Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

Hii siikubali kabisa, amani ya moyo ni kila kitu
Ni kweli, ila hakuna maisha ya amani nje ya kuyajenga wewe mwenyewe. Ukiona watu wanaishi kwa upendo na wakawa na hiyo 'amani ya moyo' jua wamehatarisha mambo yao binafsi mengii. Amani si jambo jepesi kulipata.

Sasa jamaa hataki kuacha mienendo inayoleta makasiriko na kiburi kwa mkewe badala yake anataka kutelekeza familia. Hii haikubaliki kamwe.
 
Una laana wewe [emoji848]
 
Kuandika hujui?
Si umwandikie talaka tu.
 
Dawa ni rahisi sana. Fanya haya (Kwa siku tisini mfululizo), uhakika utakuja kunishukuru.
1. Kata matumizi (hakuna kuacha hata senti tano nyumbani)

2. Kata huduma ya mapenzi (hakuna tena kufanya mapenzi naye)

3. Kata mawasiliano (hakuna cha simu, sms au story)

4. Usikae kae nyumbani (Rudi night kali, safiri mara kwa mara)
 
Hiyo ya kwanza hapan
 
Uzinzi Uzinzi Uzinzi
Haujawahi kumuacha mtu salama

Vuna ulichopanda
 
Huyo mchape kwa matukio akiwa muelewa atajiongeza mwenyewe.

Na Kama amegoma kuachika Basi itabidi wewe mwenyewe ujiachishe kwake.Yaani uhame mtaa uende ukaishi kwingine afu zingatia kukata mawasiliano naye.
Vipi kuhusu mtoto?
 
Mwanamke mpe hela halafu mpende!..utaenjoy!
Mkuu jina experience ya ndoa au mahusiano vipi unazani wake za watu wengi wanagongwa kwasababu gani? Wanawake wanakuagawa hawaridhiki hata umfanyie Nini kwani yule Mwamba wa Mwanza si alikuwa na hela ile mbaya lakini the end of day mke wake wakawa wanamgongea hata kwa Masanja napo hivyo hivyo hela sio kila kitu katika mahusiano au ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…