Mwenye mrejesho kuhusu dawa za kupunguza uzito

Mwenye mrejesho kuhusu dawa za kupunguza uzito

Nilikuwa na kilo 85 sasa nina 67
•Naruka kamba mara 500 hadi 600 per day.
•Nimeachana na kitu kinaitwa chapati,maandazi. Napiga chai karanga zilizokaushwa.
•Asubuhi push up 15 na jioni 15
•Kwa wiki mara mbili nazunguuka uwanja mara5.
Msosi wa wastani ila matunda kila mara.
Hapa nilipo hakuna anayeamini kwa jinsi nilivyokata kitambi.
Nina mwezi wa sita tangu nianze.
Nitajaribu utaratibu wa chai, kamba naruka japo sio kila siku.....hapo kwenye push-up sasa[emoji28] niko na kg 83, kulinganana na urefu wangu natakiwa niwe na atleast kg 70 kushuka chini
 
Napiga pushups 500 kila siku na kuruka kamba 1000 ,kila jioni,kwa sasa naona mwili mwepesi sana na mama haki anaipata haswaa
 
Shangaa na wewe
Nakumbuka joto la uarabuni watu wanakunywa maji kama ng'ombe na matokeo yake wanakuwa na matumbo makubwa
Mimi sinywi maji kabisa na uzito wangu uko Sawa na urefu wangu
Lita 4 wanawezaje kunywa wakati mimi glass moja siwezi? [emoji1]
Nna wasiwasi wewebhauna wasiwasi mwingi.

Nadharia ni kwamba huwezi kunenepa bila ya kuwa na wasiwasi wa kutosha.

Sasa utatunza chakula bure tu bila kuhofia vita hapo mbeleni? Huwezi. Na mara nyingi vita inakuja ikiwa wewe kwanza kwa kuanzia ni mkorofi.

Naahangaa tu avatar yako ni sniper lakini kwa suala hilo(la kutonenepa) inaelekea upo kwenye amaaaani ya kuzidi. Which is which. Unaniconfuse🤷‍♂️
 
Tumia Bidhaa za forever living products clean 9 kuweza kupungua uzito, kutoa kitambi ndani ya siku 9
1. Acha kabisa kula wanga
2.acha kula nyama
3. Fanya mazoezi mepesi mfano tembea 7-10 km kila siku. Unaweza kukata 5 km asubuhi and 5 km jioni
4. Kula zaidi protini ya magarage, mayai na mbogamboga
5. Kama unakunywa pombe acha
6. Kula matunda kwa wingi kuliko vyakula vingine, epuka matunda yenye sukari kama maembe, nanasi
Ukifanikiwa hapa njoo ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom