Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70!
Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi!
Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua!
Naomba kama kuna mtu katumia au kuna mtu anamjua atupatie mrejesho hapa! Natamani sana kuitumia Ila sijui kimbembe chake!
Ushauri wa gym na mazoezi siutaki! Maana nimejaribu nimeshindwa kabisa! Vifaa vyote vya gym ninavyo nimeshindwa, nikikimbia mbio huwa narudi kwa daladala!
Naomba mrejesho wa hizo dawa kwa aliyewahi kutumia kama hazina madhara!