Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,581
- 2,677
Mwambie achukue insurance and risk management
Kijana hataki kuskia kingine, ye hapo anafuata zaid UDSM, anasema hata kozi ya ufugaji nyuki angeenda kama ipo UDSMMwambie achukue insurance and risk management
Si hata jeshini hapa anaingia kama ofisa na sio private.Aende...ataingia TPDF kirahisi sana
Na wanafaulu ile mbaya dogo ana ufaulu mzuri ila kozi nyingi ametemwa.Kozi za art kwa sasa hazina mashiko.labda usome tu kuongeza uelewa lakini usitegemee sana kuwa zitakunufaisha
kwa kua unamuamini , akachape kazi tuKijana hataki kuskia kingine, ye hapo anafuata zaid UDSM, anasema hata kozi ya ufugaji nyuki angeenda kama ipo UDSM
Oha Vp me nataka kukuulza mfano me nimechaguliwa public relations and strategy communication Udsm je naweza kubadilisha na kuchukua Sheria....form six Nina points six
Tulia leo jumapili, watu wengi wako mbali na keyboard, watakiuja kukujibuMbona kimya sijibiwi