Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Nwamposa amesaidia Sana watu kufahamu habari za uzima na habari za Yesu na watu wameamini kupitia mahubir yake ...ni mmiongoni mwa wamisionari wa Karne hii
 
Mimi Kila siku nasikia wale ambao wanataka kumrudia Mungu anawaombea na akimaliza anawambia nendeni kwenye dhehebu lolote lilokaribu yako na muone mchungaji ili uendelee kuishi kiriho sasa Mkuu yeye anazunguka nchi nzima atawabatiza wangapi?
asikudanganye mtu mambo ya kiroho ni sawa na software kwenye vifaa vya electronics uki-install kwa mwenzake kwa ku define-keys version zitaendana kwahiyo mwamposa anajua mbegu akiipanda kwa roho aliyenaye kuingoa ni kazi watamtafuta tu habari ya kwamba kasali kanisa lolote ni geresha tu yule ni tapeli kama matapeli wengine
 
Nwamposa amesaidia Sana watu kufahamu habari za uzima na habari za Yesu na watu wameamini kupitia mahubir yake ...ni mmiongoni mwa wamisionari wa Karne hii
Unajua maana misionari?
 
Mfanyabiashara wa maji na mafuta ya upako ambayo hayalipiwi kodi ya TRA pia ni mmiliki wa hoteli kubwa Mbalizi Mbeya karibu na Uwanja wa ndege Songwe ,eneo alilonunua lilikuwa la mmiliki wa hospitali ya Ifisi na zoo ya Ifisi, panaitwa Maji moto kama sijakosea.
 
Attitude ya mtumishi wa Mungu inatakiwa iwe taa kwa wapagani. Sasa kweli unamwaga mafuta eti watu wakanyage ndio wapone huku akijua kabisa Kuna msongamano mwishowe watu wakafa. Then haonyeshi hata compassion Wala sympathy ndio kwanza akarudi Dar kuendeleza mafuta!!!

Hiyo sio attitude ya mtu aliyeokoka..... Kwanza Kuna uponyaji Gani wa kulishana cake sijui mafuta. Sijawahi ona akihubiri kuhusu watu kumtafuta Mungu waende mbinguni? Sijawahi sikia akiomba watu wajazwe Roho Mtakatifu.... Yeye ni mafanikio tu, pesa,.na mafuta!!

Yule ni mjasiriamali anayejificha kwenye kanisa ila uzuri with time mtakuja kuelewa hope it won't be too late.
Huyu jamaa ni mfanyabiashara na biashara anayofanya ni ya huduma ya matumaini. Hawa wanaojiita manabii ndio Biashara wanayoifanya. Wanawauza huduma ya matumaini kwa watu waliokata tamaa na Maisha.
 
Kipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!
Hipo siku haina jina ambayo mwamposa atawabia wafanye kama mackenzi wa shakaholo
1682959352562.jpg
 
Mkuu kiongozi wa Mkristo ni biblia.
Hakuna mahali chumvi ilirudiwa kutumia mara kwa mara au mafuta.

Kila kitu huwa ni ufunuo na hutumika mara moja tu.

Unapotumia mara kwa mara au kusisitiza matumizi yake tayari hiyo ni imani potofu uliyoijengea imani.

Wakristo tuweni na akili na tuwe makini kujifunza neno kwani tunapoteza muda kwa vitu visivyo vya imani sahihi.

Haya maigizo ni upepo wa muda hautusaidii kitu.

Lengo kuu la Mungu ni mwanadamu kukombolewa dhambini na sio muujiza.

Muujiza ni msaada wa dharura lakini ukristo ni maisha ya mwamini kuuendea uzima wa milele.

Hadi lini tutakuwa watoto tukichukuliwa na kila upepo?

Maigizo haya yalianza kitambo enzi za biblia walikuwepo akina Simioni mchawi
Upo sahihi.
 
Back
Top Bottom