Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

Kayumba Barakah

New Member
Joined
Mar 10, 2024
Posts
4
Reaction score
14
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex.

Mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke.

Hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika.

Kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo anijuze!
 
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex , mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke, hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika , kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo anijuze!
Fanya mazoezi, jishughulishe , usipende kukaa peke yako maana mawazo huanzia hapo, epuka vijiwe vyenye stories ya mademu, .. yote kwa yote bado hujapata majukumu, ukipata hiyo hamu itakuwa mbali kama mbingu na ardhi
 
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex , mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke, hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika , kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo anijuze!
Tafuta kazi ya kufanya uwe busy
 
Funga au kula mlo mmoja kwa siku.
Usipoteze muda mwingi mtandaoni sababu huko unaona picha nyingi za uchi.
Fanya semen rentention, hakuna tuzo katika kupoteza mbegu za kiume ovyo.
Na ya mwisho tafuta kazi ufanye, sababu unaonekana unawaza kumwaga tu.
 
Back
Top Bottom