Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Sipend kabisa kusikia habari za kujinyima kula...maana kama unaidhulumu nafsi..yaani unajiona unalala na njaa kisa?..ni kutembea tu kuchoma caloriesMimi nikila kwa diet lazima usiku niamke kusonga ugali, sijui wengine wanawezaje kula matunda na kulala