rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Tulia we jamaa[emoji2][emoji2]Tushatoka huko kwenye kudownload nyimbo.
Hivi mbona watu mnakuwa wagumu kuelewa hilo?
This is 2023 jamani.
Wahuni wanajipakulia minyama tu stream hivi mara stream vile maneno kibao. Wote tunadownload tuHumu ndani ukiwa siriaz kuwasikiliza hawa wanaojifanya wapo updated na dunia ya sahizi ,unaweza kujiona fala.Ila nakuhakikishia,hawa bado wana-download nyimbo kama kawaida na tunashinda nao vibaruani kupokea buku 7-10 kwa siku.Zilaaniwe anonymous IDs
Binafsi sioni maana kustrim kwene hizo platfomz akati youtube nnashusha playlist nzima kwa vidmet amayo nitakua nnaimiliki nnaweza kuitransfa to each of my devices, no bando any more is needed, no boaring adds and mostly no addition costs. Huwezi sema unapenda music while you don even own your libraly. Kusikilizia muziki kwene hizo plattfoms ni kama tu kusikiliza muziki redioni. Ingawa kwa wale wasio na ujuzi wa downloading hii ndio inawasaidiaWahuni wanajipakulia minyama tu stream hivi mara stream vile maneno kibao. Wote tunadownload tu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Speaking of owning music... even Downloading isn't owning music. Kwa sababu you don't HOLD that music in your hands na inaweza kuwa corrupted any time.Binafsi sioni maana kustrim kwene hizo platfomz akati youtube nnashusha playlist nzima kwa vidmet amayo nitakua nnaimiliki nnaweza kuitransfa to each of my devices, no bando any more is needed, no boaring adds and mostly no addition costs. Huwezi sema unapenda music while you don even own your libraly. Kusikilizia muziki kwene hizo plattfoms ni kama tu kusikiliza muziki redioni. Ingawa kwa wale wasio na ujuzi wa downloading hii ndio inawasaidia
Ni vizuri kujipa moyo mkuu... Ila ukweli uko palepale... Ulimwengu ulishatoka huko kwenye kudownload na kuplay nyimbo kwenye flash. Ni kama pia na tulivyoshatoka kwenye kuburn CD na vitu kama hivyo.Humu ndani ukiwa siriaz kuwasikiliza hawa wanaojifanya wapo updated na dunia ya sahizi ,unaweza kujiona fala.Ila nakuhakikishia,hawa bado wana-download nyimbo kama kawaida na tunashinda nao vibaruani kupokea buku 7-10 kwa siku.Zilaaniwe anonymous IDs
Mm binafsi natumia Spotify kusikiliza miziki nk lakini kuna baadhi ya miziki haipo spotify hadi udownload. mfano old bongo Flavour View attachment 2695264Ni vizuri kujipa moyo mkuu... Ila ukweli uko palepale... Ulimwengu ulishatoka huko kwenye kudownload na kuplay nyimbo kwenye flash. Ni kama pia na tulivyoshatoka kwenye kuburn CD na vitu kama hivyo.
Take it or leave it.
Tumia poweramp ndio player bora kushinda hizo zote. Na kama unatumia Spotify na unataka kusikiliza mziki kama wa poweramp download poweramp equalizer.utanishukuru[emoji119][emoji3]Habar za usiku wananzengo!!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza
Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze kuskiliza good music na mimi kwenye kijitambo changu
Nalikubari sana hilo song lina vibe hatari.....Tupate burudani kidogo [emoji4][emoji851]
Hiki kipande nakipenda......
Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni Enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)
Kama kupendaaa
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwaa mimi iih
Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
Kilichoniponza ufala
Kujiona simba kumbe swala
Nikazama kwenye penzi uchwala
Badala ya kusaka miamala
Aiii yooooooo oh
Toka ni date pesa (Enhee)
Sa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma homeboy (Enhee)
Ooooh account inasoma (Enhee)
Na kamwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
Ai nasema boraaaa
Yah,Nalikubari sana hilo song lina vibe hatari.....
YeahYah,
Song [emoji445][emoji445] Lina vibe sanaaaa
Comeooon..Humu ndani ukiwa siriaz kuwasikiliza hawa wanaojifanya wapo updated na dunia ya sahizi ,unaweza kujiona fala.Ila nakuhakikishia,hawa bado wana-download nyimbo kama kawaida na tunashinda nao vibaruani kupokea buku 7-10 kwa siku.Zilaaniwe anonymous IDs
Aliyekuambia kwenye hizo platform huwezi kuwa na library ni nani?Binafsi sioni maana kustrim kwene hizo platfomz akati youtube nnashusha playlist nzima kwa vidmet amayo nitakua nnaimiliki nnaweza kuitransfa to each of my devices, no bando any more is needed, no boaring adds and mostly no addition costs. Huwezi sema unapenda music while you don even own your libraly. Kusikilizia muziki kwene hizo plattfoms ni kama tu kusikiliza muziki redioni. Ingawa kwa wale wasio na ujuzi wa downloading hii ndio inawasaidia
Wewe ndio umeshatoka hukoTushatoka huko kwenye kudownload nyimbo.
Hivi mbona watu mnakuwa wagumu kuelewa hilo?
This is 2023 jamani.
Sasa nyie wa bongo flava, singeli na taarabu mtajijua wenyewe.Mm binafsi natumia Spotify kusikiliza miziki nk lakini kuna baadhi ya miziki haipo spotify hadi udownload. mfano old bongo Flavour View attachment 2695264View attachment 2695265
Wewe kama uwezo wako ni kudownload fanya hivyo, jf isikuingize mambo usiyoweza kuyamudu.Hutumii mbs wakati unastream?Nielekeze Mzee mana hadi Mimi Bado na download nyimbo