mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Kama utaweza fanya detox kwa siku kumi itakusaidia sana Baada ya hapo jitahidi kula vyakula vya wanga kidogo sana na maji ya kutosha. Mfano ugali uwe kiasi cha ngumi yako afu mboga mboga ndo ziwe nyingi. Kunywa maji ya kutosha na matunda kwa wingi. Ukifata hayo masharti utapungua labda uwe na unene wa asili sio unaosababishwa na vyakula.