Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Huyu Nabii hadi kukubaliwa kufanya mkesha Benjamini Mkapa.. haki he has something in him God Bless him big time
If you succeed in cheating someone, don't think that the person is a fool...... Realize that the person trusted you much more than you deserved.
 
Anawadangaje Brother... Kama Mtu kweli amekaa miaka kibao anabreed na breed inakataa uongo upo wapi? Kama mtu kweli alikuwa anahangaika kupata mto lakini kupitia kuongeza Imani yake na kweli amepata ujauzito uongo uko wapi?

Mkuu ukubali usikubali kazi ya Shetani ni kubwa mno.. Kuna Kipindi alifuatwa na Baadhi ya watu kuwa Mwamposa watu wanakusema vibaya unaonaje ukaacha aliwajibu kitu kimoja tu " Ndugu watu wanayeswa sana siwezi kuwaacha waendeleee kuteswa ilihali nimepewa kipawa Bure" Acha waendelee kunidhihaki ila Siwezi Acha.
Kama kapewa kipawa bure mbona yeye anatuuzia huduma?
 
Back
Top Bottom