Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
"The more you have sex, The more you need it"Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex , mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke, hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika , kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo anijuze!
huwa ipo hivyo, ila ukitaka kupunguza hamu ya sex au ugwadu basi tumia karanga mbichi nyeupe, maziwa mgando, asali mbichi na kitunguu swaumu 😂