Nikisemaga hii nchi ina vijana wa hovyo huwa sieleweki, sasa huyu anakaa kwa shemeji yake kazi ni kula, kulala, rimoti ya tv na kujipulizia parfume basi, demu dada wa kazi. Halafu analeta mada ya hovyo jukwaani. Huyu ndio utasema anahitaji katiba mpya? Au anataka style za misuguano tu.
Kijana ukiwa na majukumu hata ukisikia demu wako anakuambia anakuja geto unaanza kuogopa manake utafelisha, mashine inaweza isisimame, sasa kodi hujui inalipwaje, utaacha kusimamisha mnara kila saa? Kuna watu wana majukumu giza likiingia anatakiwa arudi nyumbani na akikumbuka huko nyumbani ana kazi ya kwenda kuchakata mbususu anatamani kulala bar, manake mnara hauna mawasiliano kabisa.
Fanya kazi kijana usichague kuwa maskini, mbususu zipo sio kigezo cha urijali.