- Thread starter
- #41
Kumbe bora mimiNina kilo 95 mimi kituntufye jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe bora mimiNina kilo 95 mimi kituntufye jamani
Why?Do not go for it.
Nilikuwa na kilo 85 sasa nina 67Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70!
Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi!
Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua!
Naomba kama kuna mtu katumia au kuna mtu anamjua atupatie mrejesho hapa! Natamani sana kuitumia Ila sijui kimbembe chake!
Ushauri wa gym na mazoezi siutaki! Maana nimejaribu nimeshindwa kabisa! Vifaa vyote vya gym ninavyo nimeshindwa, nikikimbia mbio huwa narudi kwa daladala!
Naomba mrejesho wa hizo dawa kwa aliyewahi kutumia kama hazina madhara!
Hiyo nidhamu ukifuata inakata weight balaa, watu wabishi tu.Nilikuwa na kilo 85 sasa nina 67
•Naruka kamba mara 500 hadi 600 per day.
•Nimeachana na kitu kinaitwa chapati,maandazi. Napiga chai karanga zilizokaushwa.
•Asubuhi push up 15 na jioni 15
•Kwa wiki mara mbili nazunguuka uwanja mara5.
Msosi wa wastani ila matunda kila mara.
Hapa nilipo hakuna anayeamini kwa jinsi nilivyokata kitambi.
Nina mwezi wa sita tangu nianze.
Ya kweli hayaNilikuwa na kilo 85 sasa nina 67
•Naruka kamba mara 500 hadi 600 per day.
•Nimeachana na kitu kinaitwa chapati,maandazi. Napiga chai karanga zilizokaushwa.
•Asubuhi push up 15 na jioni 15
•Kwa wiki mara mbili nazunguuka uwanja mara5.
Msosi wa wastani ila matunda kila mara.
Hapa nilipo hakuna anayeamini kwa jinsi nilivyokata kitambi.
Nina mwezi wa sita tangu nianze.
Kweli kabisa nakwambiaYa kweli haya
Nipo safari kidogo nikirudi next wiki ntaitafuta kaka.Uliipata ile? Vp mrejesho?
Kula vile vimbegu vya wamasai, utaharisha mpk puru utakua unairudisha ndani kwa kidole.Sawa! Vipi kuhusu hizo dawa nasikia zipo za kuhalisha mafuta Siku tatu
Eebwaana eeehKula vile vimbegu vya wamasai, utaharisha mpk puru utakua unairudisha ndani kwa kidole.
Mimi nikila kwa diet lazima usiku niamke kusonga ugali, sijui wengine wanawezaje kula matunda na kulala
nimecheka kwenye pushups 15 ,jitahidi uongeze hata ziwe 30Nilikuwa na kilo 85 sasa nina 67
•Naruka kamba mara 500 hadi 600 per day.
•Nimeachana na kitu kinaitwa chapati,maandazi. Napiga chai karanga zilizokaushwa.
•Asubuhi push up 15 na jioni 15
•Kwa wiki mara mbili nazunguuka uwanja mara5.
Msosi wa wastani ila matunda kila mara.
Hapa nilipo hakuna anayeamini kwa jinsi nilivyokata kitambi.
Nina mwezi wa sita tangu nianze.
Nina muunganiko wa mazoezi mengi ndani ya muda mmoja !nimecheka kwene pushups 15 ,jitahidi uongeze hata ziwe 30
ok apo sawaNina muunganiko wa mazoezi mengi ndani ya muda mmoja !
Kwa hiyo hizo 15 ni kipimo changu sahihi kwa muda husika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie naudhikaga na masuala ya kunywa maji lita 4 sijui 3...ss msos utakaa wap..mnatuchosha aise
Hizo Dawa hadi zimelete vita..Nunua Dawa Kwa Resty [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu shukrani kwa mchango.Mkuu dmkali pole kwa changamoto unayopitia.
84kg sio uzito wa kutisha kwa mwanaume (depending on height) ni vile hufanyishi mwili mazoezi but that's another story.
Mimi nakupa mbinu rahisi kuliko hizo za kunywa maji lita 4 a day, that's nonsense, utachosha figo tu.
Aidha usinywe dawa ni wizi wa mchana kweupe. Mosi, hazina ithibati ya kitabibu unaweza pewa dosage ambayo mwili wako hauwezi kumili ukapata madhara zaidi kuliko faida. Pili, easy come, easy go. Hii sio kwenye hela tu hata kwenye mwili ni hivyo hivyo unene ukipungua haraka most likely utarudi haraka, chances are utakua umepungua water weight tu ukinywa maji lita moja tu umerudi pale pale, sawa na mtu anayejipima uzito akitoka mazoezi anafurahi kuona kapungua kumbe maji tu inform of jasho ndo limepungua mwilini. Basically, mwili unakua haujafanya recomposition yet which certainly doesn't happen overnight.
Mbinu yenyewe ni hii, asubuhi kunywa chai usishibe sana yani kidogo tu kama kulidanganya tumbo (Inawezekana kabisa), mchana kula ushibe vizuri kabisa, kula REAL FOODS sio chips mayai na soda. Piga wali, ugali na mboga za kutosha shiba vizuri kabisa. Again real foods. Ukimaliza lazima utakua na kiu ya maji piga maji to your capacity achana na sijui 4lts au 3ltrs. Kuna siku utakunywa 1lt, kuna siku utakunywa 3lts. Siku hazifanani. Epuka kula vyakula pamoja na vichwaji kwa wakati mmoja kama soda na juice. Maliza kula then piga maji. Kama umeshiba vizuri mchana jioni ukisikia njaa kunywa kinywaji chenye electrolytes (sports drink) kama gatorade au powerade sijui upatikanaji wake bongo. Kimsingi ni maji yenye chumvi tu unaweza tafuta recipe yake online to make some for yourself. Mara nyingi njaa ya jioni huwa ni upungufu wa electrolytes tu mwilini ndo maana kuna muda mtu unahisi hadi kizunguzungu ila when you replenish them you will feel better. This is particularly true hasa kama hujaenda bathroom kutoa chakula ulichokula mchana. Kwa mtu asiye active it takes upto to 36hrs chakula kutoka out your system.
Kadhalika ukiweza kufanya mazoezi mepesi is even better. Jogging, push-ups, jumping, and cycling help. Jaribu afu leta mrejesho it works. Jambo lolote ukilifanya consistently for 1months it becomes a habit. Komaa mzee hakuna njia rahisi zaidi kama ambavyo kitambi hakitokei overnight. Goodluck
Mimi nikilaga vibite usiku lazima nisikie njaa niwashe jiko aisee! Kama siyo kupika ugali nitachemsha hata mabiringanyaMkuu shukrani kwa mchango.
Na Vp kuhusu ratiba ya msosi usiku, unashindilia msosi mwingi kama mchana au kuna other alternative ya diet?
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣