EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Kuna mmoja yupo CHEKA TU pale Wasafi.Hivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja yupo CHEKA TU pale Wasafi.Hivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Una avatar mbaya ila mawazo chanyaAcha kukariri..unaikumbuka story ya naamani yule jemedari?
Unaikumbuka habari ya nyoka wa shaba?
Unakumbuka yule kipofu aliyepakwa tope?
Unafahamu wafalme walikua wakipakwa mafuta kwaajili ya upako wa kuwa wafalme?
Kama unaamini hizo story kwanini usiamini la mafuta na maji ya upako?
Sasa ataokokaje km haja amini, akifanikiwa ndipo atamkiri kristoKwani waganga/wachawi hawaponyi watu? The thing is siyo mtumishi wa Mungu maana main main objective ya utumishi ni watu kuokoka umewahi ona anahubiri watu waokoke au wabatizwe?? Yeye anataka tu hata Mpagani aje apewe mafuta aendelee na Upagani wake wala Hana shida na wokovu wake!!
So nsingependa kuona anaitwa mtumishi wa Mungu.
Doctrine na revellation.Ndugu tofautisha doctrine imani na revelation mafunuo. Doctrine ya mkristo ni kuliamini jina la Yesu Kristo na kuliitia pale inapobidi kwa kukesha na kuomba.
Revelation ni mafunuo ya muda mfupi. Kwa mfano Yesu alipompaka matooe yule kipofu ilikuwa revelation ya muda mfupi sio imani au doctrine. Imani Ni muda wote wa ukristo ila mafunuo ni kwaajili ya muda huo pekee. Ndio maana humuoni Yesu akimpaka matope kipofu mwingine maana ilikuwa kwa wakati na kwa kusudi maalum.
Sasa manabii wa Leo wanatumia mafunuo na kuyanya imani. Yani watu waache kuliitia jina la Yesu Kristo na kuhangaika na mafuta na maji, ukiuliza wanakwambia mbona Yesu alifanya hivi. Njia moja ya kumjua Nabii wa uongo ni pale anapotumia mafunuo kama msingi wa imani.
Sasa mkuu ulishawahi kuona duniani kuna biashara ambayo inabagua Imani za wateja? Tofauti na mahubiri yake Mwamposa ameamua kufanya biashara ndani ya mahubiri yake au ndani ya kanisa lakeNa kwenye madhabahu yake akuna ubaguzi wa dini wala dhehebu yeye anahubiri neno la Mungu na ndio maana unaona wamejaa watu wa dini zote
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ndio huyu mkuu! ona anavyopata mafala🤣Hivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Mm ni kkkt ila moja kati ya watu namuamini na kumuelewa ni huyu mwamposa nimekuwa mwanzo nikimpinga sana ila baadae nilikuja kuona kuwa niko wrongoMwakasege mbona wapo wengi wanompinga ikiwepo na walokole.
Kulola mwywe alikua anapigwa vita na waTAG wenzie, had akakimbia kuanzisha EAGT.
Point yangu n kuwa huwezi mpinga mtu kwa emotions zako, au based na dini yako,
Hata Yesu, mafarisayo walimuita muongo, mwenye pepo na mpotoshaji,
Sa we kumpinga Mwamposa kwa emotions sidhani kama ina matter.
Then bila shaka utakua na chuki binafsi na Mwamposa,
Ninamfatilia na huwa na msikiliza mwamposa sijanona utofauti wowote wa kimaandiko kwa Mwamposa.
Nasali EAGT na oftentimes huwa pastor anamuhubiri Mwamposa, Ila nilichogundua na kinachomsumbua n hofu ya kukosa majibu kwa changamoto za waumini, ili kuzuia kupoteza waumini huwa anashia kumpaka tope.
i smell something fishy 😂Hivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Ha ha haaaaa ila Sina hakika ila nataka nifanye tafiti ya biashara Gani inalipa kwa Sasa na Haina hasara kivile, nisije weka mtaji wangu ukapotea!Ndio huyu mkuu! ona anavyopata mafala🤣
Ha ha haaaa ila sipo ulipo nilikuwa nawaza tu!i smell something fishy 😂
wanazuga watu wanawaibia wasiokuwa na elimu ila watu wenye elimu kubwa kama sisi huwezi kutudanganya mimi nilijua hawana uwezo wowote wa kumfanya kilema atembee huyo yesu mwenyewe aliwaokoa wengine wakati yeye alishindwa kujiokoa na akafa kifo cha laana ya tauratiUmeshindwaje kuwatokelezea na mgonjwa wako pasipo kuwataarifu?
Bila shaka shetwain kakufunga sheikh
uzushi upiSimkubali mwamposa ila pia sikubali uzushi kwahiyo uache uongo
Nilikuwa namsaidia jirani ambae ni mkristo alizaliwa kilema lakini nilijua mwamposa ni tapeli tu hana tofauti matapeli wengine wanaotapeli watuUlitaka kuwajaribu..ndio mana umefeli.
#MaendeleoHayanaChama
YESU alimbatiza nani kwa roho?YESU alibatiza kwa Roho, ndo maana yohana mbatizaji alisema mim nabatiza kwa maji Ila Yuko anayebatiza kwa Roho atakuja akimaanisha YESU
Wacha kumsingizia BWANA YESU mambo ya kijinga. YESU hakukusanya sadaka wala hakutembeza kapu la sadaka katika mikutano yake ya Injili. Kilichofanyika ni baadhi ya matajiri wachache walikuwa wanatoa pesa zao kwa hiari yao wenyewe.Acha roho mbaya yani kwa maisha haya ya usasa afanyie bure..unadhani hiyo ministry ingesimama..mngemlipa hela ya kukodi hapo tanganyika pekaz...ungemlipia bili za umeme..unhemlipia vyombo vya miziki..usafi..usafirishaji..na mahubiri kwa njia za redio na tv.??
Ebu tumia akili kidogo..Yesu mwenyewe alihitaji fedha hadi akawepo mtunza fedha mzee yuda.
#MaendeleoHayanaChama