Mwenye kujua kuhusu Bachelor of Arts in diplomatic and defence studies

BumbleBeeBot

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
478
Reaction score
819
Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk management. Naomba kujua hii course inahusu nini, na je ina soko?
 
Ni nzuri , ila since una bando, ingia kwenye kilimo, ua mazao USA tuna mkataba wa AGOA.
 
Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk management. Naomba kujua hii course inahusu nini, na je ina soko?
siTI mtarajiwa huyo.
 
Ni kozi nzuri, hasa kwa anayependa siasa za kimataifa, diplomasia, usalama na masuala ya ulinzi. Ila soko lake ni la ushindani na si la moja kwa moja kama Procurement & Logistics au BBA. UDSM yenyewe ni advantage kubwa, lakini mafanikio yatategemea skills, connections na kujiongezea taaluma nyingine. Kama ana interest nayo, asiiache kwa sababu tu anaona haina soko.
 
Poa poa kiongozi, shukrani.
 
Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk management. Naomba kujua hii course inahusu nini, na je ina soko?
Aende mkuu, lakini mtafutieni na bodaboda
 
Nzuri Masta, ipo College of Humanities (CoHu), Department of History, pale Mlimani Campus, capacity yake ni watu 75 kwa mwaka.

So, Dogo atadeal na mambo ya international conflicts, usalama wa Taifa, global governance, na the strategic choices governments make, nk nk.

Ajira na Ofisi anazoweza kuajiriwa au kufanya field ni Serikalini, NGO na Int. organizations, Private sectors, Balozi mbalimbali nk nk.

Source: UDSM Prospectus 2027/28
 
Poa poa mkuu, shukrani.
 
Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk management. Naomba kujua hii course inahusu nini, na je ina soko?
Mambo ya Usalama wa Taifa na Uhusiano na nchi zingine kiusalama
 
Kama anaweza kwenda kupambania GPA kubwa kuanzia 3.8 kuendelea inaweza kuwa bonge la fursa kwa maisha yake huko mbele.
Ila kama anaenda kusoma tu kupata degree ajiandae kabisa na mtaji wa biashara atakapomaliza chuo.
Kijana yuko vizuri huyu namuamini
 
Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk management. Naomba kujua hii course inahusu nini, na je ina soko?
Mwambie achukue BBA ni kozi nzuri.
 
Back
Top Bottom