Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Punguza hata mifupa🤣🤣🤣🤣Nikupe namba ya muuzaji? Naona anapostigi feedbacks poa…
Sijawahi tumia mie, sina uzito wa kupunguza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza hata mifupa🤣🤣🤣🤣Nikupe namba ya muuzaji? Naona anapostigi feedbacks poa…
Sijawahi tumia mie, sina uzito wa kupunguza
Hakuna kitu kama kuharisha mafuta, duh! Mafuta ni kama nguvu iliotunzwa katika mwili.Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70!
Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi!
Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua!
Naomba kama kuna mtu katumia au kuna mtu anamjua atupatie mrejesho hapa! Natamani sana kuitumia Ila sijui kimbembe chake!
Ushauri wa gym na mazoezi siutaki! Maana nimejaribu nimeshindwa kabisa! Vifaa vyote vya gym ninavyo nimeshindwa, nikikimbia mbio huwa narudi kwa daladala!
Naomba mrejesho wa hizo dawa kwa aliyewahi kutumia kama hazina madhara!
Khee afu nitabaki nini 🤣Punguza hata mifupa🤣🤣🤣🤣
Naam hapo mkuu nimekuleewa ili aweze kupunguza uzito inahitajika discipline ya hali ya juu kama mda ambao aliweza kupata kitambi ni mkubwa hivyo hivyo mda ambao atatumia kutoa kitambi ni mkubwa.Hakuna kitu kama kuharisha mafuta, duh! Mafuta ni kama nguvu iliotunzwa katika mwili.
Hio nguvu inajiaccumulate vp? Kwa njia ya kula... ukila calories nyingi huku mwili hauko active lazima uwe mnene.. kilo zitaongezeka.
Umesema njia za mazoezi zimegoma? Imekugharimu muda gani mpaka kupata icho kitambi? Muda huohuo uliotumia kupata kitambi ndio muda utakucost kukiondoa... fanya mazoezi sana, kula kidogo punguza vyakula vya wanga (mfn. Ugali, wali, viazi, mikate nk..) punguza vyakula vya mafuta, punguza vyakula vya sukari, vitu kama soda ikiwezekana acha kabisa... ukinywa maziwa au kahawa usiweke sukari. Fanya mazoezi, kula matunda kwa wingi, fanya mazoezi...
Kufanya mazoezi simaanishi ufanye yale ya six packs au unaruka kamba tu... ikiwezekana beba vyuma kabisa ili uburn calories za kutosha. Zingatia diet, kula protein kwa wingi, punguza wanga na mafuta... fanya mazoezi... sanaa.
Ndani ya miezi sita tu ukifata haya lazima upungue, usipopungua basi utakua na shida ya insulin... hapo mchek doctor.
And yea, kuhusu hio dawa ya kuharisha, sio kwamba unaharisha mafuta... ni kwamba unaharisha tu chakula unachokula ivo mwili haupokei nguvu kutoka kwenye chakula na ivo itabidi utumie nguvu iliokua stored mwilin (ie. Mafuta)... izo dawa zipo moja wapo ni mbegu za chia nafkiri, ukizila kwa wingi...
Ila ushauri wangu, fanya mazoezi.. ingia kwenye diet... pata mshauri mzur wa diet. Fanya mazoezi
[emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Duuuuh kwa mwendo huo ukipunguza hata kilo 3 niite mbwa niko pale nimekaa
Shangaa na weweMaji mengi ni hatari pia kwa afya lita 4 we ng'ombe.
Ila diet ni nzuri tatizo kufata ratiba ukizingatia na maisha lazima yaendeleeLooooh hapa sasa pazito mazoezi hutaki, diet huwezi, sasa utakunywa dawa uharishe huku unasonga ugali unakula yaani weka niweke
Jitahidi kunywa hata glass 3 za maji kwa siku ili kulinda figo zakoShangaa na wewe
Nakumbuka joto la uarabuni watu wanakunywa maji kama ng'ombe na matokeo yake wanakuwa na matumbo makubwa
Mimi sinywi maji kabisa na uzito wangu uko Sawa na urefu wangu
Lita 4 wanawezaje kunywa wakati mimi glass moja siwezi? [emoji1]
Hatari na nusuJitahidi kunywa hata glass 3 za maji kwa siku ili kulinda figo zako
Tumia Bidhaa za forever living products clean 9 kuweza kupungua uzito, kutoa kitambi ndani ya siku 9Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70!
Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi!
Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua!
Naomba kama kuna mtu katumia au kuna mtu anamjua atupatie mrejesho hapa! Natamani sana kuitumia Ila sijui kimbembe chake!
Ushauri wa gym na mazoezi siutaki! Maana nimejaribu nimeshindwa kabisa! Vifaa vyote vya gym ninavyo nimeshindwa, nikikimbia mbio huwa narudi kwa daladala!
Naomba mrejesho wa hizo dawa kwa aliyewahi kutumia kama hazina madhara!
Unafanyaje iyo detox, tudadavulie kidogo wengine hatujuiKama utaweza fanya detox kwa siku kumi itakusaidia sana Baada ya hapo jitahidi kula vyakula vya wanga kidogo sana na maji ya kutosha. Mfano ugali uwe kiasi cha ngumi yako afu mboga mboga ndo ziwe nyingi. Kunywa maji ya kutosha na matunda kwa wingi. Ukifata hayo masharti utapungua labda uwe na unene wa asili sio unaosababishwa na vyakula.
Endelea na mazoefu na rekebisha aina milo yako. Punguza wanga katika milo yako na Epuka kula aina yoyote ya wanga katika mlo wako wa jioni. Jioni kula matunda tu inatosha. Epuka au kunywa bia na wine kiasi kidogo sana.Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70!
Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi!
Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua!
Naomba kama kuna mtu katumia au kuna mtu anamjua atupatie mrejesho hapa! Natamani sana kuitumia Ila sijui kimbembe chake!
Ushauri wa gym na mazoezi siutaki! Maana nimejaribu nimeshindwa kabisa! Vifaa vyote vya gym ninavyo nimeshindwa, nikikimbia mbio huwa narudi kwa daladala!
Naomba mrejesho wa hizo dawa kwa aliyewahi kutumia kama hazina madhara!
Naomba iyo number ndugu yangu maana hali ni mbaya ukuNikupe namba ya muuzaji? Naona anapostigi feedbacks poa…
Sijawahi tumia mie, sina uzito wa kupunguza
Kupunguza Uzito Kunaanza na Diet lazima upate mtu atajayekupangia Diet kitaalam ili , ukianza diet kwanza usipate Vidonda vya tumbo, lakini pia upate matokeo mazuri ,Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70!
Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi!
Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua!
Naomba kama kuna mtu katumia au kuna mtu anamjua atupatie mrejesho hapa! Natamani sana kuitumia Ila sijui kimbembe chake!
Ushauri wa gym na mazoezi siutaki! Maana nimejaribu nimeshindwa kabisa! Vifaa vyote vya gym ninavyo nimeshindwa, nikikimbia mbio huwa narudi kwa daladala!
Naomba mrejesho wa hizo dawa kwa aliyewahi kutumia kama hazina madhara!
ZILE ZINAZOFANYA UHALISHE SANA HUWA SIYO NZURI , KWA BAADHI YA WATU ZINAWASAIDIA ILA KUNA MAMA ALIDONDOKA KABISA CHOONI ALIISHIWA NGUVU KABISA , IKABIDI AOMBE MSAADA SASA LAZIMA KUWA SELECTIVE, MAANA ZIPO AMBAZO HAUHALISHI SANA NA UNAPATA RESULTS TU VIZURINina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70!
Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi!
Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua!
Naomba kama kuna mtu katumia au kuna mtu anamjua atupatie mrejesho hapa! Natamani sana kuitumia Ila sijui kimbembe chake!
Ushauri wa gym na mazoezi siutaki! Maana nimejaribu nimeshindwa kabisa! Vifaa vyote vya gym ninavyo nimeshindwa, nikikimbia mbio huwa narudi kwa daladala!
Naomba mrejesho wa hizo dawa kwa aliyewahi kutumia kama hazina madhara!
Zinaitwaje dawa zako tuzi Google kwanza na kujua ufanyaji kazi wake kabla ya kufanya maamuziKaribu tukupatie suppliments (virutubisho) zitakazo kufanya upoteza hamu ya kula.
kupungua kwa mwili chakula huchangia 80% na mazoezi ni 20% ,hivyo basi endapo utapunguza hamu ya chakula itasababisha kupunguza kasi ya kula pia.Ila kupunguza hamu ya kula na kukufanya upungue mwili sio kazi pekee ya hizi suppliments lakini pia inapunguza mafuta taka mwilini,ina mzui enzyme anaetumika kuzalisha fati kwa wingi mwilini,inapunguza matatizo ya utumbo,inaondoa maumivu na uvimbe kwenye joints,inatibu tatizo la kutokupa choo (constipation),inatibu matatizo ya mmeng'enyo wa chakula.
-Package hii unaipata kwa sh 55,000 dozi ya mwezi mzima.
-Tuna shauri utumie kwa muda wa miezi 3 mfululizo.
-Matokeo utaanza kuyaona kuanzia mwezi wa kwanza wa matumizi ya supplements hizi.
-Minimum utapunguza kilo 5 kwa mwezi
Wasiliana nasi kupitia 0769081492
Tunapatikana Mbezi Beach Chini Opposite na Oryx Petrol Station
Duuh wenye vitambi tunapata tabu sanaKaribu sana..Kuna Garcinia,flaxseed oil na Green Tea