafokea. Na kuwaambia mambo mengine hayawezekani Bali kwa kufunga na kuomba. Hii inamaanisha kwamba nguvu za Mungu aliye hai zinapatikana kwa kufunga na kuomba ambacho watumishi wengi hawawezi.
Pia, ili kutoa pepo inategemea nguvu ulizonazo na nguvu za pepo. Kama pepo lina nguvu kukuzidi basi huwezi kulitoa. Wengi tunakemea pepo wakati nguvu zetu kwenye ulimwenguni wa roho ni kidogo Sana. Yesu alikuwa na nguvu nyingi ndio maana Pepo walikuwa wanatii na kukimbia au mengine kuomba sehemu ya kukimbilia, maana alifunga siku 40 hivyo alipata nguvu kubwa Sana kuliko yeyote yule.
Hayo ni kweli lakini Yale SIO mafuta ya upako ni mafuta yanayotengenezwa kwa formula za kushirikina.Acha kukariri..unaikumbuka story ya naamani yule jemedari?
Unaikumbuka habari ya nyoka wa shaba?
Unakumbuka yule kipofu aliyepakwa tope?
Unafahamu wafalme walikua wakipakwa mafuta kwaajili ya upako wa kuwa wafalme?
Kama unaamini hizo story kwanini usiamini la mafuta na maji ya upako?
Ni lini alirudia hayo ya kupaka tope? Kwamba ikawa ni utaratibu wa "kupaka tope" watu Ili wapone! He did it once.Wewe inaonekana una mihemko,. Na hujui maandiko....bwana Yesu wanasema alitumia hata tope kumuondolea mtu upofu..hata mafuta eti..sijui unaelewa
Hivi unadhani Mungu Ana formula...unajua taratibu za Mungu wewe labda kama ni msaidizi wake...kama Bwana Yesu aliwaambia wale majambazi waliongikwa msalabani pamoja nae hapohapo kwamba jioni Ile wataenda wote Mbinguni, unadhani aliwabatizaje, au aliwapakaje mafuta...wale walipata ticket ya moja kwa moja...kwa hiyo msidhani taratibu zenu za kibinadamu sikuzote ndizo zitawafikisha Mbinguni.. sisi tukeshe na kuomba sikuzote kwa maana hatujui siku Wala saa tutakayotwaliwa. Unaweza kuta hao unaita wapagani wakawah kuingia Mbinguni na wewe unaenda motoniSio kufafanua anatafuta justification kupitia mistari ya biblia najua atakimbilia ule mstari unaosema waweke mafuta juu ya wagonjwa n.k
Lakini issue ni kwamba injili ya kweli ni Ile inyaoongelea mtu kwenda mbinguni. Haiwezekani mtu anaita mpagani anampa mafuta tu anamuacha aende bila kumfanyia Sala ya Toba, bila kumbatiza, Sasa kama sio faida yake kiuchumi unadhani ufalme wa Mungu una gain Nini kupitia huduma yake? Anaweza kweli kusema anasaidia Roho zifike mbinguni au anaacha watu waendelee kupotea gizani yeye anawapa mafuta tu imetosha.
Kuoa ni lazima maana yule ni rijali, je mihemko yake ya kihisia anapeleka wapi?Kwani lazima kuoa??
#MaendeleoHayanaChama
Huna Hoja kuoa sio LazimaKuoa ni lazima maana yule ni rijali, je mihemko yake ya kihisia anapeleka wapi?
Kwa maslahi ya waumini wake ilitakiwa amsamehe mkewe wawe pamoja
Nadhan usikariri jomba..bwana Yesu alikuja kuwaokoa wanadam kwa Hali zote..alisema Mali na vitu vyote tulivyonavyo duniani ni vyake..au hakusema...Sasa utatenganishaje hivi vitu wewe..Mali zote zinapatikana kwa uweza wake na kila kitu kinachoendesha chumi na maisha yetu..Sasa wapi walikataza usiuombee kupata Mali kama magari na vinginevyo...Jenga hoja vizuri jomba...tunahitaji kupanua mawazo yetu sana...shetani anajaribu kutufungafunga ili tusiweze kupambanua mbivu na mbichi..tusiwe na uelewa kwa maana anajua kabisa hapo ndio Siri yake ya ushindiNi lini alirudia hayo ya kupaka tope? Kwamba ikawa ni utaratibu wa "kupaka tope" watu Ili wapone! He did it once.
Kingine injili ya Yesu ilikua ya watu kwenda mbinguni sio ya watu kupata mafanikio ya kimwili. Alitubisha watu waache dhambi, alibatiza n.k ila huyo Mwamposa ni lini kabatiza? Ni lini amejaza watu Roho Mtakatifu? Ni lini kamuambia mtu akiponywa asifanye dhambi Tena kama alivyokua anasema Yesu?!
Then acheni kumfananisha Mwamposa na Yesu maana Kila mtu akikosoa huduma yake mnakimbilia "Hata Yesu"..... As if Yesu alikua anaombea watu wapate magari na utajiri!!
Yesu alimpa shortcut jambazi siku Moja tu wapi kwingine alitoa shortcut? Tatizo mnapenda kulinganisha na Yesu what the hell? Yesu hakurudia chochote alichofanya eti apake matope Kila siku mara atumie mafuta Kila siku nope Kila muujiza alifanya kwa mafunuo aliyokuwa nayo sio "formula" Moja kama Mwamposa.Hivi unadhani Mungu Ana formula...unajua taratibu za Mungu wewe labda kama ni msaidizi wake...kama Bwana Yesu aliwaambia wale majambazi waliongikwa msalabani pamoja nae hapohapo kwamba jioni Ile wataenda wote Mbinguni, unadhani aliwabatizaje, au aliwapakaje mafuta...wale walipata ticket ya moja kwa moja...kwa hiyo msidhani taratibu zenu za kibinadamu sikuzote ndizo zitawafikisha Mbinguni.. sisi tukeshe na kuomba sikuzote kwa maana hatujui siku Wala saa tutakayotwaliwa. Unaweza kuta hao unaita wapagani wakawah kuingia Mbinguni na wewe unaenda motoni
Yote hayo yamekuwa substituted na DAMU YA YESU.Acha kukariri..unaikumbuka story ya naamani yule jemedari?
Unaikumbuka habari ya nyoka wa shaba?
Unakumbuka yule kipofu aliyepakwa tope?
Unafahamu wafalme walikua wakipakwa mafuta kwaajili ya upako wa kuwa wafalme?
Kama unaamini hizo story kwanini usiamini la mafuta na maji ya upako?